Wivu Kipimo Cha Mapenzi

kati ya yoooote uliyoyaongea hapo ndo mwisho wa matatizo, huna jinsi...... mimi nina jinsi.....I am not with you anymore, unaweza kufanya chochote na hakinihusu.....kila mtu ame-move on na maisha yanaendelea.
mimi nilichosema kwangu haki-apply ni kwamba lazima usikie kawivu kwa x, ukiona kuwa bado unakawivu ujue bado unampenda, na ndo maana itakuwa rahisi sana kwenu kurudiana sababu bado mnapendana..... wanasema kiporo hakihitaji moto mwingi, siyo?

nitarudi kupangua hizi longolongo bin denialism bin etcetera zako pamoja na falsafa za mars za kiranga, laters
 
huo nao eti unaitwa wivu, lol!
mtu akifikia hatua hiyo siyo kwamba anakuonea wivu bali hakuamini....
hakuna kwenda kazini, shule, sokoni, kwa mjomba, kwa wakwe bila mume....yaani huamini mtu yeyote.....na home umefunga CCTV ambayo upo nayo 24/7..... halafu mama unasema "mume wangu ana wivu kweli na mimi"

hapa umenena, wapo wengi wanaochangaya wivu na kutoaminiana kama wewe unavyochanganya kutosikia wivu na kutompenda mtu tena ilhali kinachoongelewa hapa ni katika wakati uliopita i.e. kama huona wivu sasa jua hata ulipokuwa naye ulikuwa humpendi (maybe ulikuwa obsessed or infatuated tu) baada ya kupata unayoiita jinsi akawa hana mpango hadi ukawa tayari kumtafutia mtu mwingine afaidi kile ambacho umegundua kuwa kumbe wala ulikuwa hukipendi kivile!
 
mm bana sinaga experience sana ya ma-x ila niko hivi nikikupenda siku nikikushit basi kiwango kitazidi upendo nlokuwa nakupendea.

nina experience moa mtu ali hire private investigator kwaajili ya mkewe kisa wivu. the man lvd his wife mno and the wife alijua hilo. but mume hakuwa na 100% trust kwake. imagine the man anafanya kazi nzuri sana na muda mwingi hayuko nchini so alimweka huyu investigator awe ana link na wife pasi wife kujua.

jamaa sjui alibugi vipi wife akagundua mbona alitaka kudai talaka kwa hasira. ikabidi mume ajirudi manake ilikuwa ni kesi ya ukoo tena. but wife hadi leo anahisi mumewe anamwekea mlinzi ingawa hamjui ni nani.
Sasa shida iko wapi? Mke na mume tutachunguzana mpaka mwisho wa dahari. Nani anataka kuletewa ukimwi ndani? Nikigundua unafanya mambo yako huko nje, napiga chini mapema kabla mambo hayajabadilika.
 
hiyo hapo kwangu haiapply........
nakupenda tunapokuwa pamoja, nikikuona na mtu nitaumia sana.......yaani wivu unakuwa 100% lakini siku nikikubali kuachana nawe ujue na upendo kwako unaisha...... ndo maana mimi sijawahi kurudi kwa x, hata kama nilikupenda vipi..... ulishapita...... utakuwa rafiki yangu mzuri tu nakini wivu kwako hakuna tena...... tena naweza hata kumtafutia mtu ambaye naona anaweza akamfaa (nimeshawahi kufanya hivi tena kwa mtu ambaye nilimpenda saaaannnaaaa)
FP nimependa hapo kwenye red.. unaonesha wewe una uelewa mkubwa sana... never turn back kama vile amabavyo huwezi kurudia utoto
 
Last edited by a moderator:
nitarudi kupangua hizi longolongo bin denialism bin etcetera zako pamoja na falsafa za mars za kiranga, laters
ha haaaaaaaaaa, unaenda ku-discuss?
karibu sana.... ila ujue huo ni msimamo wangu mimi, sijawasemea wengine
 
hapa umenena, wapo wengi wanaochangaya wivu na kutoaminiana kama wewe unavyochanganya kutosikia wivu na kutompenda mtu tena ilhali kinachoongelewa hapa ni katika wakati uliopita i.e. kama huona wivu sasa jua hata ulipokuwa naye ulikuwa humpendi (maybe ulikuwa obsessed or infatuated tu) baada ya kupata unayoiita jinsi akawa hana mpango hadi ukawa tayari kumtafutia mtu mwingine afaidi kile ambacho umegundua kuwa kumbe wala ulikuwa hukipendi kivile!
hivi unaweza kumwonea wivu mtu ambaye humpendi?
yes, simwonei wivu sababu simpendi tena......
sasa kama simpendi tena wivu wa nini?
 
acha denialism, hapa hatumaanishi kuwa unataka kurudiana naye au you are not over him - tunamaanisha kuwa usiposikia kale kamshtuko kule ndani basi ujue hukuwa unampenda, hayo mengine yote ni jitihada tu za ku-move on na kujiaminisha (kujipumbaza) kuwa upendo umeisha hivyo unaweza hata kumtafutia mtu; hivi unajua kwenye baadhi ya jamii zenye mitala ni mke anayemtafutia mume mke wa pili hivyo hicho sio kigezo cha kusema eti unafanya hivyo kwa sababu humpendi tena au huna wivu naye tena, ni namna tu ya kuendelea na maisha kwa kuwa huna jinsi...
Well said mkuu, haya ya kusema you can move on regardless na eti unaweza kumtafutia mtu mwingine? Basi binadamu tumeumbwa tofauti kabisa jinsi tunavyo chukulia mambo ya mapenzi. Wengine wanayachukulia kimzaa mzaa vile i.e hawawapendi wenzao kwa dhati ndio maana wanakuwa na ujasiri wa kubadilisha wapenzi kama flash DISKS!! Hii imenikumbusha hulka za wasichana/wanawake wa kizungu - wanazungumzaga bila simile kwamba unujua nilikuwa na BF wangu nilikaa naye miezi miwili nikaona hamna kitu nika move-on, juzi juzi nimepata mwingine naye akileta mambo ya kipuuzi nta move on, I hope tabia hizi hazitaingia nchini hasa hasa kwa vijana wetu.
 
FP nimependa hapo kwenye red.. unaonesha wewe una uelewa mkubwa sana... never turn back kama vile amabavyo huwezi kurudia utoto
umeona eeeh mdogo wangu? (humu wengi nawaita wadogo zangu ingawa lara 1 analikataa hili)
unaoneaje wivu mtu ambaye alishapita? hiyo ni kiashiria kuwa bado una feelings naye, period
 
Last edited by a moderator:
Well said mkuu, haya ya kusema you can move on regardless na eti unaweza kumtafutia mtu mwingine? Basi binadamu tumeumbwa tofauti kabisa jinsi tunavyo chukulia mambo ya mapenzi. Wengine wanayachukulia kimzaa mzaa vile i.e hawawapendi wenzao kwa dhati ndio maana wanakuwa na ujasiri wa kubadilisha wapenzi kama flash DISKS!! Hii imenikumbusha hulka za wasichana/wanawake wa kizungu - wanazungumzaga bila simile kwamba unujua nilikuwa na BF wangu nilikaa naye miezi miwili nikaona hamna kitu nika move-on, juzi juzi nimepata mwingine naye akileta mambo ya kipuuzi nta move on, I hope tabia hizi hazitaingia nchini hasa hasa kwa vijana wetu. kabisa huo unaweza kusema ulikuwa ni mapenzi ya dhati hata mimi nilishtuka kidogo na hii comment "
hii comment yako inaonyesha kuwa u-mtu mzima mwenzangu......sasa tuambiane...... umeshawahi kuwa na wapenzi wangapi tangu uanze mambo ya mapenzi? hapa tunaongelea wapenzi, siyo wapita njia...........
 
huo nao eti unaitwa wivu, lol!
mtu akifikia hatua hiyo siyo kwamba anakuonea wivu bali hakuamini....
hakuna kwenda kazini, shule, sokoni, kwa mjomba, kwa wakwe bila mume....yaani huamini mtu yeyote.....na home umefunga CCTV ambayo upo nayo 24/7..... halafu mama unasema "mume wangu ana wivu kweli na mimi"
FP sio kwamba hamwamini ila ana wivu ulopitiliza manake kama ni watu wanapiga nae story tu yaani mama akajibu watu wakachangamka basi baba hulalamika kwann watu baki wanamfaidi yeye(mke) kuliko baba anavyomfaidi??

siku moja tuliwah kutoka na hauyu dada na mumewe tukiwa na hubby sasa tulipokaa mke akahitaj huduma ya vocha mie kwakua nilikuwa nina balance kwenye cm nikamwambia ngoja nikutumie basi nikamtumia as my friend. waliporudi home mume kaka sirika kwann alirushiwa muda wa maongezi na mm. akamlaumu mkewe kama ulikuwa unataka si ungenituma mm (mume). akaishia kumwambia sipend mtu akuhudumie kuliko mm mumeo.

but nilichomfuraha huyu baba siku moja mkewe alipata ajali maeneo y suka usiku akitoka kazini yaani dk 3 ni nyingi alipata msaada a watu asoiowajua na hadi kuivuta gari mumewe hakuwepo tz. so ikapelekwa gereji na yeye akapelekwa hosp. nilipoona ile muvi nilihisi miongon mwa waliomsaidia basi na haomapaparazi walikuwemo manake mumewe alipopewa taarifa hakushtuka sana na alituma hela on spot.
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeh mdogo wangu? (humu wengi nawaita wadogo zangu ingawa lara 1 analikataa hili)
unaoneaje wivu mtu ambaye alishapita? hiyo ni kiashiria kuwa bado una feelings naye, period
FP mimi nilikuwa naye tuli break kwa makubaliano, ana sura nzuri ever lakini sijawah kujuta kuachana naye, pia sijawah taman itokee siku tuachane coz sikukurupuka kuachana... tangu aachane nami nimemkuta na boys more than 4 na wengine walikuja kuniuliza kama sitawa mind endapo watamtokea, I allowed them maybe wakashindwe na wakaleta ripoti tumempata nikawaambia nilijua hamtamkosa na hamtanyimwa...! Nilimpenda familia yangu ilimkubali kuliko chochote mpaka leo wananisihi nirudiane naye but huwa nawacheka na kuwapa stop... Siwezi kula matapishi yangu....!

Nilimpenda na sikuamini kama ntakuja achana naye but upendo wote ulitoka after a breakup meeting!
 
Ukiwa na mtu akakuambia habari za mtu aliyekuwa naye kabla au aliyefikiria kuwa naye ila ukawa husikii wivu hasa huyo mtu mwingine anapokuwa karibu au unapomuona jua humpendi mwenzio. Na ukiwa na mtu mkaachana, akakuacha au ukamuacha halafu ukimuona na mtu mwingine husikii wivu tambua kuwa ulikuwa humpendi mwenzako. Wivu ni kipimo thabiti cha mapenzi. Angalizo: Wivu ukizidi husababisha kifo. Ushauri: Maumivu yatokanayo na wivu yakizidi muone daktari. Kwa leo ni hayo tu kutoka kwenye Tafakuri za Alfajiri za Kompanero.

---
"Penzi Kitovu cha Uzembe" - Ngoswe

Wivu una mipaka yake na usipoangalia waweza ukawafakisha wawili wapendanao pabaya , mfano Kuna wakati na karibu mara zote,mwanamke huwa anamlaumu mwanaume na mwanaume kumlaumu mwanamke kwa kila mmoja kudhani kwamba mwenzake ndio chanzo cha matatizo. Hii ni kwa sababu wote wawili hawajui namna nadharia hii inavyofanya kazi. Huyu anataka kuthaminiwa wakati hampi mwenzake heshima na huyu anataka kupewa heshima wakati hamthamini mwenzake.

Ili kuondoa kulaumiana huko inabidi kila mmoja ajue wajibu wake, kwani kama mmoja ataanza kumpa mwingine kile anachohitaji ni wazi huyu mwingine atajibu kwa kumpa mwenzake kile kinachomstahilimwenzake ambacho ni heshima ukija ukaingiza na wivu ndani basi uharibu mambo yote
 
FP mimi nilikuwa naye tili break kwa makubaliano, ana sura nzuri ever lakini sijawah kujuta kuachana naye, pia sijawah taman itokee siku tuachane coz sikukurupuka kuachana... tangu aachane nami nimemkuta na boys more than 4 na wengine walikuja kuniuliza kama sitawa mind endapo watamtokea, I allowed them maybe wakashindwe na wakaleta ripoti tumempata nikawaambia nilijua hamtamkosa na hamtanyimwa...! Nilimpenda familia yangu ilimkubali kuliko chochote mpaka leo wananisihi nirudiane naye but huwa nawacheka na kuwapa stop... Siwezi kula matapishi yangu....!

Nilimpenda na sikuamini kama ntakuja achana naye but upendo wote ulitoka after a breakup meeting!

umenikumbusha mbali sana kwa mwandiko huu. niliwah kukosea nikiwa hubby alinieleza neno kama hilo kwamba wajua nakupenda sana sana, na sisi G's tunakuhitaj sana but once ukirudia tena hili sitojali kwamba u wa muhimu na mpendwa wetu. kauli hii huwa haikauki ubongoni kwangu, hujirudia rudia sana, ingawa yeye aliitamka kiume kwa kauli moja tu tena ya upole sana alkn yenye mamlaka.
 
Ni udhaifu mkubwa sana kurudiana na ex...! Sijui ni nini unajua nikikuambia nakupenda hasa MIMI Paxman huwa namaanisha lakini sio sababu ya wewe kufanya utakalo kisa unapendwa bali ur supposed to pay back that love kwa kila hali hapo upendo hautoki gfsonwin haiwezi kukutoka coz ni maneno yenye uhalisia na uhai pengine!
 
Paxman nilichojua mara nyingi sana mwanaume akiisema kauli yake kwa hisia huwa anaimaanisha kweli. huwa kwa sisi tulioolewa mume akisema kitu kwa hisia hadi moyoni hukiskia kitu hicho tena muda mwingine huwa unashangaa imekuwaje connection kati ya kauli yake na moyo wangu?? ndo sababu chunguza sana usione mwanaume ni mkalia ukasema mkewe anazajae kuishi nae?? mara nyingi huwa kuna connection kati ya maneno ya huyo mume na moyo wa mwanamke husika na hukuta kamwe hawawez kutengana hata mjitahid vp
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaaaa, unaenda ku-discuss?
karibu sana.... ila ujue huo ni msimamo wangu mimi, sijawasemea wengine

hii kanuni ni universal, ina-apply to all without exception; nitarudi - nahitaji utulivu wa fikra kupangua uliyoyasema ambao kwa sasa sina hadi baadaye
 
Duuuuh huyo jamaa wivu ulipitiliza hivi unajua kuwa mtu kama huyu akigundua mkewe ana mcheat anaweza ku hire watu wa kumuua anaye toka na mkewe? Na watu wa namna hii hawawezi kumuacha mke pengine hata wakimkamata na mtu!

mm bana sinaga experience sana ya ma-x ila niko hivi nikikupenda siku nikikushit basi kiwango kitazidi upendo nlokuwa nakupendea.

nina experience moa mtu ali hire private investigator kwaajili ya mkewe kisa wivu. the man lvd his wife mno and the wife alijua hilo. but mume hakuwa na 100% trust kwake. imagine the man anafanya kazi nzuri sana na muda mwingi hayuko nchini so alimweka huyu investigator awe ana link na wife pasi wife kujua.

jamaa sjui alibugi vipi wife akagundua mbona alitaka kudai talaka kwa hasira. ikabidi mume ajirudi manake ilikuwa ni kesi ya ukoo tena. but wife hadi leo anahisi mumewe anamwekea mlinzi ingawa hamjui ni nani.
 
Duuuuh huyo jamaa wivu ulipitiliza hivi unajua kuwa mtu kama huyu akigundua mkewe ana mcheat anaweza ku hire watu wa kumuua anaye toka na mkewe? Na watu wa namna hii hawawezi kumuacha mke pengine hata wakimkamata na mtu!

umeona enh! watu wa aina hii si mchezo na daima humwona mkewe kuwa mzuri na asiye stahili lawama.
 
mm bana sinaga experience sana ya ma-x ila niko hivi nikikupenda siku nikikushit basi kiwango kitazidi upendo nlokuwa nakupendea.

nina experience moa mtu ali hire private investigator kwaajili ya mkewe kisa wivu. the man lvd his wife mno and the wife alijua hilo. but mume hakuwa na 100% trust kwake. imagine the man anafanya kazi nzuri sana na muda mwingi hayuko nchini so alimweka huyu investigator awe ana link na wife pasi wife kujua.

jamaa sjui alibugi vipi wife akagundua mbona alitaka kudai talaka kwa hasira. ikabidi mume ajirudi manake ilikuwa ni kesi ya ukoo tena. but wife hadi leo anahisi mumewe anamwekea mlinzi ingawa hamjui ni nani.

Usije ukashangaa na mimi ni private Investigator, Kila jioni napeleka report yangu include idadi ya post ulizowa-quote wanaume!!
 
Back
Top Bottom