Wivu Kipimo Cha Mapenzi

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Ukiwa na mtu akakuambia habari za mtu aliyekuwa naye kabla au aliyefikiria kuwa naye ila ukawa husikii wivu hasa huyo mtu mwingine anapokuwa karibu au unapomuona jua humpendi mwenzio. Na ukiwa na mtu mkaachana, akakuacha au ukamuacha halafu ukimuona na mtu mwingine husikii wivu tambua kuwa ulikuwa humpendi mwenzako. Wivu ni kipimo thabiti cha mapenzi. Tahadhari: Wivu ukizidi husababisha kifo. Ushauri: Maumivu yatokanayo na wivu yakizidi muone daktari. Kwa leo ni hayo tu kutoka kwenye Tafakuri za Alfajiri za Kompanero.

---
"Penzi Kitovu cha Uzembe" - Ngoswe
 
Ukiwa na mtu akakuambia habari za mtu aliyekuwa naye kabla au aliyefikiria kuwa naye ila ukawa husikii wivu hasa huyo mtu mwingine anapokuwa karibu au unapomuona jua humpendi mwenzio. Na ukiwa na mtu mkaachana, akakuacha au ukamuacha halafu ukimuona na mtu mwingine husikii wivu tambua kuwa ulikuwa humpendi mwenzako. Wivu ni kipimo thabiti cha mapenzi. Angalizo: Wivu ukizidi husababisha kifo. Ushauri: Maumivu yatokanayo na wivu yakizidi muone daktari. Kwa leo ni hayo tu kutoka kwenye Tafakuri za Alfajiri za Kompanero.

---
"Penzi Kitovu cha Uzembe" - Ngoswe
hiyo hapo kwangu haiapply........
nakupenda tunapokuwa pamoja, nikikuona na mtu nitaumia sana.......yaani wivu unakuwa 100% lakini siku nikikubali kuachana nawe ujue na upendo kwako unaisha...... ndo maana mimi sijawahi kurudi kwa x, hata kama nilikupenda vipi..... ulishapita...... utakuwa rafiki yangu mzuri tu nakini wivu kwako hakuna tena...... tena naweza hata kumtafutia mtu ambaye naona anaweza akamfaa (nimeshawahi kufanya hivi tena kwa mtu ambaye nilimpenda saaaannnaaaa)
 
ssiweki wala sioni wivu ikibidi nakutafutia kabisa mwanamke ,sirudii matapishi kamwe thats my principle ,kama tuliachana hapo ndio mwisho sitaki mawasiliano na wewe period.ni lipi tunalozungumza tena?????????? lala mbele huko.tukishaachana ndio basi ni sawa nakukatisha pale kongo hunijui sikujui period.utaniharibia hekalu langu jipya mie lol
 
hivi mapenzi ndio mapendo?
 
Wivu deep down ni insecurity.Kwa hiyo unasema hakuna mapenzi kwa watu wasio na insecurity?
 
acha denialism, hapa hatumaanishi kuwa unataka kurudiana naye au you are not over him - tunamaanisha kuwa usiposikia kale kamshtuko kule ndani basi ujue hukuwa unampenda, hayo mengine yote ni jitihada tu za ku-move on na kujiaminisha (kujipumbaza) kuwa upendo umeisha hivyo unaweza hata kumtafutia mtu; hivi unajua kwenye baadhi ya jamii zenye mitala ni mke anayemtafutia mume mke wa pili hivyo hicho sio kigezo cha kusema eti unafanya hivyo kwa sababu humpendi tena au huna wivu naye tena, ni namna tu ya kuendelea na maisha kwa kuwa huna jinsi...
 
mm bana sinaga experience sana ya ma-x ila niko hivi nikikupenda siku nikikushit basi kiwango kitazidi upendo nlokuwa nakupendea.

nina experience moa mtu ali hire private investigator kwaajili ya mkewe kisa wivu. the man lvd his wife mno and the wife alijua hilo. but mume hakuwa na 100% trust kwake. imagine the man anafanya kazi nzuri sana na muda mwingi hayuko nchini so alimweka huyu investigator awe ana link na wife pasi wife kujua.

jamaa sjui alibugi vipi wife akagundua mbona alitaka kudai talaka kwa hasira. ikabidi mume ajirudi manake ilikuwa ni kesi ya ukoo tena. but wife hadi leo anahisi mumewe anamwekea mlinzi ingawa hamjui ni nani.
 
wrong premises give wrong conclusions - you are asking the wrong question sir, hiyo ni tafsiri yako ya wivu...yaani ukute mpenzi wako anafanya mapenzi na mtu mwingine kisha ukisikia kitu kinachoma moyoni useme ni insecurity?
 
ssiweki wala sioni wivu ikibidi nakutafutia kabisa mwanamke ,sirudii matapishi kamwe thats my principle ,kama tuliachana hapo ndio mwisho sitaki mawasiliano na wewe period.ni lipi tunalozungumza tena?????????? lala mbele huko.tukishaachana ndio basi ni sawa nakukatisha pale kongo hunijui sikujui period.utaniharibia hekalu langu jipya mie lol

well well love ndio inavotaka akikuzingua tupa kule na unamsahau kabisaa...
 
acha denialism, hapa hatumaanishi kuwa unataka kurudiana naye au you are not over him - tunamaanisha kuwa usiposikia kale kamshtuko kule ndani basi ujue hukuwa unampenda, hayo mengine yote ni jitihada tu za ku-move on na kujiaminisha (kujipumbaza) kuwa upendo umeisha hivyo unaweza hata kumtafutia mtu; hivi unajua kwenye baadhi ya jamii zenye mitala ni mke anayemtafutia mume mke wa pili hivyo hicho sio kigezo cha kusema eti unafanya hivyo kwa sababu humpendi tena au huna wivu naye tena, ni namna tu ya kuendelea na maisha kwa kuwa huna jinsi...
kati ya yoooote uliyoyaongea hapo ndo mwisho wa matatizo, huna jinsi...... mimi nina jinsi.....I am not with you anymore, unaweza kufanya chochote na hakinihusu.....kila mtu ame-move on na maisha yanaendelea.
mimi nilichosema kwangu haki-apply ni kwamba lazima usikie kawivu kwa x, ukiona kuwa bado unakawivu ujue bado unampenda, na ndo maana itakuwa rahisi sana kwenu kurudiana sababu bado mnapendana..... wanasema kiporo hakihitaji moto mwingi, siyo?
 
mm bana sinaga experience sana ya ma-x ila niko hivi nikikupenda siku nikikushit basi kiwango kitazidi upendo nlokuwa nakupendea.

nina experience moa mtu ali hire private investigator kwaajili ya mkewe kisa wivu. the man lvd his wife mno and the wife alijua hilo. but mume hakuwa na 100% trust kwake. imagine the man anafanya kazi nzuri sana na muda mwingi hayuko nchini so alimweka huyu investigator awe ana link na wife pasi wife kujua.

jamaa sjui alibugi vipi wife akagundua mbona alitaka kudai talaka kwa hasira. ikabidi mume ajirudi manake ilikuwa ni kesi ya ukoo tena. but wife hadi leo anahisi mumewe anamwekea mlinzi ingawa hamjui ni nani.
huo nao eti unaitwa wivu, lol!
mtu akifikia hatua hiyo siyo kwamba anakuonea wivu bali hakuamini....
hakuna kwenda kazini, shule, sokoni, kwa mjomba, kwa wakwe bila mume....yaani huamini mtu yeyote.....na home umefunga CCTV ambayo upo nayo 24/7..... halafu mama unasema "mume wangu ana wivu kweli na mimi"
 
wrong premises give wrong conclusions - you are asking the wrong question sir, hiyo ni tafsiri yako ya wivu...yaani ukute mpenzi wako anafanya mapenzi na mtu mwingine kisha ukisikia kitu kinachoma moyoni useme ni insecurity?

Mosi, ukikuta mpenzi wako "anafanya mapenzi" na mtu mwingine, kitu kitakachokuchoma moyoni si wivu. Unaweza kuchomwa na wivu ukimuona mtu unayemtaka yuko na mwingine, lakini ukimkuta mpenzi wako yuko na mwingine kihivyo unaweza kupata hasira, unaweza kuona umehadaiwa, unaweza kupata chuki, lakini ukifikiri una wivu ama unajichanganya au you are beyond insecure.

Pili, the height of security would not allow that situation to happen in the first place anyway.

Tatu, in the hypothetical situation where that were to happen, the height of security would not invoke wivu, but ditching the betrayer, without looking back.

Wivu is hardly the mark of confidence and security.
 
Back
Top Bottom