Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,506
- 113,626
Kwa Mfumo wa tz Rais yuko juu ya sheriaRais hana mamlaka ya kumsamehe mtuhumiwa.
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.
Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".
Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.
Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.
Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.
Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.
Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.
Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.
DPP atumie madaraka yake kisheria ipasavyo, asisubiri maelekezo ya wanasiasa ili afanye kazi
...kwa hiyo ni bora wateuliwa kama hawa wawe wanapitishwa na chombo/taasisi fulani hivi baada ya kupendekezwa na Rais, na si kuteuliwa tu. Huenda.Tatizo hatujui kama kuna utashi au nia ya kweli kushughulikia mambo fulani fulani.www.jamiiforums.com
Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.
Paskali
Cape Town
RSA.

Mkuu hiyo nolle yako nadhani ndiyo itatumika lakini ujue kwamba wakutumia nolle kesho akaja Rais na DPP mwingine wanaweza kutafuta ushahidi dhidi yao na wakiupata wanawaburuza mahakamani tena!Wanabodi,

Ushauri mbovu kufanya siri ni kutaka kumfanya raisi aje kusingiziwa mengi baadae wanatakia wakiachiwa wasimame uwanja wa taifa kukili kila kitu dunia nzima itambue hapo mjadala wa wao kuonewa utakuwa umekufa laa siyo watakuwa wanakanusha na kudai walionewa na kushurutishwa kukiliWanabodi,

Watubu hadharani na wawataje walioshirikiana nao kufanikisha wizi huo, vinginevyo hautakoma.Siri, siri, siri kila kitu ni siri! Hatuwezi kuwaelewa kama wakiwaachia wahujumu uchumi kirahisi hivyo, bila ya sisi wananchi wenye nchi yetu kujua kwa nini wezi wetu wapo uraiani! Hang on a sec! Je utafurahi kumuona mwizi wako uraiani baada ya kukutenda!?