Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,337
- 113,180
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.
Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".
Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.
Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.
Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.
Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.
Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.
Kwa msiofahamu powers za DPP, tembeleahttps://www.jamiiforums.com/threads/dpp-wetu-kizuizi-katika-mapambano-dhidi-ya-ufisadi.28018/
Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.
Paskali
Cape Town
RSA.