Wito kwa DPP: Japo ni Ushauri wa Rais kuwasamehe, Tafadhali tumia Nolle kufuta kesi zao, Makubaliano yawe siri ili wapokelewe na Jamii kama Watu Wema

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,179
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembeleahttps://www.jamiiforums.com/threads/dpp-wetu-kizuizi-katika-mapambano-dhidi-ya-ufisadi.28018/

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.
 
Siri, siri, siri kila kitu ni siri! Hatuwezi kuwaelewa kama wakiwaachia wahujumu uchumi kirahisi hivyo, bila ya sisi wananchi wenye nchi yetu kujua kwa nini wezi wetu wapo uraiani! Hang on a sec! Je utafurahi kumuona mwizi wako uraiani baada ya kukutenda!?
 
KUNUNUA UHURU WAO!!!!!

Hilo jambo umerirudia zaidi ya mara moja. Obvious ndo corner stone ya UZI WAKO but unakazana na Huruma ya Rais!!!!

Mwaka jana majambazi yaniibia gari langu then wakanipigia simu wakinitaka niseme gari nililipoteza nikiwa nimelewa, wakaliokota (majambazi) then nitangaze Dau la milioni 12 kwa wasamalia wema waliookota gari langu (majambazi)

Nawashukuru kwa wema na huruma yenu
 
Kwanini tulipoteza pesa kujenga mahakama ya mafisadi? Kulikua na haja gani? Lengo ilikua kumfurahisha nani? Ni kweli tunahitaji mahama ya ziada kwa ajili ya makosa ya ufisadi?
 
Kaka Paskali , nimesoma andiko lako nikaishia kucheka tu. Kweli safari hii tumepatwa yaani hadi wewe unaandika kwa kiwango cha chini namna hii?

Any way acha tuone mwisho wake.
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Kuna raha sana kutawala wajinga
 
Mkuu hiyo nolle yako nadhani ndiyo itatumika lakini ujue kwamba wakutumia nolle kesho akaja Rais na DPP mwingine wanaweza kutafuta ushahidi dhidi yao na wakiupata wanawaburuza mahakamani tena!
 
Mkuu Pascal Mayalla

Watanzania tuna utamaduni wa kuongelea matukio na si sababu za matukio hayo
Kwa lugha yetu ya mtaani tunasema '' Tunaangalia tulipoangukia na siyo tulipo jikwaa''

Sheria inasema mtu hana hatia hadi pale itakapothibitishwa na mahakama vinginevyo (presumptions of innocence ) na jukumu la kuthibitisha makosa ni kwa mwendesha mashtaka.

Mtu anapokamatwa imeshathibitika pasi na shaka kwamba ana la kujibu mbele ya mahakama.
Ndiyo maana sheria inamtaka mwendesha mashtaka amfikishe mahakamani katika muda fulani.

Sasa mtu anakamatwaje na kukaa mahabusu miaka 2, 3, 4,5 akisubiri uchunguzi?

Hawa wanaotubu wapo ''under duress'' yaani mgandamizo wa hali ilivyo!

Na kama wanatubu kwanini wasipelekwe mahakamani wakaingia ''deal'' na prosecutor, kwamba wakiri makosa kwa condition kwamba watarudisha pesa! na prosecutor aombe adhabu rahisi ikiwemo kuangalia mwenendo wao!

Nadhani kuna kila sababu ya kumbana DPP kisheria kwamba, mtu akikamatwa ushahidi uwepo apelekwe mahakamani kwa muda fulani vinginevyo aachwe huru.

Hili litasaidia kupunguza ''uchunguzi haujakamilika'' wakati watu wakitumikia ''vifungo'' kwa maana kuwa mahabusu au kuwa na dhamana ambayo huondoa uhuru wa mhusika.

Swali la muhumu hapa ni kwa DPP.
Hivi hawa wanaotubu wapo kundi gani? Wahalifu au siyo wahalifu?

Ukisema ni wahalifu, hakuna mahakama iliyoyothibitisha hilo
Ukisema siyo kuna barua kwa ''Chief prosecutor'' ya kukiri uhalifu

Sasa mtu akiomba ''background check'' yao kutoka wizara ya mambo ya ndani, inakuwaje?
 
Unajitoa akili Pasco,unajua maana ya siri? Je maelewano yakiwa black maili rushwa zikatembea hapo hujaona?

Pamoja akili nyingi huondoa maarifa

Aibu gani walindwe nani mwenye akili
Hujaui ufidadi awamu ya nne ,sio hao tu waliofisidi wwngine ni viongozi ,wakubwa tu

Raisi ,kaona mfumo uliruhusu wengi,walau hawa nao watoke tu
Yaani mwenye kukamatwa na ngozi ndio mwizi

Swala LA huyo DPP OK kashauriwa afanye kama alivyo shauriwa ,atangaze nani kakili

Tatizo we pascol umekuwa over ukabila haina shida tesa kwa zamu
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.
Ushauri mbovu kufanya siri ni kutaka kumfanya raisi aje kusingiziwa mengi baadae wanatakia wakiachiwa wasimame uwanja wa taifa kukili kila kitu dunia nzima itambue hapo mjadala wa wao kuonewa utakuwa umekufa laa siyo watakuwa wanakanusha na kudai walionewa na kushurutishwa kukili
 
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.

Kwa wadau wa sharia na haki za binadamu ni wazi sasa kwamba AFTER 3 YEARS hakuna kesi iliyoanza kuskilizwa kikamilifu.
Maana yake ni hii:
  1. Hapakuwepo kesi in the first place
  2. DPP na prosecutors wake hawawezi kazi kwani after three years wameshindwa kuuthitishia mahakama na umma kama kuna kesi ya kujibu(ku buildup case)
  3. Watu wamewekw ndani kwa mihemuko ya kisiasa
  4. Hili zoezi la kuwaomba watu wakiri makossa ili wasamehewe halijakaa kisheria sana
  5. Watuhumiwa wanaweza na ni haki yao kudai Fidia kisheria kwa kuwekwa ndani bila sababu ya kimsingi.
Paskali hayo yawekwe maanani anything can happen.
 
Siri, siri, siri kila kitu ni siri! Hatuwezi kuwaelewa kama wakiwaachia wahujumu uchumi kirahisi hivyo, bila ya sisi wananchi wenye nchi yetu kujua kwa nini wezi wetu wapo uraiani! Hang on a sec! Je utafurahi kumuona mwizi wako uraiani baada ya kukutenda!?
Watubu hadharani na wawataje walioshirikiana nao kufanikisha wizi huo, vinginevyo hautakoma.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom