Wito kwa DPP: Japo ni Ushauri wa Rais kuwasamehe, Tafadhali tumia Nolle kufuta kesi zao, Makubaliano yawe siri ili wapokelewe na Jamii kama Watu Wema

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,684
2,000
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.
raisi Magufuli hana huruma kwa watanzania labda wale wa kanda ya ziwa na wakristo. angekuwa na huruma asingeamulu bwana TUNDU ANTITAS MUGWAI LISU amiminiwe risasi nyingi kiasi kile kama jambazi.
asingeamulu bwana BEN RAIBU SANANE atekwe. yule diwani wa kigoma bwana kagoye nae katoweka. masheikhe wa uamsho wanasota ndani. pesa za rambirambi kagera alizitia kwenye matumizi na kuwatukan awahanga.
ANACHOKIFANYA NI KUKUSANYA PESA KWA ALIOWAITA MAFISADI
raisi ni mdini na mkabila mpaka anaongea kikwao mikutanoni. ametunyima bunge LIVE Sasa ni KULU LIVE hata akiombwa misamaha ya kutengeneza ni live
Damu ya kijana wa MAKAMBAKO ITAMWANDAMA DAIMA
 
Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,530
2,000
Kaka Paskali , nimesoma andiko lako nikaishia kucheka tu. Kweli safari hii tumepatwa yaani hadi wewe unaandika kwa kiwango cha chini namna hii?

Any way acha tuone mwisho wake.
Ndugu Golden, Pascal anajiharibia credibility yake, amekuwa Interest seeker, i always used to enjoy threads zake. Unfortunately his transforming to become chipukizi
 
Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
13,838
2,000
Maneno HURUMA na KUWASAMEHE ungeyawekea funga na fungua semikwa kutokana na uzito wake
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.
 
Bungua

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
925
1,000
Siri, siri, siri kila kitu ni siri! Hatuwezi kuwaelewa kama wakiwaachia wahujumu uchumi kirahisi hivyo, bila ya sisi wananchi wenye nchi yetu kujua kwa nini wezi wetu wapo uraiani! Hang on a sec! Je utafurahi kumuona mwizi wako uraiani baada ya kukutenda!?
[/QUOTE
Shida sana. Kati ya wote hao hakuna mwizi wenu hata mmoja. Kama loyal Tz Citizens mko sampuli hii, hakuna taifa kuna nchi tu. P. kaeleza vizuri tu kwa lugha nyepesi hata kwa chekechea. Naona hapa kinachosumbua ni poverty mentality. Mwenye kuwa nacho ni mwizi tu. Hawa watu mpaka dakika hii wanatuhiwa tu. Hawajahukumiwa kwa kisingizio cha upelelezi kutokamilika. Mwenye tatizo ni mtuhumu. Bingwa kutuhumu tu. Anakamata na kuweka mahabusi. Hakuna dhamana. Kila siku adamkia mahakamani kudai kuwa upelelezi haujakamilika. Mahakama zao nazo zinaentertain such rubbish with no foreseeable end! Nasema zao maana za Mwalusanya, Lugakingira na Samatta zisingekubali huo upuuzi. Miaka mitano upelelezi haukamiliki?
Mifano ipo mingi. DPP akiamka vizuri mmojapo anaiagiza mahakama kumwachia. Hakimu anaridhia kumwachia. Atakataa? Kwani anamtuhumu yeye? Mtu kaharibiwa jina, kasota ndani muda mrefu, kaharibiwa mipango yake ya maisha. Kirahisi siku moja anaambiwa Nolle Prosqei. DPP hawajibiki kwa yeyote kueleza sababu ya huo uamuzi wake. Tunasema ndio utawala wa sheria. Mungu mwenyewe hafanyi hivyo. Mungu anatoa fursa ya kujitetea. Amejaa rehema na hata ni mwingi wa neema!
DPP ameshindwa kukamilisha upelelezi. Sidhani kama upelelezi unafanyika. Watuhumiwa wameonekana hata kwa rais walivyokonda. Akawahurumia ( very doubtful). Akamwagiza mshitaki wao, DPP, awasikilize wakiri kuiba, walipe awatoe. P. anashauri na kumuomba DPP atumie njia ya Nolle Prosqei kuwaachia. After all wao si wafungwa. Wao si wezi ni watuhumiwa tu wa wizi!!
 
viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,048
2,000
Kuna mtu amekalia ofisi anasema wenzake waombe msamaha, tutakuja fukua kaburi la nyumba za serikali na MV Bagamoyo
 
NewOrder

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,856
2,000
Rais hana mamlaka ya kumsamehe mtuhumiwa.

Uko sahihi mkuu. Rais ana mamlaka ya kumfungulia kifungo mtu aliyehukumiwa na mahakama, na si kwa makosa yote!!

Hii ya msamaha wa Rais katika hatua za mashitaka ni jambo la ajabu sana na la kupingwa. Kama mpk sasa walikuwa hawajahukumiwa - inaonesha serikali ilikuwa imeshindwa kuthibitisha kwa mahakama, au hata kushitakiwa kwao ilikuwa ni mbinu ya kuwabinya tu.

Kilichofanywa na Rais na DPP kinathibitisha kuwa baadhi ya mashitaka hufunguliwa kwa hila na mahakama zimekuwa zikiingiliwa (mapingamizi dhidi ya dhamana kwa makosa yanayodhaminika).

Jambo sahihi ilikuwa ni kufuta kesi na kuwaachia huru.

Nchi hii inaelekea gizani!
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,150
2,000
Kitendo kilichofanya na selikal ni kujichoresha tu. Watu walikua wanajua wanaonewa, sasa kujifanya wanatoa msamaha ni kama kuudhihirishia uma yakua hapakuwepo na wahujumu uchumi na walionewa tu.
Kama wameonewa siwaendelee na kesi washinde wadai na fidia shida iko wapi?
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,150
2,000
Uko sahihi mkuu. Rais ana mamlaka ya kumfungulia kifungo mtu aliyehukumiwa na mahakama, na si kwa makosa yote!!

Hii ya msamaha wa Rais katika hatua za mashitaka ni jambo la ajabu sana na la kupingwa. Kama mpk sasa walikuwa hawajahukumiwa - inaonesha serikali ilikuwa imeshindwa kuthibitisha kwa mahakama, au hata kushitakiwa kwao ilikuwa ni mbinu ya kuwabinya tu.

Kilichofanywa na Rais na DPP kinathibitisha kuwa baadhi ya mashitaka hufunguliwa kwa hila na mahakama zimekuwa zikiingiliwa (mapingamizi dhidi ya dhamana kwa makosa yanayodhaminika).

Jambo sahihi ilikuwa ni kufuta kesi na kuwaachia huru.

Nchi hii inaelekea gizani!
Mnadhani wao Ni wajinga kuomba msamaha? Hivi wanaomba kwa Rais au DPP? Simuwashauri wasiombe msamaha, Ni nyie na tundulissu wenu muliokuwa mnasema jk anakamata vidagaa sangala wanaachwa leo kaja mvuvi was pweza wasenge nyie nyie mumezua jingine
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,150
2,000
raisi Magufuli hana huruma kwa watanzania labda wale wa kanda ya ziwa na wakristo. angekuwa na huruma asingeamulu bwana TUNDU ANTITAS MUGWAI LISU amiminiwe risasi nyingi kiasi kile kama jambazi.
asingeamulu bwana BEN RAIBU SANANE atekwe. yule diwani wa kigoma bwana kagoye nae katoweka. masheikhe wa uamsho wanasota ndani. pesa za rambirambi kagera alizitia kwenye matumizi na kuwatukan awahanga.
ANACHOKIFANYA NI KUKUSANYA PESA KWA ALIOWAITA MAFISADI
raisi ni mdini na mkabila mpaka anaongea kikwao mikutanoni. ametunyima bunge LIVE Sasa ni KULU LIVE hata akiombwa misamaha ya kutengeneza ni live
Damu ya kijana wa MAKAMBAKO ITAMWANDAMA DAIMA
We chizi
 
NewOrder

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,856
2,000
Mnadhani wao Ni wajinga kuomba msamaha? Hivi wanaomba kwa Rais au DPP? Simuwashauri wasiombe msamaha, Ni nyie na tundulissu wenu muliokuwa mnasema jk anakamata vidagaa sangala wanaachwa leo kaja mvuvi was pweza wasenge nyie nyie mumezua jingine

Very low thinking capacity, aina hii ya wananchi ni kiwakilishi cha kwanini nchi hii iko hapa ilipo. Kuna sehemu yeyote nimetukana mtu?? Kwanini unanitukana, kwa vile nimepishana mawazo na wewe na watu wengine?? Jua hili - kupishana mawazo au kufanana mawazo ni jambo la asili. Lakini tuache hilo - tuje kwenya mada. Ukimwambia mtu akiri kuwa aliiba na akafanya hivo - huyo ni mkosaji na anastahili kusamehewa tu baada ya kuwa amehukumiwa. Nitarudia hili kwa ajili ya yako - mahakama ingeweza kuwahukumu watu hawa vifungo na kuwalazimisha kurejesha walichoiba. Njia hii haikutumika na badala yake DPP amefanya kitu kinachoitwa "plea deal" na washitakiwa lakini wakikiri kutenda kosa. DPP sio hakimu!!!
 
Huyo Eddy msamehe bure. Thinking capacity yake ni kama ulivyotaja. Angalia mchango wake ni mwingi lakini immaterial!_Tuna sheria za ajabu zisizo sheria. Mtuhumiwa ni wa nani? Mahabusu mahabusi ya polisi( lockup) ni wa polisi. Akipelekwa mahakamani akakosa dhamana ni mahabusu mahabusi ya gereza. Shida inaanzia hapa.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
26,151
2,000
Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.
Naomba kupingana nawe mwanasheria msomi Pascal Mayalla.Naomba uzingatie dondoo zifuatazo:~
>Magufuli ametoa ushauri na ameweka wazi sheria ifuatwe
>DPP ndio mwenye uwezo wa kufuta kesi
>Kuna sheria mpya imepitwa ya Plea bargain
DPP akitumia Nolle prosequi maana yake ana uwezo wa kumkamata tena mshitakiwa na kumfungulia mashitaka.,
Muongozo wa DPP ni kwa kufuata sheria ya plea bargain,fisadi litatema mzigo litakiri makosa,na litasema halitakata rufaa au kuomba kusafishwa
DPP akiridhika atakwenda kusajili makubaliano hayo ambayo yataambatana na faini kiduchu au bila faini
Makubaliano ni siri,jamii ikikuona itajua tu uliungama!
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,150
2,000
Huyo Eddy msamehe bure. Thinking capacity yake ni kama ulivyotaja. Angalia mchango wake ni mwingi lakini immaterial!_Tuna sheria za ajabu zisizo sheria. Mtuhumiwa ni wa nani? Mahabusu mahabusi ya polisi( lockup) ni wa polisi. Akipelekwa mahakamani akakosa dhamana ni mahabusu mahabusi ya gereza. Shida inaanzia hapa.
Mkuu kwahiyo mtuhumiwa aendelee kuwa wapolisi hata baada ya kufika mahakamani? Kuhusu hoja ya msingi, kwanza wapo waliofikishwa mahakamani Ni aidha akiri hakimu amhukumu au akiri DPP aamue kutokuendelea na shauri. Pili, walioko kwa DPP na hawajafikishwa mahakamani aidha wakiri na aweke faili kwapani au aone hapana lazima wasongeshwe tu jela. Sasa sijui happy kwako unaona lipi jema? Lakini hakuna anayelazimishwa kwa mjeledi kukiri, anayeona kaonewa Yuko huru kuendelea mahakamani kudai haki yake ya msingi. Hebu tuviache vyombo vya sheria vifanye kazi zake.
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,914
2,000
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.
Kwa nini iwe siri wakati wanakubali walifanya makosa na wanaomba msamaha??
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,536
2,000
Nachukulia kuwa;
Baada ya kukosa ushahidi wowote wa hawa watu, mmeamua kuwaachia kwa vitisho kuwa, Usipokubali kukiri kuwa ulikuwa umeshikiliwa kihalali hutatoka humo jela. Nadhani hawa watu mmeshindwa au mmeogopa kuwaachilia bila sharti kwani mmejua kuwa watawadai fidia.kuwa.
Naikumbuka ile kesi ya kina Zombe. Walioachiwa walilipwa mahela ya kufa mtu. Sasa hizi kesi mkaona zitatufilisi kabisa.
Ushauri;
Tuwaachie tu kwani hakuna namna. Wakiendelea kusota wataja tufilisi
 
Bungua

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
925
1,000
Mkuu kwahiyo mtuhumiwa aendelee kuwa wapolisi hata baada ya kufika mahakamani? Kuhusu hoja ya msingi, kwanza wapo waliofikishwa mahakamani Ni aidha akiri hakimu amhukumu au akiri DPP aamue kutokuendelea na shauri. Pili, walioko kwa DPP na hawajafikishwa mahakamani aidha wakiri na aweke faili kwapani au aone hapana lazima wasongeshwe tu jela. Sasa sijui happy kwako unaona lipi jema? Lakini hakuna anayelazimishwa kwa mjeledi kukiri, anayeona kaonewa Yuko huru kuendelea mahakamani kudai haki yake ya msingi. Hebu tuviache vyombo vya sheria vifanye kazi zake.
Only a free man can negotiate/ bargain - Nelson Mandela. Mtu umo ndani miaka 3+ utajadili nini? Kuna agizo kwa mahakama asiyetaka kukiri na kununua uhuru wake afungwe sana tu! Labda uwe Rugemalira.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom