Wito kwa DPP: Japo ni Ushauri wa Rais kuwasamehe, Tafadhali tumia Nolle kufuta kesi zao, Makubaliano yawe siri ili wapokelewe na Jamii kama Watu Wema

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,150
2,000
Kwa wadau wa sharia na haki za binadamu ni wazi sasa kwamba AFTER 3 YEARS hakuna kesi iliyoanza kuskilizwa kikamilifu.
Maana yake ni hii:
 1. Hapakuwepo kesi in the first place
 2. DPP na prosecutors wake hawawezi kazi kwani after three years wameshindwa kuuthitishia mahakama na umma kama kuna kesi ya kujibu(ku buildup case)
 3. Watu wamewekw ndani kwa mihemuko ya kisiasa
 4. Hili zoezi la kuwaomba watu wakiri makossa ili wasamehewe halijakaa kisheria sana
 5. Watuhumiwa wanaweza na ni haki yao kudai Fidia kisheria kwa kuwekwa ndani bila sababu ya kimsingi.
Paskali hayo yawekwe maanani anything can happen.
Hivi kile kibabu kilicholeta laki tano kwa house girl was rutabanzibwa kulikuwa na mhemko was kisiasa? Hebu wacheni mambo ya kijinga
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,707
2,000
Tunasubiri habari za huko bondeni.

Huku uchaguzi wa serkali za mitaa umekaribia,ukumbuke kurudi mapema ujr uchague kiongozi wako.
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,150
2,000
Hujajibu hoja muhimu hasa kwa nini after 3years prosecutors hawajaweza ku build up case.
Uwe kama great thinker , usiwe kama kigoli alieekezwa kukeketwa.
We msaghano kweli, Nana kakwambia kesi Ina muda was kukoma? Hujawahi sikia kesi Zina miaka 20 mahakamani? Na wangehukumiwa haraka simngesema Kuna shinikizo? Wacha wanasheria wajiridhishe watende haki Kama hawajaiba diwaache kutubu kesi ziendelee
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
10,565
2,000
We msaghano kweli, Nana kakwambia kesi Ina muda was kukoma? Hujawahi sikia kesi Zina miaka 20 mahakamani? Na wangehukumiwa haraka simngesema Kuna shinikizo? Wacha wanasheria wajiridhishe watende haki Kama hawajaiba diwaache kutubu kesi ziendelee
Siwezi bishana jitu jinga.
FULL STOP.
 
KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,525
2,000
Mkuu hiyo nolle yako nadhani ndiyo itatumika lakini ujue kwamba wakutumia nolle kesho akaja Rais na DPP mwingine wanaweza kutafuta ushahidi dhidi yao na wakiupata wanawaburuza mahakamani tena!
“When a doctor does go wrong he is the first of criminals.” ― Arthur Conan Doyle
 
Nyabutoro

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
1,133
2,000
Paskale unajua kuandika kwa ufundi, umenifurahisha pale uliposema '' kununua Uhuru wao''
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,728
2,000
Kwa wadau wa sharia na haki za binadamu ni wazi sasa kwamba AFTER 3 YEARS hakuna kesi iliyoanza kuskilizwa kikamilifu.
Maana yake ni hii:
 1. Hapakuwepo kesi in the first place
 2. DPP na prosecutors wake hawawezi kazi kwani after three years wameshindwa kuuthitishia mahakama na umma kama kuna kesi ya kujibu(ku buildup case)
 3. Watu wamewekw ndani kwa mihemuko ya kisiasa
 4. Hili zoezi la kuwaomba watu wakiri makossa ili wasamehewe halijakaa kisheria sana
 5. Watuhumiwa wanaweza na ni haki yao kudai Fidia kisheria kwa kuwekwa ndani bila sababu ya kimsingi.
Paskali hayo yawekwe maanani anything can happen.
Wakikiri na kuomba msamaha watapata wapi nguvu za kudai fidia kwa kutumia malicious prosecution? Halafu hakuna mahakama iliyowaona kwamba hawana hatia bali wao walikubali ushauri na kuamua kukiri na kuomba msamaha.
 
sagaciR

JF-Expert Member
Jun 17, 2017
645
1,000
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.
With great respect to your industrial proposition, you are waging war against the position of Law in our jurisdiction, for the simple reasons that:-

Nolle Prosequi, is the power of the DDP granted under section 91 of the Criminal procedure Act (Cap 20) ("the CPA"). Whereby the Republic declares that has no long interesting with the case, which effect is the court to "DISCHARGE" not to "ACQUIT or CONVICT" the accused person. To discharged in law implies that the accused person may be re-arraigned if new evidence is found.

Plea Bargaining is an agreement btn the accused and the Republic, where by the accused plea guilty to the offence charge or the lesser offence and agree liability as charged. This is granted under section 194B of the same Act (Cap 20). Here the accused person serves the time of the both the Court and the Republic by not indulging into producing evidences to prove the offence.

The effect of plea bargaining is that the accused is found guilty and is held liable to pay or restitute any property (see Section 194B (c) of the CPA). Under plea bargaining no further proceeding may be initiated on the same count even if new evidence is procured (i.e the prosecution is finally determined and concluded).

In the upshot the legal position to be taken by the DPP in the above subject is not Nolle Prosequi (under section 91 CPA) as my fellow member forcefully concedes, lather PLEA BARGAINING (under Section 194A,194B) will suffice.
 
RAYAN THE DON

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
680
1,000
Nidhamu ikizidi huzaa uoga ambao unasabisha akili kuwa kama ng'ombe ambaye hulazimishwa kunywa maji wakati hawana kiu. Tzee badilikeni msiendeshwe kama gari bovu. Mtu akiamka tu toka usingizini unakuta anawaletea utaratibu wa nyumbani kwake bila kujali kama kuna sheria. Be wise, take action against ongoing oppression.
 
akatanyukuile

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
314
500
Kitendo kilichofanya na selikal ni kujichoresha tu. Watu walikua wanajua wanaonewa, sasa kujifanya wanatoa msamaha ni kama kuudhihirishia uma yakua hapakuwepo na wahujumu uchumi na walionewa tu.
 
fundimchundo

JF-Expert Member
Jul 23, 2010
428
1,000
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.
Paskali, you are wrong.
Mwizi ye yote stahiki yake ni kutemewa mate. JPM ameeleza wazi, "aliye tayari kutubu na kurudisha alichoiba, aandike barua".
Hakusema aliyechoka kusubiri uchunguzi ukamilike!
Mwizi ye yote hastahili heshima unayoielezea katika andiko lako.
 
comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,726
2,000
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito na ushauri kwa DPP, Japo ni Ushauri wa Rais Magufuli , Kuwasamehe, Wahujumu Uchumi Watakao Kiri Makosa Yao, Kutubu na Kuahidi Kurudisha, Namuomba DDP, P'se Tumia Nolle Kufuta Kesi Zao, Makubaliano Yawe Siri Ili Wapokelewe na Jamii Kama Watu Wema.

Tanzania inafuata mfumo wa utoaji haki wa nchi za Jumuiya ya Madola ambao kanuni yake ni "Innocent until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kwa mujibu wa kanuni hii, watuhumiwa wote wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, they are all innocent until proven guilty, and the burden of proof lies with the prosecution, kwa vile kesi hizi zimechukua muda mrefu bila uchunguzi kukamilika, hadi rais Magufuli ameingia huruma na kuingilia kati kwa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, watakao kiri makosa yao, kutubu na kuahidi kurudisha, ili kununua uhuru wao.

Kwa vile rais Magufuli ametoa msamaha huu genuinely kuwaonea huruma wanavyoteseka, hivyo to save the face of incompetence ya prosecution, na lengo la rais Magufuli, licha ya kuguswa na mateso yao, pia amewasamehe ili warudi kuungana na familia zao, na kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao, nakuomba utumie zile power zako za Nolle Prosequi
kuwafutia kesi zao ili huku uraiani tuwapokee kama watu wema, innocent victims na sio kama wahalifu mafisadi, na wahujumu uchumi, waliokiri, hivyo kuendelea na shughuli zao kwa amani kama raia wema.

Hivyo hayo makubaliano yafanywe ni siri kati ya ofisi yako na watuhumiwa, sisi huku mitaani tuwapokee kama raia wema waliopata matatizo ya tuhuma za uhujumu wa uchumi ila wamefutiwa kesi zao na DPP.

Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Kwa msiofahamu powers za DPP, tembelea hapa.

Nimalizie kwa kumpongeza rais wetu Magufuli kwa huruma yake kwa Watanzania wanaoteseka magerezan kwa kusubiria kutendewa haki, justice delayed is justice denied.

Paskali
Cape Town
RSA.
Pakali,
Wakati ninatafakari nini cha kusema kwenye hii hoja yako ebu pitia hii kidogo
Prosecutorial Discretion

As an elected or appointed official, the prosecutor is the most powerful official in the criminal justice system. Prosecutors exercise unfettered discretion, deciding who to charge with a crime, what charges to file, when to drop the charges, whether or not to plea bargain, and how to allocate prosecutorial resources. In jurisdictions where the death penalty is in force, the prosecutor literally decides who should live and who should die by virtue of the charging decision.

Criminal justice professors Joseph Senna and Larry Siegel propose the true measure of a prosecutor. In their view, a litmus test for the integrity of a prosecutor is how he or she answers the following question: “When you exercise discretion, are you more concerned with fairness, the likelihood of conviction, or political considerations?”

Prosecutors exercise the most discretion in three areas of decision making: the decision to file charges, the decision to dismiss charges, and plea bargaining.

Charging

Once an arrest is made, a prosecutor screens the case to determine if it should be prosecuted or dropped. The decision to prosecute is based on the following factors:

 • The sufficiency of the evidence linking the suspect to the offense.
 • The seriousness of the offense.
 • The size of the court's caseload.
 • The need to conserve prosecutorial resources for more serious cases.
 • The availability of alternatives to formal prosecution.
 • The defendant's culpability (moral blameworthiness).
 • The defendant's criminal record.
 • The defendant's willingness to cooperate with the investigation or prosecution of others.
Dropping charges

After a prosecutor files a charge, the prosecutor can reduce the charge in exchange for a guilty plea or enter a nolle prosequi (nol. pros.). A nolle prosequi is a formal statement by a prosecutor declaring that a case is discontinued. Reasons for entering a nol. pros. include:-
 1. insufficient evidence,
 2. inadmissible evidence,
 3. false accusations, and
 4. the trivial nature of some crimes.

Plea bargaining

Prosecutors also exercise discretion in negotiating pleas with defense counsel. A plea bargain is an agreement in which a prosecutor permits a defendant to plead guilty in exchange for a concession, such as reducing the charges or recommending a lenient sentence. There are advantages of plea bargaining to both the accused and the state. For the accused, it offers the possibilities of a reduced sentence and cheaper legal representation. For the government, it reduces the financial costs of prosecution, improves the efficiency of the courts by having fewer cases go to full trials, and allows the prosecution to devote its resources to the more serious cases.
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
70,459
2,000
Ukimuondoa rais wa JMT kwa kuwa ndio the most powerful man, kwenye uendeshaji wa mashauri ya jinai, DPP ndio the most powerful kumpita hata rais, kama alivyo CAG kwenye kuwasilisha Ripoti ya CAG Bungeni, CAG ana powers zaidi ya rais.

Hakuomba kukiri huku kusiwafanye kuwa guilty kwa sababu hii pia ni some form ya cohesion and undue influence ya rais kusamehe, na wao kulazimishwa kukiri na kulipa ili kuununua uhuru wao...

Hatari sana...

Cc: mahondaw
 
Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,388
2,000
Hizi kesi haziwezi kuwa siri kwa sababu zina interest ya wananchi kwakuwa kila siku mnawatangazia maendeleo ya kesi hizo, sasa ghafla iwe siri ? Aaaah hapana ndugu waendelee kutoa update hasa kipengele cha mshiko unaorudishwa.
 
Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,599
2,000
Aliyekwambia huku uraiani hao wahujumu uchumi hatutawapokea ni nani?
Binadamu wote tuna makosa,hivyo walivyowekwa ndani bila upepelezi kukamilika tumewaonea huruma zaidi kuliko mwanzo,,,Rais alivyowatoa kwa kigezo cha kuona huruma juu yao ,tumemdharau Rais na tumewapatia ushindi wao....Rais ameshindwa tu kuwatoa Ndugu yake Rostam na Mkwe wa Lowasa akaja na msamaha wa wote ....basically wasamehewa walikuwa hao wawili tu hao wengine ni kama neema mvua ikinyesha kijijini itanyeshea na wachawi ..
 
RAYAN THE DON

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
680
1,000
Pakali,
Wakati ninatafakari nini cha kusema kwenye hii hoja yako ebu pitia hii kidogo
Prosecutorial Discretion

As an elected or appointed official, the prosecutor is the most powerful official in the criminal justice system. Prosecutors exercise unfettered discretion, deciding who to charge with a crime, what charges to file, when to drop the charges, whether or not to plea bargain, and how to allocate prosecutorial resources. In jurisdictions where the death penalty is in force, the prosecutor literally decides who should live and who should die by virtue of the charging decision.

Criminal justice professors Joseph Senna and Larry Siegel propose the true measure of a prosecutor. In their view, a litmus test for the integrity of a prosecutor is how he or she answers the following question: “When you exercise discretion, are you more concerned with fairness, the likelihood of conviction, or political considerations?”

Prosecutors exercise the most discretion in three areas of decision making: the decision to file charges, the decision to dismiss charges, and plea bargaining.

Charging

Once an arrest is made, a prosecutor screens the case to determine if it should be prosecuted or dropped. The decision to prosecute is based on the following factors:

 • The sufficiency of the evidence linking the suspect to the offense.
 • The seriousness of the offense.
 • The size of the court's caseload.
 • The need to conserve prosecutorial resources for more serious cases.
 • The availability of alternatives to formal prosecution.
 • The defendant's culpability (moral blameworthiness).
 • The defendant's criminal record.
 • The defendant's willingness to cooperate with the investigation or prosecution of others.
Dropping charges

After a prosecutor files a charge, the prosecutor can reduce the charge in exchange for a guilty plea or enter a nolle prosequi (nol. pros.). A nolle prosequi is a formal statement by a prosecutor declaring that a case is discontinued. Reasons for entering a nol. pros. include:-
 1. insufficient evidence,
 2. inadmissible evidence,
 3. false accusations, and
 4. the trivial nature of some crimes.

Plea bargaining

Prosecutors also exercise discretion in negotiating pleas with defense counsel. A plea bargain is an agreement in which a prosecutor permits a defendant to plead guilty in exchange for a concession, such as reducing the charges or recommending a lenient sentence. There are advantages of plea bargaining to both the accused and the state. For the accused, it offers the possibilities of a reduced sentence and cheaper legal representation. For the government, it reduces the financial costs of prosecution, improves the efficiency of the courts by having fewer cases go to full trials, and allows the prosecution to devote its resources to the more serious cases.
Point of correction.

In criminal law, we have two sides, that is, COMPLAINANT & ACCUSED.

The term DEFENDANT is commonly used in civil matters.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom