The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Aliesema mzungu ni mungu wa pili hapa Duniani ni nani? Kuna mahala umeona nimeandika hivyo? Wewe aliekwambia mimi naamini ni nani? Mungu ndio kitu gani?Endelea kuamimi mzungu Ni Mungu was pili hapa duniani. Inasikitisha Sana kuwa na mawazo ya Aina yako yaani unadiriki kusema hivyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuamimi mzungu Ni Mungu was pili hapa duniani. Inasikitisha Sana kuwa na mawazo ya Aina yako yaani unadiriki kusema hivyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nyie mnavyoamini meko ni Mungu wenu wa piliEndelea kuamimi mzungu Ni Mungu was pili hapa duniani. Inasikitisha Sana kuwa na mawazo ya Aina yako yaani unadiriki kusema hivyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya toka jana saa 4 usiku.Wale tuliofurahishwa na maamuzi ya Secretary Pompeo naomba tumfollow Twitter, tuvamie Twitter page yake na following za kutosha.
Kama ilivyo kwa watu wa mpira walivyofollow aston villa hadi wazungu wakajua tulivyofurahishwa na usajili wa Samatta kule kwao basi tumfollow Pompeo hadi ajue Watanzania wamefurahishwa na hatua ambazo wamechukua.
Hii itawapa moyo kuendelea kuchukua hatua nyingi zaidi kurejesha Tanzania yetu ya amani, upendo na ushirikiano ambao unaelekea kupotea kutokana na matukio ya kuuana, kutekana, kutupwa baharini nk kutokana na watu kama kina Bashite.
Tumuombe Pompeo amfungie jamaa mmoja anatoa mimacho kama mtu aliekamatwa ugoni.
Unamfollow na kulike ile tweet ya block ya Bashite. Tufikishe likes 15k ajue Watanzania tumeamua na tumefurahishwa sana.