With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Bishanga alitaka anisajili kwenye kundi lake
lakini mke mmoja akashtukia dili akaja juu.

Hata hivyo kwa sasa yupo ambaye jina siwezi kulitaja
hata ukinipa gunia la dollari.

Hawa wengine hapa chini siyo waowaji ni wachafuzi wa
mazingira tu;

alafu unitake radhi, talaka chache hivyo ndo unanisimanga nazo;
heeee,

Hahahahaaa kwani Bishanga kakumwaga tena?
Nilikuambia angalia watu wa kupenda lol
Ila we kwa tarala unaongoza maana hukamatiki...mara kwa Vin Diesel mara Mr Rocky mara Arushaone khaaa then umeangukia kwa Bishanga kweli hujipendi Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Usitamani mke wa mwenzio,wala mali zake,wala punda wake.....shauri lako siku ya kujibu hukumu.
Ujume huo ni wako....mi wake zangu wanajulikana huyo Lady doctor ni yeye ndio anatutega sio mimi
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena
 
Mara FP, Mara Preta, Mara..........
Yaani haka kajamaa ni hatari kweli kweli Mkuu...
Hahahaaha TANMO siku hizi FP anajiita Fixed Point kama zamaniiiiiiiii
Halafu nilikuachia wewe ila nawewe ulivyo mzigo ukatoswa mazima hahahaaa umebaki kuniletea majungu tu huna lolote
Mara Preta mara Fixed Point mara nanii khaaaa
 
Last edited by a moderator:
sema tu skrepa
waulize wakeze
ndo useme hayo maneno.

anifie mie kwa lipi
kwani tutakuwa tunachimba mahandaki.

Hahahahaaa kweli umekuwa FISI unagoja mizoga....kwanza Bishanga mwenyewe skrepa halafu unamgombania....akikufia ujue una kesi aisee
 
Erickb52 umezaliwa sawa na mwanangu na braza wangu........daaa sasa sijui wewe ni ..........ngu???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…