Andaa kile cha siku ile tumetoka out wote maana shingo za watu karibu zikatike kwa namna kilivyokutoa KOKUTONA
Chocs waambie wewe ni binamu na hata kuniita kaka ruksa kabisa
tatizo Erickb52 hajiamini ndo maana sweetlady hujambo na mtoto wako wa kushare na Nicas Mtei mzima
Mi Nawaangalia tuu jibu ntatoa bdaeAndaa kile cha siku ile tumetoka out wote maana shingo za watu karibu zikatike kwa namna kilivyokutoa KOKUTONA
Chocs waambie wewe ni binamu na hata kuniita kaka ruksa kabisa
tatizo Erickb52 hajiamini ndo maana sweetlady hujambo na mtoto wako wa kushare na Nicas Mtei mzima
Hahahaha...haya,taratibuu lakin lisikukwame!
We ukuje tu badae ila usisahau sweta kuna baridi sanakwani shem si umeniandalia na cha kushushiamo...hapo hakuna kukwama!!!
and laying is a proffessional like any any otherAll women are liars said Einstein!!!!
Umeona eeh..hatishiwi mtu hapa