Wishing you a Speedy Recovery Asprin

....duuhh, afadhali simo...wengine kwetu imani potofu bana, ukitumiwa salamu na mgonjwa ujue lako laja!
:photo:
Lol, kwamba na wewe utaugua au?...hizo ni salamu za utangulizi, zikija zingine na wewe hutakosekana..
 
hahaha,....msalimie sana bana. Hana haja ya kunitaja, anatukumbuka sote kila mtu kwa wakati wake. Kwa huu uzee nilionao, msg kama hiyo inabeba ujumbe mzito kwa wahusika---(jamani jitahidini mtaojaaliwa mkamuone mwenzetu! simu mnazompigia hazitoshi kumfariji kama mnavyofikiria) ...mnisamehe kama nawakwaza, tunakumbushana tu.

...namuombea apone haraka na mwenyezi mungu amvushe na hii mitihani.
 
Guys.... Am humbled (source: Ashadii). Ahsanteni kwa mpigo. Nikipata nguvu ntakuja kuwashukuruni mazima na kuwagongeeni malikes. Ahsanteni kwa wema, maombi, dua na sala zenu. (source: mama matesha a.k.a sekretare wa kujitolea wa ODM wenu). NB. Msiache kupiga sala, mwaka umeanza vibaya eti.
 
Nimefurahi kukuona tena humu. Karibu. Hatutaacha kuomba dua...
 
0008.gif

Kadiri muda unavyokimbia , I hope you're getting better babu , samahani kwa kuchelewa.
ugua pole babu ...

0122.gif

Guys.... Am humbled (source: Ashadii). Ahsanteni kwa mpigo. Nikipata nguvu ntakuja kuwashukuruni mazima na kuwagongeeni malikes. Ahsanteni kwa wema, maombi, dua na sala zenu. (source: mama matesha a.k.a sekretare wa kujitolea wa ODM wenu). NB. Msiache kupiga sala, mwaka umeanza vibaya eti.

upone haraka babu.
 
Ashukuriwe mungu kwa babu kupata nafuu,
Asante kwa kututia moyo kwan ndio speed ya maombi inaongezeka,
Na kwa uwezo wake utapona haraka sana na kuendelea na majukumu yako,
Tunakumiss sana, tunakupenda sana na tunakuombea sana.
 
Guys.... Am humbled (source: Ashadii). Ahsanteni kwa mpigo. Nikipata nguvu ntakuja kuwashukuruni mazima na kuwagongeeni malikes. Ahsanteni kwa wema, maombi, dua na sala zenu. (source: mama matesha a.k.a sekretare wa kujitolea wa ODM wenu). NB. Msiache kupiga sala, mwaka umeanza vibaya eti.

I am SO elatedly happy.... Dah! :grouphug:
 
Wapendwa ahsanteni kwa wishes zenu. Mungu yu Mwema sana. Naamini, soon and very soon tutakuwa sote hapa. Ahsanteni kwa wema, ukarimu na upendo wenu kwangu. Mungu awabariki kwa kadri atakavyoona inafaa. And I'll be back for the needful (kale kachakula ketu LIKE lol). Ngoja niendelee kupumzika kidogo. Love you all.
 
Ahsante sana babu, bado upo kwenye maombi yetu, we are happy vile umekuja kuchungulia na kututia moyo, mungu na azidi kukubariki na kukupa nguvu zaidi!
 
Wapendwa ahsanteni kwa wishes zenu. Mungu yu Mwema sana. Naamini, soon and very soon tutakuwa sote hapa. Ahsanteni kwa wema, ukarimu na upendo wenu kwangu. Mungu awabariki kwa kadri atakavyoona inafaa. And I'll be back for the needful (kale kachakula ketu LIKE lol). Ngoja niendelee kupumzika kidogo. Love you all.

Pole ODM... Nusu ya safari ushatimiza.... Soon all will be well and Good. Best of Luck Dear...
 
AshaDii my darling shem na my hommie Mamndenyi (hommie kama jina lina uhusiano na mbege)... Hapo juu kwa mpigo... THANKS!
 
jamani mupenzi babu kumbe ulikuwa unaumwa ..Hujanambia hata nilete juice ya matango pole,,nani alikuwa anakufanyia massage?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom