Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Mimi tuuu na nafsi yangu tuuuuu, yaan tulikumiss sana
Ooooooh pole sana sana my dear, yaani poolee, pole hizi zimfikie na shemeji yanguu pia. Mungu akupe faraja katika wakati huu mgumu. Poleee mpendwaAsante sana mdogo wangu KOKUTONA.
Hope ulikuwa na good Easter...... Mine ilikuwa mbaya sana. Ijumaa Kuu nilifiwa na my shem ambaye alikuwa karibu sana na familia yangu. Pasaka yoote tulikuwa msibani na tumezika Jumatatu ya Pasaka.
RIP my shem, We really miss you!!!!!
Amina mdogo wangu na asante sana......Ooooooh pole sana sana my dear, yaani poolee, pole hizi zimfikie na shemeji yanguu pia. Mungu akupe faraja katika wakati huu mgumu. Poleee mpendwa
Habari zenu wapendwa....imekuwa siku nyingi sana sijakanyaga jamvini, nafurahi kuwaona mkiwa wazima wa afya tele.
Muwe na siku njema.
VD
Ulikuwa kwenye fukwe ya copacabana nini yakhe..?
May the love of Jesus be with you ......!!!!!
Sitaki kuamini macho yangu, nawew unekubali tuuuu, Ruttashobolwa kaka yakweli haya?
Unataka kuniambia kwa sasa Paloma na sosoliso bila bila?
Namiliki nyumba mbili.. Paloma yeye ni big hauzi na Passion Lady yeye ni smolu hauzi.. Ruttashobolwa hayuko kabisa hapo..
wala sijamsaliti kaka ako wiiiiKuuumbeeeee, kwa hiyo Passion Lady amemsaliti kaka yangu Ruttashobolwa, ngojaaaaaa
amaaaa...............yani kweli unathibitishia ulimwengu wa jf kuwa smolu hauz yako ni babe Passion Lady.........
subiri..............ukigeuka upepo usije kulia.............
we si ulisema umemtaliki babe Paloma?!!
unanichanganya babe,basi na mimi sijaachana na
Ruttashobolwa wangu akuuuuu!!
babe mi opa sipendi,boraBeib hebu tulia na wewe bana.. Mambo mazuri hayataki haraka..Hivi ulisema opa ndo unayoipenda kuliko spasho eeeh..?
Kumbe we unatutajaga kinafiki sikujuaa kwa hilooo bibiee
Shoga huwez pendwaa na wote humuu mi napenda uwe unaniitaa popotee we niitee we jembee banaaaa alaaaa
Ntakua nakuitaa usijal diaaa niko poaa kabisaaa ndio kwanza nanenepaaa
babe mi opa sipendi,bora
hata karav 4 nyu model babe!!
love u mmmwaaaaah in the name of rav 4!!
babe mi opa sipendi,bora
hata karav 4 nyu model babe!!
love u mmmwaaaaah in the name of rav 4!!