Wishing you a holy good friday

Mwambie Slave aje Tanga ili apewa shule ya kutosha....

Kitendo cha kuhoji nafasi ya mwenyekiti kinaweza kupewa tafsiri ya hatari, especially na baadhi ya watu ambao misimamo yao siyo ya kuremba remba!!

Halafu tunakutana lini?

cc: Mwanyasi...
Dark City babu ahsante san kwa ufafanuzi mzuri kwa Slave, aje asome hapa na asiondoke bila kusema neno
 
Last edited by a moderator:
Dadiiiiii... are you doing great?
Sikukuu njema.
Love you soooooooooooooooooooooooooooooooo... much...
 

Mi nashangaa. Kwenye thread zingine mtu akupondeeeeeee na maneno ya ajabuuuuu kutafuta sifa za kijinga.

Halafu anakuja anajifanya anakupa salamu. Ananipa salamu mimi kama nani wake? Anakufanya kipofu huoni ama anaku kejeli?Nonsense!!

Nasema hivi, mie Karucee its either you ---- off ama uwe straight sio kung'ata na kupuliza. I ain't stupid.

Na kutajwa ovyo sitaki.
 
Last edited by a moderator:

Oooh calm down Karucee
 
Last edited by a moderator:
aiseeeeeeeee asante sana nimeamka sioni vizuriiii kizunguzunguuuuuuuuuu na dunia kama inayumbaaaaaaaaaa
 

mhhhhhhhhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…