Wino huu hutoka wapi ?

Wino huu hutoka wapi ?

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
62,925
Reaction score
77,190
Salam waugwana wa jukwaa hili pendwa.

Nimekuwa mtumiaji wa simu ya mkononi kwa muda mrefu tu pia badhii ya vifaa kama kompyuta n.k. Sasa kifaa kama simu ikiwa kitatunzwa vizuri bila kupata misukosuko yoyote hutumika kwa muda mrefu sana.
Naomba kwa mtu yoyote anaejua vizuri tofauti ya vifaa hivi:-

Simu hutoa wino muda wote unapoandika ujumbe,namba na mambo kadhaa wa kadhaa lakini wino wake huwa hauishi.
Fax,Photocopy,Printer hizi zinawekwa wino na wino wake baada ya matumizi mengi huisha na kuhitaji wino mwingine ili kazi iweze kuendelea kama zamani.

Wataalam naomba ufafanuzi ili nami nielewe utofauti uliopo.
 
Wino? nani kakwambia kwenye simu kuna wino? eti simu inatoa wino muda wote, mbona tukiweka simu kwenye shati halichafuki wino? au umesahau swali lako? au simu yako imeisha wino ndo maana hujaelewa umeandika nini?
 
Imenibidi nicheke kwanza.
Ila anaejua ajaribu kujibu, kama simu hazitumii wino then zinatumia nini kudisplay??
 
Imenibidi nicheke kwanza.
Ila anaejua ajaribu kujibu, kama simu hazitumii wino then zinatumia nini kudisplay??
Yeye anaulizia wino akijaribu kufananisha na printer na photocopy machine ambazo wino unakwisha kisha unawekwa mwingine
 
Sasa kama upo huo wino (sina uhakika/sijui kama upo) utaisha vipi ilhali hakuna kitu utakachoandika na uka print kwa kutumia simu.

Fax, printer na photocopy machine lazima ziishe wino kwa sababu document zinatoka zikiwa printed na ndipo wino unapotumika
 
kinda logical thou sio jibu
 
Ujuzi mwingi mbele giza, huu ujumbe ni kweli kabisa.
 
Kioo cha simu ni mfumo wa liquid crystal display(LCD), kioo kina layer kama 6 na kila layer imekuwa imejazwa liquid crystals....mchanganyiko wa mwanga, umeme na pixel ndo unaokufanya uone kitu kwenye kioo... Ila unatakiwa ujue kuwa kioo huwa kina display digital signals kwa hiyo hamna wino pale.. Ila ukitaka kuziandika hizo signal kwenye karatasi lazima utumie wino kwasababu karatasi kama karatasi haiwezi kusoma digital signal kama screen..
 
Dah! uliposema my Gamma umenikumbusha mbali sana mkuu, enzi hizo nasoma bado. Tunakutana na kina Dr.Soud, Dj Ken na washkaji Kibao. Nimeku Pm tayali Mkuu
 
Hata mm nmemkumbuka huyo DJ ken.
DJ Banks je?
zamani sana hii around 2009
 
Kuna nyingine ilikuwa inaitwa bluepulse.com sijui ilifia wapi na maprofile yetu.
 
Back
Top Bottom