Winnie Mandela's 80th bday

Winnie Mandela's 80th bday

Anaonekana Mzuri Kuliko wasichana Wa Jamii Forums Wanaojichubua sana.
 
Anaonekana Mzuri Kuliko wasichana Wa Jamii Forums Wanaojichubua sana.
Wewe unahitaji maombi-with all the garbage you keep posting,most probably JF is your soulmate-you just seems to have no where to hang on-Why don't you seek salvation from Baba Gwajima??
 
Yuko vizuri....."conveniently sick"!😀😀
 
Wewe unahitaji maombi-with all the garbage you keep posting,most probably JF is your soulmate-you just seems to have no where to hang on-Why don't you seek salvation from Baba Gwajima??
Shut the fuckUp!
 
Duh!!! Si kwa uzuri huo.. Ana macho ya kiwizi wizi hakuangalii moja kwa moja, anaonekana dah... Wacha niishie hapa. Miaka 80 bado na uzuri huo
 
Wewe kweli tumbili(kama unavyojiita), habari ya mwaka jana unatuletea leo, we need hot cake!
Hata angeieleza miaka minane ijayo but with 80 yrs halafu na uzuri huo.. Wenda ulete na ww wa kwako ili tuone miaka mingi na uzur
 
Huyu mama ana mchango mkubwa sana kwenye siasa za south zaidi
 
Waooo just waooo... she is simply gorgeous and very strong. Mwanzoni I thought she was seated kumbe she can still make a speech while standing for that long!!! Na about her other private life...come on guys tumezoea kutafuta kasoro pale tunapoona kitu kizuri ...thats her private business and after all she is not forcing them. A challenge to all of us ...keeping fit keeping smart!!!
 
Ana genes nzuri sana kwa kweli.

Kuna wadada wana miaka 30 na kitu lakini utadhani wanakaribia kuwa na miaka 70.

Hawatamaniki kabisa.

Lakini ona Winnie anavyong'aa licha ya aliyoyapitia enzi za Apartheid....

I can't hate on her at all. I congratulate....
 
Shut the fuckUp!
Son of a woman-is that all you have-kinda feeling you got all them hallmarks of a gay imbecile-watch you don't get pregnant with twins-the world would never understand-Probably the almighty would forgive you-Next time think carefully before you pick your battles
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom