Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

Very analytical, extremely readable. Watanzania wamebanwa kote kote hawana pa kupumulia. Lakini hata Shah aliyekuwa na majeshi maradufu, hatimaye aling'olewa. Siku walio wengi watakapochoshwa na hali iliyopo, hapo chochote kinaweza kutokea.

umenikumbusha uyu mfalme wa irani alotawala kwa mkono wa chuma miongo kadhaa lakini kuna wakati wananchi walisema basi
 

Waamini hiyo ni kasi ya maendeleo!? Mie naona ni nguvu ya soda tu na hongo,

Kwani hayo madeni ni ya mwezi huu?!

Huku mikoani hatuna umeme mwezi takribani watatu sasa...

Unasema nini wewe?!
 

Ana mahaba na JK sio CCM
 
"taarifa ambazo polisi imezipata ni kwamba kuna watu wamepanga mbinu za kuvuruga uchaguzi katika mji wa Bukoba na maeneo ya jirani. Wamepanga kuwatisha na kuwashambulia watakaojitokeza kupiga kura na wana mpango wa kukaa vichochoroni wakiwa na mapanga, nondo na siraha nyingine ili kuhakikisha wanatimiza lengo hilo. Polisi imejipanga na imewaonya watu hao kuwa wasithubutu kutekeleza mpango huo" Reporter (Somebody) Mtiganzi wa Radio One.

Nimeiskia habari hii katika kipindi cha Nipashe asubuhi ya leo, sio kuwa niliona uchungu tu lakini aibu ya kuwa na jeshi la polisi linaloweza kutoa taarifa ya 'kijima' kiasi hiki. Sikutegemea kabisa! Hivi polisi kweli wanaweza kujua habari nyeti kama hizi na kuitisha press kuwaonya wanaoplan wasifanye!!??
Kinachoonekana wazi hapa ni kwamba watu wengi wamezaliwa wakakuta amani na kwa sababu mfumo wetu wa elimu ni mbovu unapelekea hata 'wanaosoma' na kupata ajira kama polisi hawawezi kuelewa ni jinsi gani amani inaweza kutokea penye vita au vita inaweza kutokea penye amani.
Serikali inachotaka kufanya ni kuzuia mabadiliko mwaka 2015 kwa kutumia mbinu za mwaka 1975. Huenda wakaona matokeo tofauti. Kikubwa na kinachoonekana tunaweza kupata wateja wa ICC kutoka Tanzania kwa maana watu wengi wanaotaka mabadiliko wanamaanisha mabadiliko na hatujui kiwango chao cha woga ni kiasi gani katika kushindana na vitisho hivi!
 
Acha hofu mkuu, rais JK ni mtu wa demokrasia sana sema kuna majitu yanayomzunguka ndiyo yanamuharibia na kumpa presha; rejea issue ya Katiba mpya. Jana kaongea kauli ya kidemokrasia, kwamba yuko tayari kukabidhi nchi kwa rais yeyote yule atakayeshinda. Penye kusifia tusifie, penye kukosoa tukosoe.

Kumbuka ni huyu JK aliwaambia CCM wenzake kule Dodoma kuwa, "Wajiandae kisaikolojia kwani wanaweza kung'oka." Kwa hiyo yeye amekwisha jiandaa kisaikolojia tyr, wito wangu ni kwa ccm wengine waige mfano wa rais wetu.

Binafsi, naamini JK hatatuangusha kwa kukataa kuruhusu upinzani kuingia ikulu. Hiki ni kipimo chake cha mwisho kidemokrasia ili atwae tuzo ya Mo. Ibrahim.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Ukawa.
 

MASHABIKI WA LOW.... tumechoka kusikia kulia lia kwenu. rais wa nchi akiimarisha ulinzi wa nchi anavuja mali za uma. akiacha kufanya hivyo jeshi letu liko hoi yani kilakinachofanywa na serikali hakuna kilichofanyika kwa miaka 50 tumechoka na malalamishi yenu yaani kila kitu kinachofanyika ni tabu tupu...

Aaahh...!!!
 
CCM ni ya KISHETANI na tumeongozwa na mashetani kwa muda mrefu leo hii polisi haijitambui kama vilevile CCM isivyojitambua tarehe 25 ni siku ya ukombozi kwa watanzania.
 

Heri ya wewe kuna UKAWA wengine wana akili.
 

Umeandika mambo mengi lkn nakujibu kwamba ukiwa raia mwema hakuna mahali ambapo utakumbana na Jeshi letu, haya yote Serikali yetu inayoyafanya ni kutulinda raia wema dhidi ya watu wabaya kama fisadi Lowasa, Mbowe Tundu Lisu & Co.!
 
CCM ni ya KISHETANI na tumeongozwa na mashetani kwa muda mrefu leo hii polisi haijitambui kama vilevile CCM isivyojitambua tarehe 25 ni siku ya ukombozi kwa watanzania.

Hapo umeongea Mkuu, Tarehe 25 tunamuingiza Raisi wetu mpya Dr.Pombe Magufuli, Ubarikiwe sana kwa kuliona hilo!
 

1. Nakuheshimu pia mkuu saana tu. . . .Labda nimesema usichokipenda. . . .Inatosha kuondoa heshima??!!!
2. Vipaumbele leo siku tatu zimebaki??!! Miaka tisa hatujaulizana haya mkuu?!!! Lini vilikuridhisha tangu Uhuru??!!
3. Tukiacha siasa tuanze na facts. . . .Mahitaji ya gari kwa polisi yakoje??!! Wanahitaji ngapi za aina gani na wanazo ngapi??!!

Tuanzie hapo
 
tatizo mna extramize mambo kw propagand uchwar,polis wakishindw timiz majukum yao sbb y vitendea kaz dun lawam kw serkl leo wamepew vitendea kaz lawam kw serkl sas nyie watu mko upand gan,si kwel kwmb watatawal milele chin y jua ila wakat w kuiach madarak ukifk hawatawez kupngn na ukwel
 

Elimu ni muhimu sana nchi hii ,unataka tuwapingeze watu wanaowajibika katika shughuli zao na wanalipwa kwa kodi zetu wananchi ?.

Halafu hiyo 'AMANI'inalindwa kwa mitutu ya bunduki au kwa silaha za kivita?.Kama ni hivyo Iraq
/Afghanistan/Libya/Syria/Palestina/Israel pangekuwa na amani kweli kweli ....

Jinga were.
 
Kwani hayo magari yatakufuata nyumbani yakushambulie??!!
Hutaki Polisi wawe na vitendea kazi??!!!


Bado kuna watu wamezibwa masiko watu wanajifungulia chini hakuna vitanda lakini pesa za magari zimepatikana...na baada ya miaka 5 hayo magari yako hoi kwa kukosa service..

Mkuu jamii01


Kwa akili za Kushikiwa mtu hawezi liona hili. OLESAIDIMU Akili yake Kashikiwa na Watu
Hawezi kuliona hili
 
Last edited by a moderator:
tatizo mna extramize mambo kw propagand uchwar,polis wakishindw timiz majukum yao sbb y vitendea kaz dun lawam kw serkl leo wamepew vitendea kaz lawam kw serkl sas nyie watu mko upand gan,si kwel kwmb watatawal milele chin y jua ila wakat w kuiach madarak ukifk hawatawez kupngn na ukwel
 
Swali la kipimajoto
Je ccm inaponunua gari za polisi 777 bila kununua ambulance hata moja au kuboresha huduma za afya kwa namna yoyoye, je ni ishara kwamba nchi ina wakorofi wengi kuliko wagonjwa?

Jibu Ndio
Hapana
Sijui



Tunatakiwa kufahamu kwamba kila jambo lina umuhimu wake, mimi sioni tatizo la serikali kununua magari ya polisi. Wanaochukia hilo ni wale waarifu na wafanya fujo tu, kama ww ni raia mwema utapenda hata kuliona gari la polisi kwa sababu ya uhakika kuwa upo mahala salama.

Pia, Tanzania ina polisi chini ya 40000 na vituo vya kupiga kura vipo zaidi ya 70000 kwa maana hiyo tuna uhaba hata wa hao polisi, mimi simaanishi afya isipewe kipaumbele bali usalama kwanza maana amani ikitibuka ni vita, mkiangalia hata mataifa ya jirani kuna vurugu kutokana na uchaguz tu. Tumejua kwamba Kenya, Rwanda, Burundi, nk kuna ukabila kutokana na uchaguzi tu na si vinginevyo, usalama wetu ni muhimu na afya ni muhimu.

Zile machine za voters' ID ziligharimu 85mn dollars, equivalent to 185.47595bn za kitanzania, mbona hawakusema Serikali imepoteza hela? Si tunahitaji hyo huduma. UKAWA waambieni waache upumbavu.

Huyu anayeandika hii kusema CCM imenunua gari la polisi na sio gari la kubeba wagonjwa ni mchochez wa vurugu tu, na kama ningekuwa askari ningemkamata upesi. Tuache siasa za kuharibu amani ya nchi. Ina maana waliotoa hilo agizo ni wajinga? kila kitu kina muda wake na wala serikali haijakosea kufanya hvyo.


#CCM haijanunua ni Serikali ndo imenunua


..............................MCHAGUE MAGUFULI KWA MAENDELEO YAKO BINAFSI NA TANZANIA KWA UJUMLA.................................................
 
Sijui...............................................................................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…