Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
habari wanaJF? nina shida ya windows vista naomba mwenye nayo tuwasiliane tafadhali, kwa walio tanzania tu.pia mwenye windows xp prol sp2 ,isiwe fake.
tumsaml@gmail.com
tumsaml@gmail.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
ndio Ninayo Windows Xp Professional Sp2,ndugu Hapo Juu Nitashukuru Sana Kama Utanipatia Key Zake,maana Siwezi Ku'update Windows Maana Ni Fake,pia Yenyewe Ina Key Zake Ila Napotakiwa Ku-install Software Za Microsoft Wananiambia Siwezi Kwani Copy Ya Windows Xp Ninayo Tumia Sio Halali.. Ndugu Naomba Unisaidie Kwa Hilo Maana Mimi Bado Mwanafunzi Kwenye Maswala Ya Sofware.
software ninazo za windows XP tu, hapana sijui zinakuwa applied namna gani rafiki naomba unieleweshe maana tupo hapa kueleweshana ndugu.Kama unazo hizo software mimi naweza kukusaidia na keys zake kama njia rahisi zaidi ambazo ni genuine ,nafikiri unajua jinsi zinavyokuwa applied
Thanks
..nenda power computers pale mkabala na cbe, au kwengineko.
..lazima hela ikutoke,kama shs 180,000/= na kuendelea.
Angalia Members ONLY forums unaweza kukumbana na kitu cha kukusaidia.software ninazo za windows XP tu, hapana sijui zinakuwa applied namna gani rafiki naomba unieleweshe maana tupo hapa kueleweshana ndugu.