Windows 8 Pro Activator

Hi! kwa wale mnao pendelea kuwa na windows 8 pro katika machine zenu fanyeni hivi download hi windows 8 pro torrent link hii hapa Windows 8 Pro WMC x86 Retail Channel Free Mode en-GB Dec1 2012 (download torrent) - TPB wakati una download nenda hapa Add features - Microsoft Windows ili kuweza ku register upate keys za windows media centre ambayo ita activate windows yako kabisa .ukisha maliza download windows yako install ukimaliza ku install nenda kwenye PC settingsiko upande wa kulia kwenye menu ya settings. utaona option ya ku activate window baada ya ku bonyeza PC settings ,weka keys utakazo pewa na window nadhani ina tumia siku 3 au 2 kwa windows kukutumia hiyo key so uwe mvumilivu .wakati mi na fanya haya machine ilikuwa kwenye internet sasa sijui kama usipokuwa kwennye internet ita kubali au laa ila sio mbay na wewe ukiwa kwenye net ..
Mbona hiyo nyuzi ishawekwa humu jamvini na wakuu MziziMkavu Kimox Kimokole e2themiza ?
ww ulitakiwa uongeze uzito(muendelezo) kwenye post zao ili tupate faida kuliko kuanzisha nyuzi nyingine
 
ndugu yangu Shaffin Simbamwene kuna utofauti mkubwa sana kati ya hii post na post alio anzisha MziziMkavu post ya huyu ndugu niliona jana na nikaijaribu sikufanikiwa ndio ikabidi nigie kutafuta option mbadala ya alicho kiandika yeye post yake tuna fanana kwenye sehemu ya kuomba media center keys kutoka windows ila kkwingine kote ni tofauti utofauti upo hapa post yake ina itaji mtu utumie kMS ku activate windows yako kwanza tena ni hadi server zikubali ndio uweze ku activate kwa kutumia keys utakazo tumiwa .Ila post yangu ina sema download hiyo windows 8 pro link ipo hapo juu ukisha download hyo window instal haita kuwa activated na wala hautajiki ku activate kwa kutumia KMS au kusubiri server zikubali badalal yake ukisha install subiri keys kutoka Microsoft weka hizo keys kwenye sehemu ya kuweka keys kwa ajili ya ku activate windows basi windows yako inakuwa activated bila maswala ya KMS au kuwa lazima uwe ume activate kwa 180 days .nadhani utofauti utakuwa ume uona ndugu yangu ndio maana nime anzisha uzi mpya hii ni njia rahisi sana kwa mtu yoyote ile kufanya
 
Last edited by a moderator:

poa mkuu umeeleweka nice short cut..
 
Last edited by a moderator:
Hii ni 32 au 64 bit?
Mkuu Dingswayo hii ukijjaribu kui download itachukuwa karibu mwezi kumalizika kwa internet za hapo nyumbani kwa sababu haina seed nyingi zaidi ya 9 Tu halafu tofauti na ile niliyeweka mimi ina option 2 32 Bit au 64 Bit na ina Seed nyingi za ku dowload ukitaka ku download kwangu mimi niliyeweka haitochukuwa muda mrefu kama aliyoweka huyo mkuu.@networker Ukitaka ya kwangu bonyeza hapa Windows 8 RTM final professional x86 & x64 [ThumperDC] download https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/330840-windows-8-pro-activator.html

Mbona hiyo nyuzi ishawekwa humu jamvini na wakuu MziziMkavu Kimox Kimokole e2themiza ?
ww ulitakiwa uongeze uzito(muendelezo) kwenye post zao ili tupate faida kuliko kuanzisha nyuzi nyingine
Mkuu.@Shaffin Simbamwene Ni Kweli alitakiwa kuongeza na yeye Ushauri wake sio tena kufunguwa Thread nyingine anajaza Server bure tu huyu Mkuu networker

Hi! kwa wale mnao pendelea kuwa na windows 8 pro katika machine zenu fanyeni hivi download hi windows 8 pro torrent link hii hapa Windows 8 Pro WMC x86 Retail Channel Free Mode en-GB Dec1 2012 (download torrent) - TPB wakati una download nenda hapa Add features - Microsoft Windows ili kuweza ku register upate keys za windows media centre ambayo ita activate windows yako kabisa .ukisha maliza download windows yako install ukimaliza ku install nenda kwenye PC settingsiko upande wa kulia kwenye menu ya settings. utaona option ya ku activate window baada ya ku bonyeza PC settings ,weka keys utakazo pewa na window nadhani ina tumia siku 3 au 2 kwa windows kukutumia hiyo key so uwe mvumilivu .wakati mi na fanya haya machine ilikuwa kwenye internet sasa sijui kama usipokuwa kwennye internet ita kubali au laa ila sio mbay na wewe ukiwa kwenye net ..
Mkuu networker ulitakiwa kabla ya kuweka Thread ambayo wenzako wamesha weka ulikuwa na wewe uangalie kitu gani wameweka wenzako na wewe ungelichangia kuliko kuweka Thread kama ya wenzako walivyoweka unakuwa kama umekopi na wewe unataka watu wakujuwe kuwa na wewe pia umo sawa tu

ndugu yangu Shaffin Simbamwene kuna utofauti mkubwa sana kati ya hii post na post alio anzisha MziziMkavu post ya huyu ndugu niliona jana na nikaijaribu sikufanikiwa ndio ikabidi nigie kutafuta option mbadala ya alicho kiandika yeye post yake tuna fanana kwenye sehemu ya kuomba media center keys kutoka windows ila kkwingine kote ni tofauti utofauti upo hapa post yake ina itaji mtu utumie kMS ku activate windows yako kwanza tena ni hadi server zikubali ndio uweze ku activate kwa kutumia keys utakazo tumiwa .Ila post yangu ina sema download hiyo windows 8 pro link ipo hapo juu ukisha download hyo window instal haita kuwa activated na wala hautajiki ku activate kwa kutumia KMS au kusubiri server zikubali badalal yake ukisha install subiri keys kutoka Microsoft weka hizo keys kwenye sehemu ya kuweka keys kwa ajili ya ku activate windows basi windows yako inakuwa activated bila maswala ya KMS au kuwa lazima uwe ume activate kwa 180 days .nadhani utofauti utakuwa ume uona ndugu yangu ndio maana nime anzisha uzi mpya hii ni njia rahisi sana kwa mtu yoyote ile kufanya
Mkuu.@networker Pamoja na Tofauti kati ya kwangu niliyoweka na ya kwako kwa sababu ya kwako haina Seed nyingi kuliko ya kwangu ina seed zaidiş ya 256 na ukijaribu ya kwangu Kui download haitochukuwa muda mrefu kumalizika tofauti ya kwako ina Seed 9 uki download inaweza kuchukuwa mwezi 1 kumalizika kwanni mkuu hukubali kuwa ulifanya makosa kuweka Thread wakati mimi na Mkuu Kimox Kimokole tulishaweka?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Dingswayo hii ukijjaribu kui download itachukuwa karibu mwezi kumalizika kwa internet za hapo nyumbani kwa sababu haina seed nyingi zaidi ya 9 Tu halafu tofauti na ile niliyeweka mimi ina option 2 32 Bit au 64 Bit na ina Seed nyingi za ku dowload ukitaka ku download kwangu mimi niliyeweka haitochukuwa muda mrefu kama aliyoweka huyo mkuu.@networker Ukitaka ya kwangu bonyeza hapa Windows 8 RTM final professional x86 & x64 [ThumperDC] download https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/330840-windows-8-pro-activator.html

Mkuu.@Shaffin Simbamwene Ni Kweli alitakiwa kuongeza na yeye Ushauri wake sio tena kufunguwa Thread nyingine anajaza Server bure tu huyu Mkuu networker

Mkuu networker ulitakiwa kabla ya kuweka Thread ambayo wenzako wamesha weka ulikuwa na wewe uangalie kitu gani wameweka wenzako na wewe ungelichangia kuliko kuweka Thread kama ya wenzako walivyoweka unakuwa kama umekopi na wewe unataka watu wakujuwe kuwa na wewe pia umo sawa tu

Mkuu.@networker Pamoja na Tofauti kati ya kwangu niliyoweka na ya kwako kwa sababu ya kwako haina Seed nyingi kuliko ya kwangu ina seed zaidiş ya 256 na ukijaribu ya kwangu Kui download haitochukuwa muda mrefu kumalizika tofauti ya kwako ina Seed 9 uki download inaweza kuchukuwa mwezi 1 kumalizika kwanni mkuu hukubali kuwa ulifanya makosa kuweka Thread wakati mimi na Mkuu Kimox Kimokole tulishaweka?[/QUOTE MziziMkavu fine na weka torrent yenye seeders na leechers wengi basi . you cool now .kingine windows activation yako ina itaji ku activate kwa kutumia KMS wakati hii yangu haitaji activation yoyote ya KMS sasa hapo uoni utofauti tu. nime kuja na mtazamo mpya waku activate windows ndo maana nika fungua uzi mwingine sikuona haja ya kuendeleza pale kwenye yako cause nia yangu nilitaka mtu aone kuna njia ya ku activate bila ya KMS so siku weka pale kwako kwa sababu angefungua mtu mwingine ange kutana kwanza na maswala ya KMS ndio aje aone post yangu. kama na jaza server basi admin ata niambia au ata ni burn lingi yenye atleast seeders wengi na lechers hii hapa http://thepiratebay.se/torrent/7886..._x86_Retail_Channel_Free_Mode_en-US_Dec1_2012 56 seed sio mbaya kwa net za kibongo
 
Mkuu Dingswayo hii ukijjaribu kui download itachukuwa karibu mwezi kumalizika kwa internet za hapo nyumbani kwa sababu haina seed nyingi zaidi ya 9 Tu halafu tofauti na ile niliyeweka mimi ina option 2 32 Bit au 64 Bit na ina Seed nyingi za ku dowload ukitaka ku download kwangu mimi niliyeweka haitochukuwa muda mrefu kama aliyoweka huyo mkuu.@networker Ukitaka ya kwangu bonyeza hapa Windows 8 RTM final professional x86 & x64 [ThumperDC] download https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/330840-windows-8-pro-activator.html

Mkuu.@Shaffin Simbamwene Ni Kweli alitakiwa kuongeza na yeye Ushauri wake sio tena kufunguwa Thread nyingine anajaza Server bure tu huyu Mkuu networker

Mkuu networker ulitakiwa kabla ya kuweka Thread ambayo wenzako wamesha weka ulikuwa na wewe uangalie kitu gani wameweka wenzako na wewe ungelichangia kuliko kuweka Thread kama ya wenzako walivyoweka unakuwa kama umekopi na wewe unataka watu wakujuwe kuwa na wewe pia umo sawa tu

Mkuu.@networker Pamoja na Tofauti kati ya kwangu niliyoweka na ya kwako kwa sababu ya kwako haina Seed nyingi kuliko ya kwangu ina seed zaidiş ya 256 na ukijaribu ya kwangu Kui download haitochukuwa muda mrefu kumalizika tofauti ya kwako ina Seed 9 uki download inaweza kuchukuwa mwezi 1 kumalizika kwanni mkuu hukubali kuwa ulifanya makosa kuweka Thread wakati mimi na Mkuu Kimox Kimokole tulishaweka?[/QUOTE MziziMkavu fine na weka torrent yenye seeders na leechers wengi basi . you cool now .kingine windows activation yako ina itaji ku activate kwa kutumia KMS wakati hii yangu haitaji activation yoyote ya KMS sasa hapo uoni utofauti tu. nime kuja na mtazamo mpya waku activate windows ndo maana nika fungua uzi mwingine sikuona haja ya kuendeleza pale kwenye yako cause nia yangu nilitaka mtu aone kuna njia ya ku activate bila ya KMS so siku weka pale kwako kwa sababu angefungua mtu mwingine ange kutana kwanza na maswala ya KMS ndio aje aone post yangu. kama na jaza server basi admin ata niambia au ata ni burn lingi yenye atleast seeders wengi na lechers hii hapa Windows 8 Pro WMC x86 Retail Channel Free Mode en-US Dec1 2012 (download torrent) - TPB 56 seed sio mbaya kwa net za kibongo
KWISHA HABARI YAKO, UWE UNATAFAKALI KWANZA KABLA YA KUPIGA STEP!!!
 
Zorin OS 6 Screenshots

  • |
    |
    |
    The default Zorin OS desktop

  • |
    |
    |
    Office software in Zorin OS

  • |
    |
    |
    Multimedia software in Zorin OS

  • |
    |
    |
    Some of Zorin OS's web capabilities

Look Changer

  • |
    |
    |
    Zorin Look Changer (Premium)

  • |
    |
    |
    The Windows 7 look in Zorin OS

Mkuu Kimox Kimokole umeshaweka hii kitu kwenye Computer yako?
 
Last edited by a moderator:
Bado kaka nitaiweka muda si mrefu kuijaribu nione manjonjo yake
mkuu Kimox Kimokole Usicheze na hii Kitu ipo fast na ipo very light nyepesi sana na haina tabu inafunguka haraka kama una Ram zenye 4GB uta enjoy sana mimi nimeiweka hiyo na iwndows 7 pamoja na Windows 8 lakini hizo windows 2 yaani Windows 7 na Windows 8 hazifui Dafu kwa hiyo Zorin Os kiboko yao wote hao wawili unachelewa namna hii kuiweka haina tabu kabisa kuiweka tengeneza hard disk yake kisha fuatilia njia hii hapa chini bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/359437-ubuntu-2.html
 
mkuu hii kitu nimeiweke ni guuda kweli lkn partition kuzi-create zimenizingua

sijui unaweza kunisaidia ku-partition primary disk sfter installation
 
Habari zenu wakuu.

Ninaomba mtu mwenye kuzijua Activation Code za Windows 8.1 anisaidie kwani nimepewa deadline hadi Jumatatu ya wiki ijayo.

Natanguliza shukrani.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom