Sina uhakika sana kwasababu mi sio mtaalam wa IT. Lakini Windows inakuwa favourable kwasababu ya mahusiano yake na vifaa vingine. Kwa fano, unapokuja na OS ya kwako peke yako wakati unafanya kazi na wenzio 10 ambao wanatumia windows na kila kitu kiko ki windows windows lazima u fail. Sijui kama hiyo Zorin inaweza kuwa inachukua kina microsoft office lakini kama haina sina uhakika utafanyaje kazi za kawaida unless.........
Nakumbuka case ya Apple na microsoft zamani wakati hawajawa compatible sana na kila mtu ana cha kwake. Kumbuka mojawapo ya failure za TTCL Mobile ambao walitaka kuja na CDMA ambayo haikuwa compatible na GPRS na GSM. so nahisi hapo ndipo panapoifanya Windows kuwa the best pamoja na changamoto zake nyingi sana zikiwemo virus, malware, spyware na kadhalika.
Nimetumia karibu windows zote, kuanzia 95,98,2000,xp,vista,7 na sasa natumia 8. Sijawahi kutumia hizo nyingine zote kama zorin na nyingine za Linux lakini Windows 8 is one of the fastest i have ever used kwenye
products za windows (inawezekana pia inachangiwa na capacity ya computer yenyewe but its very fast
kwenye ku start na hata ku nevigate from one thing to another. U dont need to put drivers coz kila kitu
kinakuwa ndani ya windows tayari. Pia ina features nyingi zaidi na more fancy than windows 7