Fahamu njia rahisi ya kufanya Activation ya window Sasa

Apr 28, 2020
62
125
fahamu jinsi ya kuondoa Window activation kwa kutumia product key Kuna njia nyingi za kuondoa Window activation leo nimewaletea njia rahisi isiyo kuwa complicated kwani ni rahisi Kila mmoja wetu anaweza kuifanya.

kama unavyojua microsoft wameshasema kuwa window 10 ndiyo toleo lao la mwisho akutakua na lolote jipya la window 10.1 au window 11 katika siku zijazo isipokua watakua wanafanya update ya utunzaji wa window yako na kuifanya kuwa na nguvu zaidi ila matoleo mapya ya window akuna.

siku huko leo lengo langu ni kukupa keys za window kwenye kompyuta yako inayotumia window 10 Sasa bila kupoteza mda hizi ndo keys bora zitakusaidia kufanya activation ya window yako Sasa

ila kabla ujaweka keys hizo fanya tafuta sehemu ya kusearch kwenye window yako alafu andika CMD kisha run as administrator Baada ya hapo
andika hivi “slmgr /ipk yourlicensekey”
hapo kwenye youlicensekey utaweka keys yako ya window kutoka na edition hip kha pro home , enterprise na nk. kisha utapiga enter
Baada ya hapo andika command hizi
“slmgr /skms kms8.msguides.com” kisha utapiga enter
utamalizia kwa kufanya activation permanent kabisa kwa kuandika hivi
“slmgr /ato” kisha utapiga enter

hizi hapa baadhi ya list za license key
Home: TX9XD-98N7V-6WMQ6-BX7FG-H8Q99
Home N: 3KHY7-WNT83-DGQKR-F7HPR-844BM
Home Single Language: 7HNRX-D7KGG-3K4RQ-4WPJ4-YTDFH
Home Country Specific: PVMJN-6DFY6-9CCP6-7BKTT-D3WVR
Professional: W269N-WFGWX-YVC9B-4J6C9-T83GX
Professional N: MH37W-N47XK-V7XM9-C7227-GCQG9
Education: NW6C2-QMPVW-D7KKK-3GKT6-VCFB2
Education N: 2WH4N-8QGBV-H22JP-CT43Q-MDWWJ
Enterprise: NPPR9-FWDCX-D2C8J-H872K-2YT43
Enterprise N: DPH2V-TTNVB-4X9Q3-TJR4H-KHJW4

Sasa utafanikiwa kufanya activation ya window yako permanent kabisa

VIPI UMEFANIKIWA KUFANYA ACTIVATION YA WINDOW TUAMBIE KWENYE MAONI SASA unaweza kutufuatilia kwenye page yetu kujifunza zaidi karibuni Sasa
Instagram
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
19,696
2,000
Mkuu nahitaji Minitool partition wizard kama unayo na cracked zake
Ingia piratebay search hiyo ishu zitakuja nyingi, portable, cracked, full version you name it. So njia rahisi ni kudownload via torrent.

Mimi huwa nazipata huko hizi software. Hope unajua kudownload torrent
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
19,696
2,000
Wadau mnasuggest kmspici to be fair ni nzuri lakini haiactivate kamq keys vile zingeactivate but it gets job done.

Shida ni kuipata kmspico sahihi. Na sometime waweza pata kmspico ambayo inaactivate windows ila kwa office inagoma.

So pambana
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
19,696
2,000
Naomba activation key ya MS OFFICE PROFESSIONAL PLUS 2010
Tumia Kmspico mzee ama la google. Search office 2010 activation keys lazima zitakuja

Kimojawapo kati ya kmspico au hiyo search zitakupa majibu
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
5,626
2,000
fahamu jinsi ya kuondoa Window activation kwa kutumia product key Kuna njia nyingi za kuondoa Window activation leo nimewaletea njia rahisi isiyo kuwa complicated kwani ni rahisi Kila mmoja wetu anaweza kuifanya.

kama unavyojua microsoft wameshasema kuwa window 10 ndiyo toleo lao la mwisho akutakua na lolote jipya la window 10.1 au window 11 katika siku zijazo isipokua watakua wanafanya update ya utunzaji wa window yako na kuifanya kuwa na nguvu zaidi ila matoleo mapya ya window akuna.

siku huko leo lengo langu ni kukupa keys za window kwenye kompyuta yako inayotumia window 10 Sasa bila kupoteza mda hizi ndo keys bora zitakusaidia kufanya activation ya window yako Sasa

ila kabla ujaweka keys hizo fanya tafuta sehemu ya kusearch kwenye window yako alafu andika CMD kisha run as administrator Baada ya hapo
andika hivi “slmgr /ipk yourlicensekey”
hapo kwenye youlicensekey utaweka keys yako ya window kutoka na edition hip kha pro home , enterprise na nk. kisha utapiga enter
Baada ya hapo andika command hizi
“slmgr /skms kms8.msguides.com” kisha utapiga enter
utamalizia kwa kufanya activation permanent kabisa kwa kuandika hivi
“slmgr /ato” kisha utapiga enter

hizi hapa baadhi ya list za license key
Home: TX9XD-98N7V-6WMQ6-BX7FG-H8Q99
Home N: 3KHY7-WNT83-DGQKR-F7HPR-844BM
Home Single Language: 7HNRX-D7KGG-3K4RQ-4WPJ4-YTDFH
Home Country Specific: PVMJN-6DFY6-9CCP6-7BKTT-D3WVR
Professional: W269N-WFGWX-YVC9B-4J6C9-T83GX
Professional N: MH37W-N47XK-V7XM9-C7227-GCQG9
Education: NW6C2-QMPVW-D7KKK-3GKT6-VCFB2
Education N: 2WH4N-8QGBV-H22JP-CT43Q-MDWWJ
Enterprise: NPPR9-FWDCX-D2C8J-H872K-2YT43
Enterprise N: DPH2V-TTNVB-4X9Q3-TJR4H-KHJW4

Sasa utafanikiwa kufanya activation ya window yako permanent kabisa

VIPI UMEFANIKIWA KUFANYA ACTIVATION YA WINDOW TUAMBIE KWENYE MAONI SASA unaweza kutufuatilia kwenye page yetu kujifunza zaidi karibuni Sasa
Instagram
Naweza ku-download Windows 10 nikai-install na kutumia hii proceudre ku-activate?
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,369
1,500
Ingia piratebay search hiyo ishu zitakuja nyingi, portable, cracked, full version you name it. So njia rahisi ni kudownload via torrent.

Mimi hua nazipata huko hizi software. Hope unajua kudownload torrent
Nilitafuta huko siku moja ili nipate za kuchakachulia office 2019 nikaona ni za kihuni tu. Ila nilipata nyingine kali Mahali fulani hivi baada ya kuhangaika sana ila naikubali. KMSPico 11.21 nayo yaweza kuwa nzuri ila kwenye website ya madeveloper wake naona bado hawajaiweka nadhani wako kwenye majaribio bado.

Sent from my cupboard using mug.
 
asubuhi sana

JF-Expert Member
Mar 18, 2015
1,569
2,000
Nilitafuta huko siku moja ili nipate za kuchakachulia office 2019 nikaona ni za kihuni tu. Ila nilipata nyingine kali Mahali fulani hivi baada ya kuhangaika sana ila naikubali. KMSPico 11.21 nayo yawezakuwa nzuri ila kwenye website ya madeveloper wake naona bado hawajaiweka nadhani wako kwenye majaribio bado.

Sent from my cupboard using mug.
Unayo Mkuu hiyo application ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom