Windows 8 Pro Activator

guys hebu nilete challenge hapa.

Kwamba hizi activator ni fake. Wewe unaona mashine yako ipo activated kumbe sio kweli changa la macho.

Moja kati ya feature ambayo huwezi kufanya katika windows 8 ambayo haipo activated ni kupersonalise nani ameweza baada ya kutumia hii activator?

Atlest mtu anihakikishie kwa kunionesha acount picha yake
Ni kwl mkuu ntakuja na maelezo na genuine activation process for free umeme ukirudi.
 
Mkuu.@Kimox Kimokole Usichezee hii kitu kaka!!! ni hatari OS ZORRIN NI kIBOKO YA WINDOWS 8 HII OS ZORRIN LINUX

Screenshot from 2012-11-23 08:06:36.png
attachment.php
 
MKUU MziziMkavu TAYARI NIMEDOWNLOAD ISO YA HIYO OS NA KUBURN FRESH TATZO NASHINDWA KUINSTLL JUU YA WINDOWS 8 AU 7 MAANA INATAKA NIFORMAT PARTITION ZOTE IWE MOJA. KAMA KUNA NAMNA NYINGINE YAKUFANYA BILA YA KUATHIRI PARTITION TAFADHALI NIELEKEZE
 
Last edited by a moderator:
Ni version gani mkuu, nipe link nami niishushe
Mkuu Kimox Kimokole chukuwa hii hapa Zorin Os Zorin OS 6.1 Core is the standard desktop version of Zorin OS. bonyeza hapa Zorin OS - Free


MziziMkavu Mr Kicheko Hapa nashusha Zorin OS 6 for 64Bit na 32Bit
Ok kama unaishusha poa

ndiyo yenyewe hiyo..........jamaa naona leo kadoda aisee
Mkuu Mr Kicheko Sijadoda nilikuwa sipo online sasa nimeingia nimekujibu fuatilia kwa makini sana.
 
Wakuu mimi nashida na laptop yangu Toshiba brightness control nimetafuta sijaiona.Fn na symbol ya mwanga niki click hai respond.Nikienda kwenye power option sijaiona.Mwanga mkali kwa kweli.Naombeni msaada wenu ni satellite c850
 
Wakuu mimi nashida na laptop yangu Toshiba brightness control nimetafuta sijaiona.Fn na symbol ya mwanga niki click hai respond.Nikienda kwenye power option sijaiona.Mwanga mkali kwa kweli.Naombeni msaada wenu ni satellite c850
Mkuu Mzinga izime Laptop yako kisha uiwashe tena kisha kabla haijafunguka bonyeza F8 itakupeleka Safe Mod huko ndiko utakapo badilisha huo mwanga wako uliozidi ingawa hujataja hiyo Toshiba Modell gani jaribu kufuata haya maelezo yaliyochini ya kizungu.

Try just pressing the 'Fn' key to see if all the flash cards appear at the top of your screen. If the 'Flash Cards' don't appear at the top of the screen when you hit the 'Fn' key, then click the 'Start' button and type the word flash in the search field. In the programs that appear at the top, you should see 'Restart Flash Cards' and 'Settings for Flash Cards'. First, click on 'Restart Flash Cards', then again click on 'Start' and type in the word flash in the search field. This time click on 'Settings for Flash Cards', and make sure there is NOT a check mark on 'Disable all function keys', click 'Apply' and 'OK'. Then try holding the 'Fn' key down while pressing 'F6' or 'F7' to see if the brightness control is now working.

If it doesn't work, go here and make sure you have the correct TVAP utility by surfing for your specific model number and operating system version.
http://www.csd.toshiba.com/cgi-bin/tais/support/js<wbr>p/home.jsp?nav=Download&sn=false

Completely uninstall the TVAP package you have in there now. Run a registry cleaning program like CCleaner to remove all traces of the old TVAP. Do a complete reinstall of the correct TVAP.

Reboot, retry the 'Flash Card' paragraph if necessary. Good luck!If is working Please give me Feedback.
 
Mkuu MziziMkavu ni Toshiba C850.Nimejaribu njia uliyonipa ya kutype flash kwenye start button sioni hayo maelezo yanayofuata.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu ni Toshiba C850.Nimejaribu njia uliyonipa ya kutype flash kwenye start button sioni hayo maelezo yanayofuata.
Mkuu Mzinga unatumia Windows ipi? Windows XP au windows 7?angalia kwenye hiyo Keyboard yako utaiona hiyo FN. bonyeza pamoja Fn + F6 moja kwa moja usiachie kupunguza mwanga au kuongeza au jaribu kubbonyeza kwa pamoja hizi Fn + F7 moja kwa moja usiachie Angalia Video kisha ujaribu unipe feedback

 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu natumia win 7.Nikibonyeza Fn na F6 au F7 hairespond mkuu okoa macho yangu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hi! kwa wale mnao pendelea kuwa na windows 8 pro katika machine zenu fanyeni hivi download hi windows 8 pro torrent link hii hapa Windows 8 Pro WMC x86 Retail Channel Free Mode en-GB Dec1 2012 (download torrent) - TPB wakati una download nenda hapa Add features - Microsoft Windows ili kuweza ku register upate keys za windows media centre ambayo ita activate windows yako kabisa .ukisha maliza download windows yako install ukimaliza ku install nenda kwenye PC settingsiko upande wa kulia kwenye menu ya settings. utaona option ya ku activate window baada ya ku bonyeza PC settings ,weka keys utakazo pewa na window nadhani ina tumia siku 3 au 2 kwa windows kukutumia hiyo key so uwe mvumilivu .wakati mi na fanya haya machine ilikuwa kwenye internet sasa sijui kama usipokuwa kwennye internet ita kubali au laa ila sio mbay na wewe ukiwa kwenye net ..
 
Back
Top Bottom