Windows 10

Dec 25, 2013
59
2
Salam wapendwa!!!
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona tangazo kwenye Pc yangu likinielekeza kuwa ninaweza kufanya upgrade ya OS yangu kutoka Windows 8.1 hadi Windows 10 ambayo si trial version kwa kifurushi chenye ukubwa wa GB 3 tu.

Kwa kweli ufahamu wangu mimi ni karibia na sifuri kwenye haya mambo za teknolojia hivyo ningependa kujua toka kwenu kama kuna mtu anatumia hiyo Windows 10 anipe ushauri kama inafaa na mimi nijiunge au niachane nayo.

Salam
 
Salam wapendwa!!!
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona tangazo kwenye Pc yangu likinielekeza kuwa ninaweza kufanya upgrade ya OS yangu kutoka Windows 8.1 hadi Windows 10 ambayo si trial version kwa kifurushi chenye ukubwa wa GB 3 tu.
Kwa kweli ufahamu wangu mimi ni karibia na sifuri kwenye haya mambo za teknolojia hivyo ningependa kujua toka kwenu kama kuna mtu anatumia hiyo Windows 10 anipe ushauri kama inafaa na mimi nijiunge au niachane nayo..
Salam..

Windows 10 itakua available after 29 July
unachotakiwa kufanya nikufanya free reservation lets call it free pre-order ili ikishatoka watakutumia notification ui download na uiweke kwenye...
Uzuri wa windows 10 waweza install technical preview uuangalie tofauti na hapo nenda Youtube uangalie video jinsi ilivo

maelezo kuhusu upgrade notice tulishayajadili humu jamvini

summary
ERlO5a.png
 
mi naitumia muda mrefu sasa, kama hautumii touch screen unatumia mouse na keyboard nairecomend windows 10 over windows 8.1

-utapata start menu kama ya win 7 lakini yenye features za win 8, app za win 8 sasa hivi unaweza kuzirun kwenye desktop mode pamoja na kuziresize, kuminimize nk
MyStartMenu_5F00_thumb_5F00_64094A7D.png

-ina vitu vingi vya kisasa vilivyokuwa kwenye simu vimeongezwa kama
1.uwezo wa kushare vitu toka file explorer
2.notification centre
3.cortana (assistant)

-kimatumizi kama umeshatumia win 8 na 7 basi 10 haitakushinda sababu vitu vingi vipo sawa

dropshadows.jpg
 
pia wameniletea hiyo notification ila bado sijajui fuature zaka nsije jutia
 
Hauwezi kujutia, kwa sababu Windows 10 imeboreshwa zaidi kutokana na maoni ya wateja na watumiaji. Microsoft wameboresha muonekano wa Windows 10 na pia wameonmgeza features maridadi zaidi. Jaribu kuperuzi pages mbalimbali au ingia youtube uweze kujua mabadiliko utakayokutana nayo kwenye Windows 10

Pitia hapa: http://www.microsoft.com/en-us/windows/features
 
mi naitumia muda mrefu sasa, kama hautumii touch screen unatumia mouse na keyboard nairecomend windows 10 over windows 8.1

-utapata start menu kama ya win 7 lakini yenye features za win 8, app za win 8 sasa hivi unaweza kuzirun kwenye desktop mode pamoja na kuziresize, kuminimize nk
MyStartMenu_5F00_thumb_5F00_64094A7D.png

-ina vitu vingi vya kisasa vilivyokuwa kwenye simu vimeongezwa kama
1.uwezo wa kushare vitu toka file explorer
2.notification centre
3.cortana (assistant)

-kimatumizi kama umeshatumia win 8 na 7 basi 10 haitakushinda sababu vitu vingi vipo sawa

dropshadows.jpg

Thanks mkuu..
 
Windows 10 itakua available after 29 July
unachotakiwa kufanya nikufanya free reservation lets call it free pre-order ili ikishatoka watakutumia notification ui download na uiweke kwenye...
Uzuri wa windows 10 waweza install technical preview uuangalie tofauti na hapo nenda Youtube uangalie video jinsi ilivo

maelezo kuhusu upgrade notice tulishayajadili humu jamvini

summary
ERlO5a.png

Nimekupata mkuu..
 
Sina uhakika lakini naona kama kwenye simu siku za hivi karibuni wameweka updates nyingi siji ndio wameanza kutunavigate kwenda windows 10!
 
Hauwezi kujutia, kwa sababu Windows 10 imeboreshwa zaidi kutokana na maoni ya wateja na watumiaji. Microsoft wameboresha muonekano wa Windows 10 na pia wameonmgeza features maridadi zaidi. Jaribu kuperuzi pages mbalimbali au ingia youtube uweze kujua mabadiliko utakayokutana nayo kwenye Windows 10

Pitia hapa: Windows 10 Features - Microsoft

Swala nikuicheki tu mwenyewe kwakudownload ISO hapa Download Windows 10 Insider Preview ISO - Microsoft Windows

Mi nimeicheki kitambo tu ila nilitaka nitest software flani juzi kati hapa kwakutumia VMware, binafsi huwa nachukizwa sana na Flat UI.
 
mi naitumia muda mrefu sasa, kama hautumii touch screen unatumia mouse na keyboard nairecomend windows 10 over windows 8.1

-utapata start menu kama ya win 7 lakini yenye features za win 8, app za win 8 sasa hivi unaweza kuzirun kwenye desktop mode pamoja na kuziresize, kuminimize nk
MyStartMenu_5F00_thumb_5F00_64094A7D.png

-ina vitu vingi vya kisasa vilivyokuwa kwenye simu vimeongezwa kama
1.uwezo wa kushare vitu toka file explorer
2.notification centre
3.cortana (assistant)

-kimatumizi kama umeshatumia win 8 na 7 basi 10 haitakushinda sababu vitu vingi vipo sawa

dropshadows.jpg
Hii yako chief si ni first release??
Maana naona muonekano wa sasa kwenye Start Menu umebadilishwa pamoja na Task bar...
Kuna video imewekwa kwenye hizi notification wanazotuma naona zimetofautiana kidogo maeneo fulani ya muonekano
 
Hauwezi kujutia, kwa sababu Windows 10 imeboreshwa zaidi kutokana na maoni ya wateja na watumiaji. Microsoft wameboresha muonekano wa Windows 10 na pia wameonmgeza features maridadi zaidi. Jaribu kuperuzi pages mbalimbali au ingia youtube uweze kujua mabadiliko utakayokutana nayo kwenye Windows 10

Pitia hapa: http://www.microsoft.com/en-us/windows/features

mkuu hv hyo cortana ina be apply tz or
 
Good luck beta testing (samahani sikuweza kupata neno la kiswahili) I personally would wait for couple more months, mpaka the beta testing phase has passed. Cz over and over again tumeona OS ikiwa released but still has quite some bugs that will hinder your day to day use. Nimetumia Windows 10 Preview copy for a month or so. Lakini i had to go back to 8.1 due to legacy issues and software compatibility. Same ilitokea kwa windows 7 ,8 vista etc.
 
mkuu hv hyo cortana ina be apply tz or

Nahisi Cortana itakua kama google search engine. Itatumia Bing kupull it's searches. Na since i believe (sijaribu cz sipo bongo) Bing is accessible bongo, just like google search, yahoo search etc. Then it should work. Sema you might not be able to access some features that work more in the US and other western countries. But that's where we need app developers to take advantage of that and create an eco system of apps that work with these software and benefit people in bongo. Anyways that's a whole different topic.
 
Kwa sasa ukitaka kumtumia cortana lazima uchange settings. Kwa mfano me namtumia coz nimechange language na region to united states
 
Nahisi Cortana itakua kama google search engine. Itatumia Bing kupull it's searches. Na since i believe (sijaribu cz sipo bongo) Bing is accessible bongo, just like google search, yahoo search etc. Then it should work. Sema you might not be able to access some features that work more in the US and other western countries. But that's where we need app developers to take advantage of that and create an eco system of apps that work with these software and benefit people in bongo. Anyways that's a whole different topic.

mkuu asante kwa hii nondo ngoja nianze matayarisho ya kuiweka
 
Hii yako chief si ni first release??
Maana naona muonekano wa sasa kwenye Start Menu umebadilishwa pamoja na Task bar...
Kuna video imewekwa kwenye hizi notification wanazotuma naona zimetofautiana kidogo maeneo fulani ya muonekano

si pic zangu ni build za zamani hizo 9xxx sasa hivi zipo 10xxx
 
Nahisi Cortana itakua kama google search engine. Itatumia Bing kupull it's searches. Na since i believe (sijaribu cz sipo bongo) Bing is accessible bongo, just like google search, yahoo search etc. Then it should work. Sema you might not be able to access some features that work more in the US and other western countries. But that's where we need app developers to take advantage of that and create an eco system of apps that work with these software and benefit people in bongo. Anyways that's a whole different topic.

ila kwa kuongezea cortana ina personality compare na google now (google search) inaweza kufanya mambo yako ya humo humo kwenye simu, mfano unaweza kumuambia akuamshe baada ya masaa 3 au ukamwambia alhamisi saa 10 jioni akukumbushe kwenda kwenye mpira nk. na sasa hivi kuna hey cortana unaweza kuicomand kwa sauti tu mfano unatembea au unakimbia huna time ya kuangalia kioo unaweza sema tu hey cortana play (jina la audio) then itatafuta ile audio na kuplay. sema feature hii ipo limited kwenye high end lumia tu.

kwenye windows 10 imekuwa integrated kwenye baadhi ya apps kama office apps na edge browser hivyo vitu kama maana ya maneno inakuwa sio shida tena. ukichapa kazi neno likikushinda maana unamuuliza tu cortana
 
Windows 10 itakua available after 29 July
unachotakiwa kufanya nikufanya free reservation lets call it free pre-order ili ikishatoka watakutumia notification ui download na uiweke kwenye...
Uzuri wa windows 10 waweza install technical preview uuangalie tofauti na hapo nenda Youtube uangalie video jinsi ilivo

maelezo kuhusu upgrade notice tulishayajadili humu jamvini

summary
ERlO5a.png

Sasa mkuu niki install hiyo beta kwa sasa..je ikitoka hiyo final itakuaje?? Wataiblock beta mpaka niweke final version????
 
unachoitaji ili kuwa na Windows 10 Genuine final release ni kwamba lazima uwe na Genuine Windows7 au 8
Mfano mm PC yangu imekuja na windows 8.1 hivo siwezi jaribu kubadilisha kuweka hiyo technical preview maana sina keys wala CD yake hivo nasubiri tu...
Kama ni mtumiaji wa windows 7 nafikiri keys zake genuine nyingi sana hivo hata ukiweka win10 technical preview wakiachia official os wewe unarudisha windows 7 wanakutumia Upgrade notice
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom