Windows 10

Windows 10

Lakini all the above mentioned features zipo in google now. From Alarm setting, calendar reminder, make notes, what's this song etc. Tena with the new update ndo features kibao zimeongezeka. I think the only upper hand cortana will have, is being integrated with windows 10 so that'll help with system file searching etc. But kama ni online, then siri, google now and cortana are neck to neck
 
Salaaam Chief.
Nimekua nikitumia Windows 10 Tech. preview bit64 kwa miezi kadhaa ila inanipa tatizo kila ninapo update kutoka Build 9926 kwenda juu. after each update pc inakuwa na resolution mbovu kwamba update haimatch custom resolution ya pc na wakati driver ya display iko latest updated na pc yangu ni hp elite book 6930p with 1280 800 display resolution.
Qn: processor haina uwezo wa kusukuma bit64 update au kuna technical problem nyingine? Msaada tafadhali
Natanguliza shukrani kwa thread hii
 
http://forum.xda-developers.com/showthread.php?t=1265544 fungua hyo link then download file hpo ukimalza extract na ufanye double click then restart PC yako utakuta issue ya resolution iko poa.
 
Salaaam Chief.
Nimekua nikitumia Windows 10 Tech. preview bit64 kwa miezi kadhaa ila inanipa tatizo kila ninapo update kutoka Build 9926 kwenda juu. after each update pc inakuwa na resolution mbovu kwamba update haimatch custom resolution ya pc na wakati driver ya display iko latest updated na pc yangu ni hp elite book 6930p with 1280 800 display resolution.
Qn: processor haina uwezo wa kusukuma bit64 update au kuna technical problem nyingine? Msaada tafadhali
Natanguliza shukrani kwa thread hii

una update vipi? kama ni kwa kuinstall upya ujue driver zimeshatoka, na upo build ngapi? sasa hivi latest ni 10154
 
nimepiga chini Windows nimeanza upya yaani natumia build 9926 wakuu
 
nimepiga chini Windows nimeanza upya yaani natumia build 9926 wakuu

kaka ukipiga chini windows means unaanza upya hadi driver eka upya. pia build hio ya zamani. ila kama haikukeri subiria hadi july 29 ikitoka rtm
 
shukrani sana. usiku huu najaribu kuipandisha kwenda 10130 maana ndio nimeiona kwenye list ya new updates. nitatoa mrejesho panapo majaaliwa. have a nice time bro na nina appreciate michango yako kwenye jamvi hata ujue mie ni follower wako mzuri tu.
 
mi naitumia muda mrefu sasa, kama hautumii touch screen unatumia mouse na keyboard nairecomend windows 10 over windows 8.1

-utapata start menu kama ya win 7 lakini yenye features za win 8, app za win 8 sasa hivi unaweza kuzirun kwenye desktop mode pamoja na kuziresize, kuminimize nk
MyStartMenu_5F00_thumb_5F00_64094A7D.png

-ina vitu vingi vya kisasa vilivyokuwa kwenye simu vimeongezwa kama
1.uwezo wa kushare vitu toka file explorer
2.notification centre
3.cortana (assistant)

-kimatumizi kama umeshatumia win 8 na 7 basi 10 haitakushinda sababu vitu vingi vipo sawa

dropshadows.jpg

Mkuu,
Mimi natumia Win 7. Je naweza kui-upgrade to Win 10?
Ahsante
 
mm natamani kutmia hiyo technical preview kwa sasa,je niki instal preview ninaweza pata free upgrade 29 july?
 
Mkuu,
Mimi natumia Win 7. Je naweza kui-upgrade to Win 10?
Ahsante

kama una win 7 basi 10 inakaa bila tatizo, kama ni genuine windows 7 basi na windows 10 utaipata bure. ila kama ulichakachua hio win 7 basi itabidi ununue/uchakachue windows 10
 
kama una win 7 basi 10 inakaa bila tatizo, kama ni genuine windows 7 basi na windows 10 utaipata bure. ila kama ulichakachua hio win 7 basi itabidi ununue/uchakachue windows 10

Ahsante Mtwa Mkwawa! Is there a way of knowing the authenticity of installed Win?
 
Ahsante Mtwa Mkwawa! Is there a way of knowing the authenticity of installed Win?

1. chunguza laptop/desktop yako iangalie chini, pembeni au juu kama kuna key za windows. kama zipo then una genuine windows hizo key zitatumika kueka win 10 (key ziwe za windows 7 au 8)

2.windows inayokuja na laptop/desktop ambayo haijapigwa chini ikaekwa windows nyengine

3. nenda my computer then right click halafu chagua properties kwa chini utaona sticker imeandikwa genuine click learn more utapelekwa kwenye website shuka chini utaona kuna njia ya kuvalidate kama windows ni genuine
 
Km spico mpango mzima una crack windows OS na Microsoft office application
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom