Caps Lock yangu imezima ghafla baada ya kushusha Window 10

Caps Lock yangu imezima ghafla baada ya kushusha Window 10

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
33,953
Reaction score
56,079
Habari,

Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza,

Caps-lock ya PC yangu aina ya TOSHIBA imezima ghafla baada ya kushusha window 10 kutoka window 8.1,

Mwenye ujuzi wa kunisaidia naomba anisaidie

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom