Mkuu kwann makampuni mengi kama taasisi za fedha hapa tz wanatumia XP?kwani linux ndio hakuna updates? na update ni kwa faida yako ina solve bugs na pia security updates zinakulinda.
pia windows 10 unaweza kuilock down isipate updates ukawa unatumia tu, na feature hii imefanya kampuni nyingi kuruka toka windows xp kuja windows 10. mfano ATM machine
Mkuu kwann makampuni mengi kama taasisi za fedha hapa tz wanatumia XP?
hizo issue za juu zote zina kitu kimoja kinachofanana nacho ni graphics, huwenda hukuweka drivers za graphics ndio maana ikawa inazingua mambo yote hayoHello guys! Nimefuatilia vizuri sana huu mjadala wa Win10. Binafsi nina HP630 ikiwa na AMD Vision processor.
Shida nilokuwa nayo ni kuwa hapa juzi kati nili-upgrade from Windows7 Ultimate to 10.
Mara ya kwanza nili-experience Black Screen. Ila baadae nikaweza kufix hiyo problem baada ya kuileta issue jamvini hapa na pia baada ya kupitia other forums.
Win10 niliipenda sana hasa UI yake. Ila badae nikaanza kuexperience mambo yafuatayo;
*ukiweka movie inakuwa inastuck regardless ya player utakayotumia. Yaani hadi VLC full ku-stuck. So ikapoteza raha ya video.
* Shida nyingine nilokuwa nayo ni kuws baada ya upgrade ngoma ilikataa kabisa kudetect projector na wakati PC hii ndio huwa nafanyia presentation hapa kazini. So nilikwama wakati PC hii hii ikiwa na Win7 niliweza kufanyia shughuli zangu zote.
So hatma ya yote pamoja na kuipenda sana Win10 I had to downgrade to the same good old school Win7 kupunguza stress.
Ila sasa na huku Win7 kuna issue na kutana nayo. Kila niki-right click inanileta message ya Windows Explorer has stopped working then inafunga all the open windows. How do I handle this problem?? Cc: CHIEF MKWAWA
mkuu Chief-Mkwawa hivi hizi 5th generation and 6th Generation intel processors bongo zishaingia kweli, maanake huko dukan mpak sas bado nakutana na series ya 4k tu!hizo issue za juu zote zina kitu kimoja kinachofanana nacho ni graphics, huwenda hukuweka drivers za graphics ndio maana ikawa inazingua mambo yote hayo
kuhusu explorer ikijifunga huwa app hazijifungi ila tu unakuwa huzioni sababu taskbar nayo inapotea unaweza kuswitch toka app moja kwenda nyengine kwa kutumia keyboard shortcut ya alt+tab
kabla ya kutafuta solution windows yako ipo updated mpaka version ya mwisho? ni service pack 1?
5 pia zipo nimewahi ziona u seriesmkuu Chief-Mkwawa hivi hizi 5th generation and 6th Generation intel processors bongo zishaingia kweli, maanake huko dukan mpak sas bado nakutana na series ya 4k tu!
uki update vitu vyako vitabaki na ukifanya clean installation vitapotea, ila sikuhakikishii kama crack zako zitaendeleA kufanya kazi zinaweza zikafanya au zisifanyeHivi chief ukitaka nina hp core i7 ina Amd gpu nasukuma ma game makali kama gta v dirty 3 euro truck simulator latest version but ni crack version na steam zote. Windows yangu ni 8.1 pro inaniletea ku update to windows 10 pro je programs zangu za game zitakuwa vile vile kama unavyo update android phone apps zinabaki vile vile au italeta my computer na recycle bin tu kwenye deaktop after upgrade
me natumia window 8.1 iko poa sana haina shida window difender ina fanya kazi vzuri kabisaa pia pc yangu n kubwa core i7 3.3 ghz processor hdd 500 ram 6 GBWindows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7
Six months after launch, Windows 10 has finally leapfrogged over both XP and 8.1 to become the second most popular desktop operating system in terms of Web traffic.
In January, Windows 10 snagged a global market share of 11.85 percent, up from 9.96 percent in December, researcher Net Market Share reported Monday. The latest number showed a healthy upturn following several months of slower growth in adoption.
At the same time, Windows XP usage actually inched up about half a point from last month to 11.4 percent, while Windows 8.1's cut of the market remained flat at 10.4 percent
The increase in market share for Windows 10 signals that the new software may finally be getting a measure of mainstream awareness. Following the poor reception to Windows 8, Microsoft is eager to prove that its successor, Windows 10, is an appealing and user-friendly operating system.
Windows 7 and 8.1 users have six months left to take advantage of the free Windows 10 upgrade, which is good only for one year following the software's release on July 29. After the freebie expires this summer, Windows 10 will cost them $119 for the Home edition and $199 for the Pro version.
Windows 7 kept its lead among desktop operating systems last month, but its share dropped to 52.4 percent from 55.6 percent in December, a sign that more people are jumping ship to Windows 10.
Microsoft has been pushing the free upgrade through frequent pop-up reminders, which some may find annoying but which have undoubtedly helped trigger the increase in Windows 10 adoption. Windows 10 is still listed as an optional upgrade, but Microsoft said it will change that status to a recommended upgrade early this year, which could prompt more people to install it.
SOURCE: CNET
ndo mana i run vizurime natumia window 8.1 iko poa sana haina shida window difender ina fanya kazi vzuri kabisaa pia pc yangu n kubwa core i7 3.3 ghz processor hdd 500 ram 6 GB
Hii ulinunua kiasi ganime natumia window 8.1 iko poa sana haina shida window difender ina fanya kazi vzuri kabisaa pia pc yangu n kubwa core i7 3.3 ghz processor hdd 500 ram 6 GB
Laki 9Hii ulinunua kiasi gani
Window 7 sijaona wakumpita window 10 kwakikata network kutokubali other apps hata kaspersky inaikataa ikiikubali ujue itablock net