Window XP OS si salama tena, je, tutasalimika?

Kwanza,lwo naenda kutoa window 8 niweke xp
 
Hivi wewe unadhani fedha zako pale bank zipo salama kwasababu ya updates za security ya Microsoft?
Mnachanganya sana mambo mkuu

Fafanua hicho unachodhani kinachanganywa: mfano ni huu; Vila protection hackers wanaweza kuingilia transaction za taasisi za Fedha na kufanya transfers, ndiyo maana kuna nchi zilikuwa zimejitolea kulipa ili Microsoft wa-extend ili kuzuia madhara kwa makampuni yao.
 
Kwahiyo Microsoft ndio wanazuia hackers wasi hack system za bank?
 
Ishazikwa hiyo XP. Infact ilishafail before they launched it
 
duh os nzuri kupata kutengenezwa duniani unaiita failure? unajua xp inarun kwenye 256mb ram even os za simu hazikubali hardware ndogo kama hiyo
 
Jiulize swali dogo tu....kwanini XP kuna muda inashindwa kuperform some tasks na inakuprompt kuingia w7 ??
It failed since then but ilikua ni lazima wailaunch tu kukwepa hasara.
If it was the best wasingeishut down. Runnig in 256mb doesn't measure the efficiency
 
kila os na task zake ilizotengenezewa na kuna task haziko compatible na xp. hata leo windows 8 huwezi eka software ya ios sababu zile soctware hazijawa designed kufanya kazi kule. je tupe nfano hio task inayokataa xp na kucorupt.

hivi vitu vinaifanya xp iwe next level kaka na sio failure
1.kaka windows xp inapata support mwaka wa 13 huu haikushangazi? hebu taja os yenye support ya muda mrefu kama hio. mamilion ya updates toka mwaka huo hadi leo

2. os ambayo ni failure haitumiki kwenye mabank na atm sababu hela ndio sabuni ya roho. nani mjinga akabidhi hela kwenye os failure?

3. japo ina mwaka wa 13 kwenye soko lakini inashikilia asilimia 36 ya computer kwenye marketshare. kwa lugha nyengine kila computer 100 basi 36 zinatumia xp.

4.ni efficient. same program inataka hardware kubwa kwenye os zengine ila inahitaji hardware ndogo kwenye xp.

5. less bloatware. kwenye xp hakuna mambo kama ya vista na win7 hakuna apps nyingi zinazofanya kazi chini kwa chini na kufanya computer iwe slow

6. stability. kwenye xp computer unatumia hata miezi bila kuzima na bila kuwa slow ila huku kwenye 7 na kuendelea kuna kuna kama haya mambo ya blue screen o death.

7. njia rahisi ya kuepuka virusi vyote. karibia virusi vyote vinamdhuru administrator ukiwa na xp ukaingia kama guest basi 99% ya virusi umeviepuka.

kaka xp itabaki kuwa os bora zaidi kupata kutengenezwa
 
Point of correction mimi sio kaka.
Ubishi siwezi ila nijibu swali hili, KAMA XP INA SIFA ZOTE HIZO... NI KWANINI WAMEIPIGA CHINI??
 
ni kama unasema kama nyerere ndio raisi bora tanzania kwanini aliachia madaraka?

1.taste/preference/fashion
hata kama unakipenda kitu fulani kiasi gani ukipewa hicho hicho kila siku inafika stage unakichoka. windows xp ni ya mwaka 2001 hivyo kama mtu ni mzoefu wa computer atakua ameshaitumia sana. hivyo mtu unaenda mbele kwenye win7 na 8 ili kupata design mpya kwenda na fashion au sababu binafsi.
leo hii kuna laptop za chromebook na android zote ni inferior kwa windows na linux je kwanini watu wanazinunua? unapata jibu watu wanataka fashion mpya na kujaribu vitu ambavyo hawajawahi kuviona.

2.maturity vs cost
win xp ipo mature kuna mamilion ya website yanaisuport hii windows hakuna haja ya microsoft kusuport kwa zaidi ya miaka 13 wakati resource za support zipo kibao
 
Fafanua hicho unachodhani kinachanganywa: mfano ni huu; Vila protection hackers wanaweza kuingilia transaction za taasisi za Fedha na kufanya transfers, ndiyo maana kuna nchi zilikuwa zimejitolea kulipa ili Microsoft wa-extend ili kuzuia madhara kwa makampuni yao.

Eeeeti
 
Jiulize swali dogo tu....kwanini XP kuna muda inashindwa kuperform some tasks na inakuprompt kuingia w7 ??
It failed since then but ilikua ni lazima wailaunch tu kukwepa hasara.
If it was the best wasingeishut down. Runnig in 256mb doesn't measure the efficiency

Na wewe jiulize swali dogo kabla windows 7 haijatengenezwa hizo application zilikua zinaprompt kuwa u switch to Win 7?
 
Fafanua hicho unachodhani kinachanganywa: mfano ni huu; Vila protection hackers wanaweza kuingilia transaction za taasisi za Fedha na kufanya transfers, ndiyo maana kuna nchi zilikuwa zimejitolea kulipa ili Microsoft wa-extend ili kuzuia madhara kwa makampuni yao.

Kwani microsoft ndo walikua wanalinda fedha? Hizo ni security issues ambazo system administrator anacheza nazo haijalishi anatumia windows gani. Hapo ndo maana mtu anaajiliwa aliyesoma network security and adminiatration ili kuhakikisha network yake iko secured sio kazi ya microsoft hiyo.
 
Ishazikwa hiyo XP. Infact ilishafail before they launched it

XP ndio best OS ya Microsoft,Window Vista ndio OS ambayo Microsoft alichemka.Hii inaweza kuwabadilisha watu kuhamia kwenye Ubuntu
 
Back
Top Bottom