Window XP OS si salama tena, je, tutasalimika?

Window XP OS si salama tena, je, tutasalimika?

Na wewe jiulize swali dogo kabla windows 7 haijatengenezwa hizo application zilikua zinaprompt kuwa u switch to Win 7?
Umesahau kuna sababu za kibiashara? watu tunalazimiswhwa kuingia 8 kwa sababu wameshaweka security ngini ambazo si rahisi kuzichakachua na italazimika ununue Microsoft . XP wajanja walishaizoea sana na kuweza kutengeneza mpaka application softwares ambazo sio za kwao likini zilikuwa compactible na XP
 
Back
Top Bottom