Wana JF,
Microsoft imetangaza kutoendelea kutoka king a kwa watumiaji wa window XP is, na sasa yamebaki chini ya Massa matatu tu. Ikumbukwe pia kuwa watumiaji wakubwa wa OS hii ni mabenki kwenye mashine za kutolea Fedha. Je, Fedha zetu zitakuwa salama?
Ipo hatari kubwa kwa watumiaji wa windows xp kama hawatachukua tahadhari baada ya microsoft kusitisha support mwezi huu. Watu binafsi wanatakiwa kuchukua tahadhari zifuatazo:
1) Kutounganisha kompyuta na internet kwa namna yoyote ile
2) Kutokupakua program yoyote kutoka internet iliyohifadhiwa kwenye cd.
Kwa mashirika kama benki na masupermarket itabidi watafute os iliyopo kwenye support ya microsoft na ambayo itawafaa kwenye shughuli zao.
Hofu kubwa iliyopo ni kwamba wahuni wa mtandaoni wanasherehekea kutolindwa kwa windows xp, na wako tayari kutumia mapungufu yote yaliyopo kwenye windows xp kwa klusambaza virusi na mashambulizi makali dhidi ya yatima huyu - windows xp.
Lakini iwapo unatumia windows xp kwa ajili ya matumizi ya word, spreadsheet, powerpoint na application nyinginezo hatari si kubwa sana.
kwani mwisho wake ni mwezi gani ndugu? tusaidiane kwani mm natumia window xp kwenye computer yangu
Mpaka sasa hakuna update tena ya protection, consumers wadogo hawana tatizo sana, tatizo kubwa no makampuni makubaa kama benki ambazo transactions zake nyingi ni network based, hackerswanaweza kuingilia mifumo ya utendaji kazi na kusababisha uharibifuLeo ndio Mwisho
kwani mwisho wake ni mwezi gani ndugu? tusaidiane kwani mm natumia window xp kwenye computer yangu
kwani mwisho wake ni mwezi gani ndugu? tusaidiane kwani mm natumia window xp kwenye computer yangu
Hivi wewe unadhani fedha zako pale bank zipo salama kwasababu ya updates za security ya Microsoft?Mpaka sasa hakuna update tena ya protection, consumers wadogo hawana tatizo sana, tatizo kubwa no makampuni makubaa kama benki ambazo transactions zake nyingi ni network based, hackerswanaweza kuingilia mifumo ya utendaji kazi na kusababisha uharibifu
Hivi wewe unadhani fedha zako pale bank zipo salama kwasababu ya updates za security ya Microsoft?
Mnachanganya sana mambo mkuu
Mkuu waonee huruma tu sisi tuluosoma security issues ndo twafahamu moaka sahivi mafhan kuna watu wanahisi computer zao zitazima
Mkuu waonee huruma tu sisi tuluosoma security issues ndo twafahamu moaka sahivi mafhan kuna watu wanahisi computer zao zitazima
umesema?
kaka ni madhara yenyewe ya screen touch nn?
Au ni typing speed ?