Window Phones, faida zake na hasara zake

  1. Ukipigiwa mpk uweke seurity lol sijawahi kuona hii mkuu ni simu ganii hiyo mkuu​

kuna app inaitwa applock mkuu, mimi nimeiweka kwenye simu yangu yenye android, yaan huwezi kusoma sms, kuona jina la anayekupigia simu na kupokea, kupiga simu, kuview system settings, kufungua whatapp, kuplay music, kuview videos , kuaccess gallery na kuinstall new app bila kuweka password.
 
Kwenye windows phone kuna kitu kinaitwa kids corner/app corner ni best way haihitaji apps wala nini.

Unalock simu then unachagua apps ambazo mtu ataweza kuziacess na ambazo hataweza.

Mfano nina mtoto basi nalock simu namuachia games tano tu. Mtoto akishika simu yangu yeye anaona simu nzima ina game tano tu hivyo anakua hajui kinachoendelea.
 
Sasa mkuu kuweka password kwwne calls iyo simu mna-share?

hii ni kwaajili ya wale watu wanopenda kukuomba cm akidai anataka kuona feature zake lakin ukishampa utakua anaanza kuangalia salio na akikuta ukovizuri anajiahamishia salio.
 
Kwenye windows phone kuna kitu kinaitwa kids corner/app corner ni best way haihitaji apps wala nini.

Unalock simu then unachagua apps ambazo mtu ataweza kuziacess na ambazo hataweza.

Mfano nina mtoto basi nalock simu namuachia games tano tu. Mtoto akishika simu yangu yeye anaona simu nzima ina game tano tu hivyo anakua hajui kinachoendelea.

Hii kids corner ni kwa ajili ya kumpa mtoto working space katika sim yako lakini sio for access controll. Nimeiactivate hiyo feature kwenye windows phone yangu na imenipa option ya kuchagua games na other apps ambazo mtoto atakua anaziona akisha unlock simu na imenipa locked screen yenye background tofauti ambayo inatumia password sawa na ile ninayotumia ya kawaida, so kama mtoto anataka kuaccessni lazima awe na hiyo password mbayo anaweza kuitumia kuaccess tena kwa kuswipe main screen ambayo ina apps zote. Inapokuja suala la access controll either kwenye simu au devices zingine usimfikirie mtu ambaye hana uelewa mpana kama mtoto badalayake mfikirie mtu ambaye ni smart enough na amedhamiria kufanya lolote ili aweze kupata information zilizopo kwenye device yako then hapo ndo utajua ni aina gani ya ulinzi au tools(software) zinazokufaa.
 
Hiyo bug wameifix kwenye wp8.1 maana ilikuwa inafanya kids corner useless. But android still offer much control maana kwenye lollipop unaweza tengeneza multiple accounts unlike kwenye WP ni hiyo ya watoto tu
 
Hii kids corner ni kwa ajili ya kumpa mtoto working space katika sim yako lakini sio for access controll. Nimeiactivate hiyo feature kwenye windows phone yangu na imenipa option ya kuchagua games na other apps ambazo mtoto atakua anaziona akisha unlock simu na imenipa locked screen yenye background tofauti ambayo inatumia password sawa na ile ninayotumia ya kawaida, so kama mtoto anataka kuaccessni lazima awe na hiyo password mbayo anaweza kuitumia kuaccess tena kwa kuswipe main screen ambayo ina apps zote. Inapokuja suala la access controll either kwenye simu au devices zingine usimfikirie mtu ambaye hana uelewa mpana kama mtoto badalayake mfikirie mtu ambaye ni smart enough na amedhamiria kufanya lolote ili aweze kupata information zilizopo kwenye device yako then hapo ndo utajua ni aina gani ya ulinzi au tools(software) zinazokufaa.

kwangu kids corner haina password ila main screen ndio ina password. kuna tofauti gani kati ya kuwa na user profile mbili na kids corner au apps corner?
 
Tofauti ipo, unavokuwa na user mbili tofauti ni kuwa kila account inajitegemea (apps+data) wakati kids corner inashare. Kwenye android other account unakuwa na full control ya account yako kama PC, unaweza install apps, set other accounts, customize your account jinsi unavyotaka etc. Kwa mfano user AA unaweza set whatsapp no ya voda na user BB ukaset namba ya airtel. Wakati kwenye WP mpaka parent akuchagulie apps/functions
 
But hii haimake sense kwenye simu/security wise.

Ukimpa mtoto full acess au mtu wa kawaida akiroot na kufanya mambo yetu ya ki android so fasta simu nzima inakuwa yake. Sijajaribu ila android ninayoijua mimi its posible

Atleast kwenye tablet inamake sense kuwa na profile mbili kwenye kifaa kimoja
 
Mie nna wp 520 nnashindwa kuconnect kwenye pc, nifanyaje?
 
But hii haimake sense kwenye simu/security wise.

Ukimpa mtoto full acess au mtu wa kawaida akiroot na kufanya mambo yetu ya ki android so fasta simu nzima inakuwa yake. Sijajaribu ila android ninayoijua mimi its posible

Atleast kwenye tablet inamake sense kuwa na profile mbili kwenye kifaa kimoja

Kwenye android kuna apps hot sana pia katika security,kuna app inaitwa smart app lock iko vizuri sana feature zake as follows.

Kwanza ina uwezo wa ku fake kama vile mtu akitaka kufungua message anaona message haifunction.
Hii ni feature inayopatikana pia katika app kama vault n.k

Ina feature ya kupotelea ndani ya simu na kuiweka tena kwny screen,app inapotelea kabisa haionekani.

Ina feature ya kupiga picha mtu,kutoa alarm na kurekodi picha na sauti pindi tu anapokosea password,pia inaweza upload picha na video hizo katika email yako.

Unaweza lock simu yako kwa kutumia sms kutoka katika simu nyingine,unatuma maneno yenye password na kuilock na pia maneno ya ku-unlock na ina unlock hata kama uko mkoani au any place message ya simu inapofika i thinks its whole world.

Ina feature ya kulock kwa kutumia gesture kama hutaki pattern na feature nyingine ya kutumia kama vidoti hivi.

Kuna feature nyingine hata sijazijaribu hivyo kama mtu ni mchunguzi anaweza ona.
 
The more inavyokua na feature nyingi the more ambavyo ni mbaya kwa security

Unanihakikishiaje huyo developer wa hio apps haibi sms na data zangu?

Ukumbuke kama anaficha message inamaana umempa ruhusa asome msg ndio maana kaweza kuzificha.
 
Sijasema kama unaficha sms bali unalock kawaida ila kwa feature tofauti utakazopenda,kama umesoma komenti yangu hapo je? Umeona feature yeyote ambayo ina leak data zako kwa developer?app inafanya kazi even if data conn ipo off,usitetee kitu ambacho hakipo window ipo lowest saaaaaaana kwa android.
 
Kwanza hata katika security issues ambapo window mnawatetea bado haijafika kabisa kwa android katika inshu nzima za security,kuna simu kama blackphone 2 yaani ni highest secured kuzidi hata window yako na inatumia android.
 
Blackphone ni secure? Watu waliiroot siku ya uzinduzi. Zile zile demo unit watu wakazichakachua.

Then hapo hapo watu waka access adb bila hata ku unlock bootloader.

In short blackphone ni joke. Jamaa wanajinadi wao ni secure kama marketing gimmick tu.

Soma zaidi hapa
Blackphone gets rooted at BlackHat security conference
 
Sijasema kama unaficha sms bali unalock kawaida ila kwa feature tofauti utakazopenda,kama umesoma komenti yangu hapo je? Umeona feature yeyote ambayo ina leak data zako kwa developer?app inafanya kazi even if data conn ipo off,usitetee kitu ambacho hakipo window ipo lowest saaaaaaana kwa android.

Kaka ili ufanye implementation ya feature fulani basi lazima upewe ruhusa. Si suala la os vs os bali ni suala la android kama android.

Mfano ili app ya tochi inayotoa mwanga ifanye kazi ni lazima ipewe ruhusa ya kutumia camera ili ipate flash itumie kama tochi.

Same kwenye vitu vyengine ili app ya security ifunge sms, call na mafolder yako ni lazima uipe ruhusa ile app i access sms na mafile yako.

So wewe unamzibia mke/mchumba asione kumbe unamruhusu mtu mwengine aone.

Next time ukidownload app playstore ukishabonyeza alama ya download utaona kinakuja kiwindow kidogo kinakuomba ruhusa ya vitu hio app inavyotumia. Soma kwa makini utaelewa namaanisha nini.

Android as os ni never kuwa secure.
 
Blackphone ni secure? Watu waliiroot siku ya uzinduzi. Zile zile demo unit watu wakazichakachua.

Then hapo hapo watu waka access adb bila hata ku unlock bootloader.

In short blackphone ni joke. Jamaa wanajinadi wao ni secure kama marketing gimmick tu.

Soma zaidi hapa
Blackphone gets rooted at BlackHat security conference

Ahahaha naona unaongelea past tense kaka,kipindi blackphone inatoka kampuni iliahidi kurekebisha matatizo yeyote yale yatakayojitokeza within 72 hrs lakini toka yatokee matatizo ktk kampuni wamesolve within 48hrs only na hiyo ni kwa blackphone hapo bado sijazungumzia blackphone 2 ambayo soon itakuwa released kwanza kabisa hacker yeyote atakayehack blacphone 2 atapatiwa donge nono la fedha kwa mujibu wa kampuni,ikiwa ni moja kwa moja na kampuni ku-repair systems very fast within fewest hours,hivyo vitu unavyoongelea vimeshakuwa covered zamani,na simu hii watu wengi marekani hasa katika vitengo vya NSA wanatumia hata Hillary Clinton mwenyewe anatumia blackphone sasa hao blackhat kama waliweka conference kwny blackphone basi tuwangoje na kwenye blackphone 2 ili wajishindie mkwanja huo wakiweka hilo bunge lao,ila in short kubali tu its very secure kuzidi window phone.Kwanza baadhi ya security apps ambazo blackphone inazitumia kama silent text,silent call na silent contacts zinapatikana pia playstore kwa ajili ya simu za kawaida kabisa za android ila unakuwa more secure kuzidi hata window yako hiyo.Hivyo naomba usilinganishe blackphone katika inshu ya security na simu yeyote chini ya jua kama ipo naomba unijuze halafu naomba useme hata blackberry kwa mbaaaaaaaaali saaaaana ila usiniambie window phone.
 
Back
Top Bottom