Window Phones, faida zake na hasara zake

Window Phones, faida zake na hasara zake

Hahahaa, ndio ikabidi useme uongo au hukuweza tu kuitumia?

Si uongo bali nilitumia. Music downloaded hazi play bila network... Same thing aliyo experience huyu mtoa mada. Simu ovyo sana hizo hata iwe lumia 1500+ ovyo tu
 
Si uongo bali nilitumia. Music downloaded hazi play bila network... Same thing aliyo experience huyu mtoa mada. Simu ovyo sana hizo hata iwe lumia 1500+ ovyo tu


Sio 'hazi play', you were doing something wrong. Kwa sababu zina play bila tatizo.
 
Si uongo bali nilitumia. Music downloaded hazi play bila network... Same thing aliyo experience huyu mtoa mada. Simu ovyo sana hizo hata iwe lumia 1500+ ovyo tu

sema aina ya simu unayotumia na app uliotumia. os zote zina app zinazoplay music online na offline. sasa kama umechanganya mwenyewe ukatumia app inayoplay music online huu unakuwa ni uzembe wako na sio operating system
 
Wakuu hivi karibuni nimenunua window phone,baada ya manzi wangu kung'ang'ania simu yangu ya samsung,nikaamua ku-'experience the difference' kwa kuhamia Window phone kutokana na kwamba mimi nilikua mpenzi wa simu za nokia,nikasema ngoja nirudi nyumbani.

Nilichokikuta huko kimenikatisha tamaa sana,kuna vitu kwa kuvutia kule hasa user interface,smoothness,live tiles,kuweka au kutoa chochote unachokitaka kwenye home page katika simu za window.

Ila mabaya ni mengi hasa tuliozoea simu za android,application za kumwaga,tena za bure kabisa,kilichonikatisha tamaa ni store yao kua immature,yaani store ya window phone bado ni ya kitoto sana,application chache sana tena za kikuda sana,nyingine zilizopo tena za kawaida kabisa zinauzwa ambazo kwenye android ni bure.

Ujinga mwingine ni kwenye gallery, huwezi kuangalia video zako ulizodownload hadi kuwe na internet connection vinginevyo huwezi kuziona. Hii pia ni ujinga uliokubuhu.

Binafsi napenda uhuru wangu, sasa huku window hakuna application inayoweza kukulinda, mfano kwenye android unaweza kuweka application ambayo simu ikipigwa hadi uweke password ndio uone nani anapiga,kupokea pia unaweka password, huku window hakuna kitu kama hiyo, hii inaniweka kwenye wakati mgumu sana hasa napokua na manzi wangu.

Kwa ujumla window phone bado wana safari ndefu ya kwenda,application za kwenye window phone hazijafika hata robo ya application za android, little soon narudi android. I am very much disappointed.

CC: CHIEF MKWAWA


Brother Naona kama umebambikiwa hiyo simu(sio original) cuz mimi natumia LUMIA 520 Inarun windows 8.1 ni nzuri tu...na nina enjoy downloader zote zinapiga kazi kama kawaida..ila uchache wa application ndo tatizo kubwa la WINDOWS PHONE lakini hizo sababu nyingine zinasolvika...just get right apps for u and make sure umeiUpdate from 8 to 8.1 ndo utaenjoy apps ambazo zilikuwa hazipatikani kwa win 8..ni hayo tu mkuu
 
ni app ya pc ambayo nitaconnect Nokia Lumia kama ilivyo ile ya Nokia PC suit? kama kuconnect internet kwa cable Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
ni app ya pc ambayo nitaconnect Nokia Lumia kama ilivyo ile ya Nokia PC suit? kama kuconnect internet kwa cable Chief-Mkwawa

huwezi kuconect internet kwa cable labda hii update ya windows 10 kama itaiweka hio feature
 
Last edited by a moderator:
naomba unisadie mkuu. Nimechukua Nokia Lumia 820 juzi kati hapa inarun windows8 jana nimejarubu kuupdate software still sijaona changes zozote bado upo ileile win8. naomba msaada jinsi ya kuupdate kwenda 8.1

mkuu jaribu kurudi settings halafu clilck phone update pale utaona tu hujamaliza bado kuiupdate mie ilinpa shida hasa hapa siku naiupdate
 
Uliponiacha hoi kabisa ni uliposema huwezi ku-play video zako ulizo-download mpaka uwe na internet connection!!!! Windows phone gani hiyo unayotumia? Sometimes inawezekana ukawa hujajua kuitumia ukakimbilia kuiponda...

Mkuu hyu mleta mada kama ulivyosema wp ni ngumu kuitumia pengine na yeye kashindwa......mm nina wp nokia 530....mwezi wa nane sasa tangu nimeinunua....leo tarehe 6/1/2016....ndo nimegundua kuwa kwenye kutuma sms pale chini kuna kadude unakabofya unataja maneno unayotaka badala ya kuandika kanarecord wewe unakuja send....na ujumbe unaenda.....hii sm ni nzuri sema kuijua vizuri ndo kesi
 
Mkuu ungetuambia hayo unayosema unatumia reference ya simu gani maana me nimtumiaji wa windows phone lakini asilimia 60 ya uliyoyasema hayapo kwangu...kuhusu Ishu ya Apps nowdays Inaongezeka tena ni UNIVERSAL ambazo zinarun kwenye kifaa chochote chenye windows(Simu,Tablet,LAPLET,Laptops na PCs nyingine)..pia kuna hii latest version ya windows 10 for phones ni sheeda kk..kuna some most wanted features kama CORTANA na CONTINUUM..Am telling bro Windows 10 imeleta mabadiliko kwny vifaa nyote vya Microsoft(Hasa simu) na hizo weakness ndogondogo zinakuwa solved as time being..
 
Back
Top Bottom