Window Phones, faida zake na hasara zake

Window Phones, faida zake na hasara zake

Uliponiacha hoi kabisa ni uliposema huwezi ku-play video zako ulizo-download mpaka uwe na internet connection!!!! Windows phone gani hiyo unayotumia? Sometimes inawezekana ukawa hujajua kuitumia ukakimbilia kuiponda...

Jaribu nokia lumia uone disappointment yake. Ni kweli una download lkn hai play hadi uwe na network, yanii inaudhi balaa.
 
Jaribu nokia lumia uone disappointment yake. Ni kweli una download lkn hai play hadi uwe na network, yanii inaudhi balaa.

Sio nijaribu, natumia 820 toka ilipotoka! Naongea ninachokijua mkuu, hiyo kitu hakuna!!!
 
sielewi baadhi ya apps zinaji aoutoexit yaani ukifungua tu inaload.. then ina exit Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Kaka S.W.A.T

Wp hadi leo haina hacking yoyote ipo secure sijawahi pata malware wala kirusi.

Blackphone as long as inatumia android sio secure ina matundu mengi sana na simu ukishairoot au kuweza ku acess adb nothing is imposible

Kuna simu ngumu kuroot ila hakuna simu ya android ambayo ni imposible.

Na hata kama ikiwa secure nje bado kuna mamilioni ya threat toka ndani ya abdroid yanayosababishwa na apps

Mfano hizi ni request app ya facebook umeikubalia uki install
-umeikubalia kusoma sms za kawaida
-umeikubalia ijiwashie yenyewe wifi ikitaka
-umeikubalia itumie email yako kutuma mail kwa watu wengine bila ridhaa yako
-umeikubalia kuangalia vitu vya usb storage

Hapo tunaongelea fb ambao atleast wana aibu hawataiba sana hatujakuja app zetu zile za flashlight zinazokomba kila kitu

851560_10151821054897083_1552010159_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kaka angalia hio app haina neno beta? Apps kama opera bado ni beta hivyo haziko stable
haswaa tena ndio hiyo opera min beta inakera kweli.
min browser gani nzuri yenye navigation nzuri kama opera min ya play store?
 
haswaa tena ndio hiyo opera min beta inakera kweli.
min browser gani nzuri yenye navigation nzuri kama opera min ya play store?

Alternative ya opera mini ni ucbrowser.

Download halafu bonyeza menu then eka speed mode on itasave data kama opera.
 
Kaka S.W.A.T

Wp hadi leo haina hacking yoyote ipo secure sijawahi pata malware wala kirusi.

Blackphone as long as inatumia android sio secure ina matundu mengi sana na simu ukishairoot au kuweza ku acess adb nothing is imposible

Kuna simu ngumu kuroot ila hakuna simu ya android ambayo ni imposible.

Na hata kama ikiwa secure nje bado kuna mamilioni ya threat toka ndani ya abdroid yanayosababishwa na apps

Mfano hizi ni request app ya facebook umeikubalia uki install
-umeikubalia kusoma sms za kawaida
-umeikubalia ijiwashie yenyewe wifi ikitaka
-umeikubalia itumie email yako kutuma mail kwa watu wengine bila ridhaa yako
-umeikubalia kuangalia vitu vya usb storage

Hapo tunaongelea fb ambao atleast wana aibu hawataiba sana hatujakuja app zetu zile za flashlight zinazokomba kila kitu

851560_10151821054897083_1552010159_n.jpg

Kwanza ujue blackphone ina os yake inayoitwa privatOS na ndani unakuta kitu kinaitwa silent store ni os ambayo imetengenezwa kwa ulinzi wa hali ya juu zaidi,blackphone unakuwa na full control juu yake kwa kila data unayotaka iingie na kila data inayotoka hivyo hata kama ni hacking app ina taka upload sms zako lazima simu itakualert.ujue hii simu ina level ya security.pia kuhusu wi-fi bp inafawasha wifi yake kwa device na sehemu ulipozoea kutumia ikiwa out of range inajizima wifi yenyewe kwa ulinzi zaidi.hii simu unapokuwa nayo mkononi mwako hakuna hacker yeyote anayeweza kuhack data zako hata kidogo,thats why NSA (usalama wa taifa marekani)wanatumia blackphone ambayo ina os yake based on android,kuhusu hizo app unazosema zina leak data hapa kila data zinazotumwa zinakuwa zinachujwa,je wp ipo hivyo?au kukosa developers ndo tatizo la kuanza kusingizia security issues.
 
unayo? ilete hapa uje utupe challenge hapa jukwaani maana naona unabisha kitu usichokielewa. hata ufork android vipi android inabaki android core yake ndio inaruhusu data kuingia na kutoka

Update
http://www.accuvant.com/blog/thoughts-after-a-month-with-blackphone

Hio hapo makala ya security researcher alieroot blackphone (mara ya pili baada ya update) even blackphone wenyewe walimcredit kwenye update yao na jamaa ameziita mistake za rookie's. Isome uone how simple alivyofanya
 
Hujui kaa kimya labda useme bb vs bp na sio wp.kwa nini nsa hawatumii wp?
 
Hujui kaa kimya labda useme bb vs bp na sio wp.kwa nini nsa hawatumii wp?
Sasa nsa kazi yao kucollect data why wakae na simu kama wp ambayo huwezi kuibreak kirahisi?

Anyway pia nsa sio kigezo cha simu kuwa na security au haina ile ni kampuni moja tu kati ya mamilioni ya makampuni duniani.

Windows inafanya vizuri sana kwenye enterprise hasa nchi za ulaya na marekani wanaoeka security mbele.

With more than 25% market share, Windows Phone is a top choice for UK business | Microsoft News Centre UK

Sasa hv wp ina 25% ya enterprise marketshare nyuma ya ios.

Sehemu yoyote inayohitaji security android haifai. Android imetengenezwa kama play device uichezee tu kama games na launcher nk

Ukitaka serious work basi wp ni nzuri au ios kama una hela nyingi
 
Ukiwa una mazoea ya kutmia android utapata shida unapohamia window ,jinsi ya ku access vi tu mbali mbali.
Ni sawa ukizoea kuendesha manual ukahamia kwenye auto gear transmission,lazima utapata shida tu.

Mkuu experince ya kuendesha gari na ya kutumia simu wala haziendani, ni vitu viwili tofauti vyenye ladha tofauti. FYI Mtu aliyezoea kuendesha gari yenye manual transmission hatopata shida akihamia automatic ila mtu ambaye anajua kuendesha gari yenye automatic transmision na hajui kuendesha manual transmission atapata shida sana akihamia kwenye gari inayotumia manual transmission kwa sababu hatojua ku-balance clutch wala kubadili gia.
 
kuna uwezekano wa kucreate wi-fi hotspot kwa hii lumia 820? Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom