Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,600
- 22,339
Utafurahi zaidi iwapo utaweka windows 10.Me natumia lenivo g500,nmeweka windows 8pro,everything z smooth..cjawahi kupata tatz lolote..nawe weka
Win 10 ni bora zaidi kuliko win 8./ win8.1
Utafurahi zaidi iwapo utaweka windows 10.Me natumia lenivo g500,nmeweka windows 8pro,everything z smooth..cjawahi kupata tatz lolote..nawe weka
graphics ni nn mkuu?
Na specs unamaanisha specifation? kama ndo hivyo ni, hard disk500GB RAM 2GB, PROCESSOR 2.16 GHZ
Ndugu Shijer11
Je umewahi kutumia Lenovo Laptop?
Je ni matatizo yapi ulikumbana nayo?
Zinakera kivipi? ndugu , Tuelimishane kidogo kuhusu hili
KIMSINGI muda huu natumia Lenovo.
Laptop zingine nilizonazo ni HP na DELL. Ila zaidi natumia hii lenovo mwaka wa pili sasa. Na sijawahi pata tatizo lolote.![]()
Kwanini nilichagua Lenovo?
- Ubora wa display - LED lcd
- Hainichoshi macho - Sababu huwa natumiamuda mwingi sana kwenye laptop. Hivyo nilizingatia Laptop ambayo haotoshosha macho kwa kadri ya matumizi yangu.
Kwa kuongezea2 tatzo ktk model fulani haimaanishi ni tatzo la brand nzima, kwa mfano tatzo la kuungua mara kw mara graphics card kwenye hp 6030 notebooks haimaanishi ndo hp zote ztakua ivo,
Tunamshukuru lenovo baada ya kujigawa na IBM anatengeneza pc tena kwa bei nafuu kuliko wengne
1. ni mistake kubwa kutoka 64bit kwenda 32bit hapo ume downgradeyeah!
kwanza ilikuwa vizuri na ilitoka shop kabisa sio second hand, nilichkua ikiwa na 7 prof 64bit (ilifanyiw configs HQ ya nnapofanyia kazi) nlitumia foe 3 days nikaamua kuweka 32bits, ikaanza mashetani,,,, ilianza kupoteza uwezo wa kuwasha wifi, inshort ilikuw inamisbhv kwny key zako, ikaja ikaanza kukataa kusoma external devices, ikapoteza mwanga... ikikaa muda hujtumia japo ipo on inaleta blue screen... ni g50.
tell me what might be the problem na had now nimeirudsh na majibu ni kwmb haijapona.
nlipata usb drives nikarun in vain
Tatizo si laptop.ilianza kupoteza uwezo wa kuwasha wifi, inshort ilikuw inamisbhv kwny key zako, ikaja ikaanza kukataa kusoma external devices, ikapoteza mwanga... ikikaa muda hujtumia japo ipo on inaleta blue screen... ni g50.
Kama hiyo computer ni mpya basi imekuja na Cd ya drivers and utility. Lenovo mpya ndio zinavyokuja
itakuwa ni cd ya driver chini ya laptop yako hakuna logo ya windows?Mkuu ni kwel kabisa ina cd yake lakn tatizo hiyo cd haisomi cjui nifanyeje maana nilifkir ni window 8 nikajaribu kuinstal wakati pc imecolapsi window iliyokuwepo lakini iligoma kabisa kusoma
sijui nifanyeje mkuu ili hyo cd inisaidie eb nielekeze kidogo
1. ni mistake kubwa kutoka 64bit kwenda 32bit hapo ume downgrade
2. mambo mengi uliyoyataja hapo yanahusiana na kutoeaka driver pamoja na kutotumia key halali zinazokuja na laptop
angalia chini ya laptop kuna key au logo ya windows? kama kimoja wapo kipo fanya clean installation ya windows iliokuja na laptop halafu update drivers zote laptop yako itarudi kama mpya
Bila shaka tatizo lililopo kwa hiyo PC yako ni kwamba haina graphic drivers. Drivers mbalimbali huweza kupotea mara ufanyapo installation ya window mpya ktk PC yako, hivyo unahitaji kuikagua PC yako mara tu umalizapo kuifanyia 'Windows installation' ili kuona kama kuna drivers zilizo-miss and uzifanyie 'recovery'.
itakuwa ni cd ya driver chini ya laptop yako hakuna logo ya windows?
Window 8.1 iko vizuri sana hutokaa usahauHabari ndugu wapendwa!
Naomba tena ushauri kuwa window nzuri kuinstal especialy kwa pc aina ya lenovo, ipi inafaa zaidi!?
Lakini pia nilikuwa nimeinstal window 7 ultimate shida yake ni kwamba haipunguzi mwanga. Nimejaribu kuangalia setting kama brightnes lakini hakuna option ya kupunguza mwanga. Batani zenye alama ya mwanga nazo hazirespond. Mwenye uzoefu wa haya mambo anisaidie tafadhali.
Mwisho ni maandishi yake kwa screen, ni makubwa mno nimeyapuunguza yamepungua kidogo lakini bado hayako normal.
Msaada tafadhali
chini ya laptopHiyo logo inakuwa chini wapi mkuu, eb nidirect ili niitafute
mkuu ili kama chama nilinunua lenovo bro akanunua toshiba yake imekufa betri yangu kama kawiedu yan 3 hours to 4 hours mwaka wa tatu now siwaziii...,lenovo ni jembeNdugu Shijer11
Je umewahi kutumia Lenovo Laptop?
Je ni matatizo yapi ulikumbana nayo?
Zinakera kivipi? ndugu , Tuelimishane kidogo kuhusu hili
KIMSINGI muda huu natumia Lenovo.
Laptop zingine nilizonazo ni HP na DELL. Ila zaidi natumia hii lenovo mwaka wa pili sasa. Na sijawahi pata tatizo lolote.![]()
Kwanini nilichagua Lenovo?
- Ubora wa display - LED lcd
- Hainichoshi macho - Sababu huwa natumiamuda mwingi sana kwenye laptop. Hivyo nilizingatia Laptop ambayo haotoshosha macho kwa kadri ya matumizi yangu.
Ukinunua lenovo utapata na cd driver yake ambayo zipo driver za window seven na 8 pia so easy wazi install hauna cd go to lenovo website zipo wala azijafichwa ....am using lenovo g500