Window nzuri kwa laptop aina ya lenovo

Window nzuri kwa laptop aina ya lenovo

Mkuu ni kwel kabisa ina cd yake lakn tatizo hiyo cd haisomi cjui nifanyeje maana nilifkir ni window 8 nikajaribu kuinstal wakati pc imecolapsi window iliyokuwepo lakini iligoma kabisa kusoma

sijui nifanyeje mkuu ili hyo cd inisaidie eb nielekeze kidogo

Mkuu yaani moja ya sifa nzuri za computer za lenovo, ni kwamba zinakuja na cd ya drivers and utilities.
Na kama hiyo laptop imenuuliwa mpya miezi michache iliyopita basi hiyo cd ni mahsusi kwa Windows 8 na 10. 64 bit tu!

Kama cd imegoma kusoma, ijaribishe kwenye computer nyingine na uikopi kwenye flash au external ili iweze kuiRun kwenye lenovo yako.

Usitumie drivers zingine kwa sasa kwani hizo za kwenye cd ndio specifically kwaajili ya hiyo laptop.

Nakushauri weka windows 8.1 64bit.

BOOT OPTION za lenovo kidogo zina trick ya kuchomeka pin kama ipo kwenye UEFI mode lakini kama ukimpata mtu mwenye uelewa kiasi hatoshindwa.

Hiyo CD ya drivers itafanya yafuatayo'
- kurudisha Sound pamoja na kuwezesha HotKey za kuongeza na kupunguza.
-kuweka video driver na kuwezesha resoution ya juu na kuwezesha kuongeza na kupunguza mwanga.
-kuwezesha USB 2.0 na 3.0
-kuwezesha Drivers za card reader
-kuwezesha wifi na bluetooth na hotkey zake.

Na zingine nyingi.
 
Shukrani nyingi sana mkuu kwako
 
mkuu hiyo cd imeandikwa hivi kwa juu

lenovo
G40-30/G50-30
Win8.1 Drivers(64bit)

then kuna kitu kama barcode nyenye number P/N: SR30H35452
 
Msaada tafadhari kwa mwenye uelewa juu ya hayo maneno juu
 
mkuu hiyo cd imeandikwa hivi kwa juu

lenovo
G40-30/G50-30
Win8.1 Drivers(64bit)

then kuna kitu kama barcode nyenye number P/N: SR30H35452

lenovo
G40-30/G50-30

Hiyo ni list ya model ya computer zinazoweza kutumia hiyo cd/dvd.

P/N: SR30H35452
Hii ni product number au code ya hiyo cd/dvd
 
mkuu ntafata procedure gani sasa ili niweze kuinstal hiyo cd
 
Umefanikiwa kuisoma kwenye computer nyingine au computer hiyo hiyo?

kwa pc nyingine bado, ila nimejaribu kuiweka kwenye hii pc yangu kwa hii window ambayo inanisumbua imesoma ila inaleta kama folder flan hivi ambazo ukiopen hazina option ya kuzi-run

nimeshindwa nifanyeje ili nizirun. Na nikiboot kama vile unavyointall window pc inajiwasha wala hailekei kwenye installation
 
1. huwezi kuinstall driver za windows 8 kwenye windows 7

2. si kila driver unainstall kwa setup kama ina folder lisilo na setup fanya hivi

-click start halafu search device manager
-nenda hardware husika unayotaka ku update driver mfano video card (graphics)
-right click chagua update
-utaletewa option mbili automatic na manual update chagua manual
-locate folder ambazo driver zipo then computer itaziscan na kuziweka mahala husika
 
shkrani nyingi mkuu
 
Habari ndugu wapendwa!

Naomba tena ushauri kuwa window nzuri kuinstal especialy kwa pc aina ya lenovo, ipi inafaa zaidi!?

Lakini pia nilikuwa nimeinstal window 7 ultimate shida yake ni kwamba haipunguzi mwanga. Nimejaribu kuangalia setting kama brightnes lakini hakuna option ya kupunguza mwanga. Batani zenye alama ya mwanga nazo hazirespond. Mwenye uzoefu wa haya mambo anisaidie tafadhali.

Mwisho ni maandishi yake kwa screen, ni makubwa mno nimeyapuunguza yamepungua kidogo lakini bado hayako normal.

Msaada tafadhali
tumia door
 
kwa pc nyingine bado, ila nimejaribu kuiweka kwenye hii pc yangu kwa hii window ambayo inanisumbua imesoma ila inaleta kama folder flan hivi ambazo ukiopen hazina option ya kuzi-run

nimeshindwa nifanyeje ili nizirun. Na nikiboot kama vile unavyointall window pc inajiwasha wala hailekei kwenye installation

Kwanza ni vyema ungeweka windows8 64 bit
 
1. huwezi kuinstall driver za windows 8 kwenye windows 7

2. si kila driver unainstall kwa setup kama ina folder lisilo na setup fanya hivi

-click start halafu search device manager
-nenda hardware husika unayotaka ku update driver mfano video card (graphics)
-right click chagua update
-utaletewa option mbili automatic na manual update chagua manual
-locate folder ambazo driver zipo then computer itaziscan na kuziweka mahala husika

shkrani nyingi mkuu, kwa hiyo mchakato wote huo mpaka niinstall window 8??

na vipi kuhusu hichi ki
lenovo
G40-30/G50-30
Hiyo ni list ya model ya computer zinazoweza kutumia hiyo cd/dvd.
P/N: SR30H35452
Hii ni product number au code ya hiyo cd/dvd
ymollel said: ↑
mkuu ntafata procedure gani sasa ili niweze kuinstal hiyo cd
Goodhearted said: ↑
Umefanikiwa kuisoma kwenye computer nyingine au computer hiyo hiyo?
ymollel said: ↑
kwa pc nyingine bado, ila nimejaribu kuiweka kwenye hii pc yangu kwa hii window ambayo inanisumbua imesoma ila inaleta kama folder flan hivi ambazo ukiopen hazina option ya kuzi-run
nimeshindwa nifanyeje ili nizirun. Na nikiboot kama vile unavyointall window pc inajiwasha wala hailekei kwenye installation
Goodhearted said: ↑
1. huwezi kuinstall driver za windows 8 kwenye windows 7
2. si kila driver unainstall kwa setup kama ina folder lisilo na setup fanya hivi
-click start halafu search device manager
-nenda hardware husika unayotaka ku update driver mfano video card (graphics)
-right click chagua update
-utaletewa option mbili automatic na manual update chagua manual
-locate folder ambazo driver zipo then computer itaziscan na kuziweka mahala husika
Similar Threads Forum Date
Naombeni ushauri wadau ni window ipi nzuri kati ya hizi??
Tech, Gadgets & Science Forum
Feb 29, 2016
Kati ya Androids, Window Phone zipi ni simu Nzuri kwa mtumiaji
Tech, Gadgets & Science Forum
Dec 11, 2015
Window nzuri kwa hii laptop ni ipi?
Tech, Gadgets & Science Forum
Nov 2, 2011
Tags: Add Tags
Forums ...
Tech, Gadgets...
Thread Tools
3
#1 Sunday at 2:40 PM
Goodhearted
JF-Expert Member
#41 Yesterday at 8:14 PM
ymollel
JF-Expert Member
Mkuu ni kwel kabisa ina cd yake lakn tatizo hiyo cd haisomi cjui nifanyeje maana nilifkir ni window 8 nikajaribu kuinstal wakati pc imecolapsi window iliyokuwepo lakini iligoma kabisa kusoma
Click to expand...
#42 Yesterday at 8:47 PM
Goodhearted
JF-Expert Member
Mkuu yaani moja ya sifa nzuri za computer za lenovo, ni kwamba zinakuja na cd ya drivers and utilities.
Na kama hiyo laptop imenuuliwa mpya miezi michache iliyopita basi hiyo cd ni mahsusi kwa Windows 8 Click to expand...
#43 Yesterday at 9:30 PM
Goodhearted
JF-Expert Member
#44 Yesterday at 9:35 PM
Goodhearted
JF-Expert Member

mkuu hiyo cd imeandikwa hivi kwa juu
lenovo
G40-30/G50-30
Win8.1 Drivers(64bit)
Click to expand...
#45 Yesterday at 9:57 PM
ymollel
JF-Expert Member
mkuu hiyo cd imeandikwa hivi kwa juu
lenovo
G40-30/G50-30
Win8.1 Drivers(64bit)
Click to expand...
 
Back
Top Bottom