window 8 vs window 8.1

window 8 vs window 8.1

Asu tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
336
Reaction score
86
asalaam alyekum wakuu.
tumsifu yesu kristo!!!!

samahan wakuu naomba kufahamishwa kati ya window 8 na window 8.1 ipi ni nzr kuliko mwenzake na kwa sababu ipi n bora kuliko mwenzake?


naileta kwenu wakuu nahitaj msaada!!!!!
 
windows 8 na 8.1 zpo sawa ila sema 8.1 n update ya 8... in that case 8.1 ina maboresho madogo madogo kwenye srctor kama UI na Vngnevyo....



in that case 8.1 z gud
 
Katika windows 8.1 kumewekwa security patches, pia start button imerudishwa na vingine kadhaa
 
ok!!ndo mana jamaa aliniambia nicweke antvirus ktk 8.1
 
asutz 8.1 ni update ya 8, so vitu vimeongezwa na some correction zimefanywa mfano startbutton.

kwanini uweke antivirus kwenye windows 8 au 8.1 wakati inakuja na windows defender, yatosha.
 
Last edited by a moderator:
nimewaelewa wakuu nashkuru kwa msaada wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom