Window 8.1 msaada

Window 8.1 msaada

Mkuu iko hivi Mara baada ya kuinstall window mpya ikaja notification kwamba store kuna app zinahitaji action ukienda hapo zinakua zinaload sana halaf zinakua kama zinajidownload then suddenly kunakua na msg kwamba enter password na akaunt ni ya hotmail sass kuverify hii akaunt ya email niliweka alternative email yangu ya Gmail ila nilipooingia sikuona email inayohusiana na hilo nilililosema

wakati unafungua hio acount ya email uliambiwa ueke alternative yake, unaikumbuka? na wakikwambia uverify wanakupa hints mfano email yako ni madames@gmail.com watakupa hint mad*****@gmail.com je hio hint inafanana na email ulioeka?

kwenye email ya kuverify angalia inbox pia angalia spam folder pengine ipo huko
 
Kama uliweka gmail basi nenda JUNK MAILS utaikuta...verify then go back to settings. Hilo tatizo litaisha. Hapa shida ni kuwa hiyo live.com is not active, hadi iwe verified..
 
Last edited by a moderator:

Ngoja niangalie mkuu
 
Owh nakushukuru ngoja niangalie
Kama uliweka gmail basi nenda JUNK MAILS utaikuta...verify then go back to settings. Hilo tatizo litaisha. Hapa shida ni kuwa hiyo live.com is not active, hadi iwe verified..
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Eli79 na Chief-Mkwawa nawashukuru jamani sikuverify email tayar nimeshaverify nawashukuru sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom