Msaada kuhusu Windows 10 apps to crush

mimi43

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
411
422
wakui kwema,

naomben msaada, baada ya kuupdate wins10 yangu version 2004 apps za windows zote hazifunguki kama photos, microsoft store.

naomba kujua tatizo ni nini au solution maana nimegoogle ila sijapata uvumbuzi.

Asanteni
 
Nilikuwa na hilo tatizo juzi kati nadhani kuna update ya windows ni jipu. Kama unaweza tumia Restore point urudishe tarehe kabla ya siku umeanza kupata tatizo. Mimi ndio ilinisaidia
 
Nilikuwa na hilo tatizo juzi kati nadhani kuna update ya windows ni jipu. Kama unaweza tumia Restore point urudishe tarehe kabla ya siku umeanza kupata tatizo. Mimi ndio ilinisaidia
sawa mkuu
 
Back
Top Bottom