babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,965
- 20,295
lazima kuna wahuni wachina wanafanya upuuzi huo,mabibo wine ambao ndio maagent miaka mingi hawawezi kufanya mambo hayo.Miaka ya nyuma huo upuuzi haukuwepo ilikuwa hata unywe kreti unaamka asubuhi unaendelea na mishe zako!



