Windhock na Heineken zinachakachukuliwa?

Windhock na Heineken zinachakachukuliwa?

Ndo bia yangu hiyo ila nilikuwa nakwepa hangover kumbe nimekwepa maji nimekanyaga tope
Bia nzuri sana, kinachonikera nikikaa na safari langu kubwa eti kuna watu wananishangaa mwanamke nakunywaje safari si ningekunywa savanna!!! mi nikiiangalia naona imeandikwa haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18, haijaandikwa haiuzwi kwa wanawake.....

Nasmile, nabeba chupa langu naendea kumimina povu mdomoni.....wanikome 😏😏 ninywe savannah nimewaambia nna upungufu wa nyegge???
 
Bia nzuri sana, kinachonikera nikikaa na safari langu kubwa eti kuna watu wananishangaa mwanamke nakunywaje safari si ningekunywa savanna!!! mi nikiiangalia naona imeandikwa haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18, haijaandikwa haiuzwi kwa wanawake.....

Nasmile, nabeba chupa langu naendea kumimina povu mdomoni.....wanikome [emoji57][emoji57] ninywe savannah nimewaambia nna upungufu wa nyegge???
ninywe savannah nimewaambia nna upungufu wa nyegge???

Baeleze baeleze hao!

Wanakushangaaje Sasa

Hawajawaona wale pisi kali wanaokandamiza double Kiki...!
 
Back
Top Bottom