Wimbo wa "sina demu" umeimbwa na nani?

Mi sina demu kama unavyoniona mpenzi,
Ndio maana nimekuchagua wewe ukidhi yangu mahitaji,
Sio kwamba mi sitaki demu,
Ila sijamuona mwenye sifaaaa.....

Eh bhana hio ndio chorus sikumbuki ni nani aliimba ila hit ilikuwa kali mno!
 
hivi hii nyimbo aliimbaga nani
verse ya kwanza:
Mara ya kwanza kukuona ilikuwa coco beach
washkaji kulizia wakasema we m bichi
wakanipa story zako kwamba uko form six
shule moja maarufu hapa jijini Dares salaam"
WADAU KWA ANAYEJUA WIMBO HUO KAIMBA NANI ANISAIDIE DAAAA NI KITAMBO LIKE BACK IN 2003 FLAN HV
Wimbo umeimbwa na B BOY featuring STOPPER.

Its very nice song...
 
hivi hii nyimbo aliimbaga nani
verse ya kwanza:
Mara ya kwanza kukuona ilikuwa coco beach
washkaji kulizia wakasema we m bichi
wakanipa story zako kwamba uko form six
shule moja maarufu hapa jijini Dares salaam"
WADAU KWA ANAYEJUA WIMBO HUO KAIMBA NANI ANISAIDIE DAAAA NI KITAMBO LIKE BACK IN 2003 FLAN HV
Mwimbaji anitwa Bee Boy. Ni mwaka 2003/4 kama sijakosea
 
b boy na aliimba peke yake nyimbo ilitoka 2003 mkono wa majani jamaa alianza kuimba baada ya kurap kumkataa
 
hivi hii nyimbo aliimbaga nani
verse ya kwanza:
Mara ya kwanza kukuona ilikuwa coco beach
washkaji kulizia wakasema we m bichi
wakanipa story zako kwamba uko form six
shule moja maarufu hapa jijini Dares salaam"
WADAU KWA ANAYEJUA WIMBO HUO KAIMBA NANI ANISAIDIE DAAAA NI KITAMBO LIKE BACK IN 2003 FLAN HV

Kuna thread humu inaongelea masongi yaliyo hit kitambo. Huo wimbo wadau waliu-upload huko. Hebu tafuta hiyo thread utakutana na mawe mengi sana yaliyotikisa kitambo.

Mshikaji anaitwa B-BOY
 
nakumbuka kitambo fulani hivi,majeans mapana phat pharm jeans au polo,tishrt kubwa,ribbon mkononi na kichwani!!!safi
 
Msanii alieimba alikua anajiita B-Boy nadhani ameshaacha mziki maana hakusikika tena baada ya ile nyoma...
 
Daaa umenikumbusha mbali sana hili dude daaa!!
Hawa watoto wa juzi hawalijui hili
 
miaka yote najua alioshirikishwa ni fid q-sasa ya stopper ii ni mpya kwangu
 
kuna kipindi walisema mshikaji alivuta ingawa sina uhakika na hilo
 
Back
Top Bottom