Wimbo wa "sina demu" umeimbwa na nani?

Wimbo wa "sina demu" umeimbwa na nani?

hivi hii nyimbo aliimbaga nani
verse ya kwanza:
Mara ya kwanza kukuona ilikuwa coco beach
washkaji kulizia wakasema we m bichi
wakanipa story zako kwamba uko form six
shule moja maarufu hapa jijini Dares salaam"
WADAU KWA ANAYEJUA WIMBO HUO KAIMBA NANI ANISAIDIE DAAAA NI KITAMBO LIKE BACK IN 2003 FLAN HV
aliimbaga B Boy nadhani alimshirikisha stoper rhymes(sina uhakika na featuring),Em katafute mwenye ma Internet humo unaweza iotea
 
Mi sina dem kama unavyoniona mpenzi, ndio maana nikakuchagua wewe ukidhi yangu mahitaji, sio kwamba mimi sitaki dem ila sijamuona mwenye sifaa....
Kitambo sana
 
Sina Demu? Hizi dizaini ya nyimbo za midomo zege.
 
hivi hii nyimbo aliimbaga nani
verse ya kwanza:
Mara ya kwanza kukuona ilikuwa coco beach
washkaji kulizia wakasema we m bichi
wakanipa story zako kwamba uko form six
shule moja maarufu hapa jijini Dares salaam"
WADAU KWA ANAYEJUA WIMBO HUO KAIMBA NANI ANISAIDIE DAAAA NI KITAMBO LIKE BACK IN 2003 FLAN HV
B Boy_stoper.sina demi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom