nchelegwanzingi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 468
- 277
Licha ya kuwa ni wimbo mzuri wenye mpangilio wasauti na waimbaji,pia una ujumbe muhimu sana kwenye jamii yetu,
Hivi tumekwisha kaa tukawaza kuwa kutoa mimba pia ni kosa na ni dhambi kubwa sana,
Kwanini tuwauwe watoto wetu wakiwa tumboni? Hatujui watakuja kuwa kina nani hapa duniani, wengi wetu tunadhani mtoto akiwa tumboni hahisi maumivu yoyote, laaa anahisi maumivu sana tu lakini uwezo wa kusema ndio hana,
Dada zangu, kaka zangu, ndugu zangu kwa pamoja tupinge kabisa suala hili la kutoa mimba,