nchelegwanzingi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 468
- 277
- Thread starter
- #21
Naupenda sana huu wimbo I wish ifike stage wanaume wasikatae mimba zao na wadada pia wakubali matokeo pindi wapatapo mimba na si kukimbilia kutoa
Ni kweli kabisa, lau kama sauti za watoto wanaokufa kwa kutoa mimba zingesikika labda watu wangefahamu maana yake Honey Faith
Last edited by a moderator: