Wimbo wa kuukaribisha mwaka 2011

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Nyimbo huwa zinaimbwa lakini kuna nyimbo sijui lini tutatangaza tumezichoka? kila mwaka zaonekana mpya hazichuji, safi sana hii. Nawatakia heri ya mwaka mpya 2011.

Sikiliza wimbo huu as my dedication to you all

http://www.youtube.com/v/dcLMH8pwusw?version=3''

Halafu kama kuna wimbo unaohusu mwaka mpya ulete humu pia ili tumshukuru Mungu na tusherehekee pamoja, wote mbarikiwe sana. 2011 Mungu atuwezeshe.
 
Mie naukumbuka wimbo huu The Calendar Song - January February

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom