Wimbo wa Kala Jeremiah na Roma

Wimbo wa Kala Jeremiah na Roma

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,727
Nimekaa sehemu na maji yangu na nyagi pembeni nikaskia nyimbo kali sana. Mhudumu hajui title ila kaniambia ni kala jeremiah na roma.
Hawa vijana hatari.
Naomba mwenye clip na lyrics aweke. Chorus inasema wana nchi mnamsikia mheshimwa aa?

Nikiwaona hawa vijana nitawapa hela kama shukrani
 
Kupika kwa mkaa ni jadi ya mtanzania
 
Maranyingi awa wa2 wa hiphop wanaongea mambo magumu sana na huwa na uelewa mkubwa sana c sawa na wabana pua kabisa...
 
Back
Top Bottom