Huu wimbo unazidi pia kupata namba kubwa ya viewers kutokana na watu wengi kutaka kujua kwamba huo wimbo ulioangaliwa mara 5B ukoje? Hata mimi nilisikia ikabidi niuangalie youtube kwamba ukojeDespacito ni wimbo wa msani raia wa Puerto Rico wa kuitwa Luis Fonsi akishirikiana na rapa wa nchi hiyo pia,wimbo huu una mahadhi ya kispain.
Kwa mujibu wa mtandao wa iTunes,Amazon music,Spotify,Youtube n.k wimbo huu umetazamwa mara bilioni 5.7+.
Turejee hapa.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi duniani inakadiliwa kuna wanadamu wanaoishi wapatao bilion 7+ ikiwemo watoto n.k.
Pia kwa mujibu wa taarifa mbali mbali inakadiliwa kua kati ya mwaka 2015_2020 dunia nzima itakua na watumia simu wapatao 5.4bilioni.
Pia kwa mujibu wa taarifa za mwaka 2018 dunia nzima inakadiliwa kua watu wapatao 134.1milioni wanaotumia laptops,tablets n.k.
Wakati huo takwimu zinaonesha watu 4,208,571,287 ndio wanatumia internet duniani.huku bara la ASIA wakiongoza kutumia internet kwa 44.8%,ulaya 16.8%,Africa 15.6%,latin america 10.4%,mashariki ya mbali 3.9% na zilizobaki mabara mengine.
Kwenye hili kundi la watumia internet 4.2bilioni kuna ambao hawana taarifa na wimbo huu,pia kuna wale hawana hobbie na mziki.
Pia katika jumla yote ya wanadamu hawa wapatao bilioni 8 wanaoishi katika sayari hii mpaka sasa robo yote ni watoto,huku lipo kundi la wasio jua kusoma na kuandika,pia kwenye kundi la watu wanaotumia simu wapatao 5bilioni kuna wengi wasio na smartphone.
Swali langu huu wimbo hawa views 5.7bilioni ulipataje?
Kwa watalaamu wa mambo haya naomba mnisaidie nami.
Nawasilisha.
Taki takiPacito a pacito suave suavecito el vamos pegando poquito poquito.
Es sa tu mi bezas es un rompecabezas.............
Malizia
Si te pido un beso, ven, dámeloTaki taki
Taki taki rumpaaaa
Si kweli youtube inafunguka bila email,Mm huo wimbo naushangaa sioni cha maana juu yake.
BTW mm binafsi nakokotoa hio billion7
Youtube haiwezi kufunguka bila Email,Hivyo hivyo nahisi kila viewer mmoja ana connection ya moja kwa moja na email yake.
Sasa basi mm tangu mwaka 2015 nna email zaidi ya 10 na zote nmeingia nazo utube, hivi nikiangalia huo wimbo sintauongezea viewers10 mm mtu mmoja.
Hapo hapo kuna wale mtu mmoja ana simu zaidi ya moja
Ni mawazo yangu tu lakini binafsi
Wako katika ukokotoaji wa bil5
Vi rendra
Viewer inahesabu mkuu?Si kweli youtube inafunguka bila email,
youtube inafunguka hata usipo log in lakini hautaweza ku like,ku comment,ku subscribe,etc.)
utaangalia video tu...
Ndio inahesabu bila kujali una youtube account au haunaViewer inahesabu mkuu?
Ndiyo mkuu,kitendo cha wewe kufungua kutizama unakuwa already countedViewer inahesabu mkuu?
Mwenye huo wimbo auweke hapa Tafadhali
Frequency ilipatikana kwa viewer mmoja kuangalia zaidi ya mara mojaDespacito ni wimbo wa msani raia wa Puerto Rico wa kuitwa Luis Fonsi akishirikiana na rapa wa nchi hiyo pia,wimbo huu una mahadhi ya kispain.
Kwa mujibu wa mtandao wa iTunes,Amazon music,Spotify,Youtube n.k wimbo huu umetazamwa mara bilioni 5.7+.
Turejee hapa.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi duniani inakadiliwa kuna wanadamu wanaoishi wapatao bilion 7+ ikiwemo watoto n.k.
Pia kwa mujibu wa taarifa mbali mbali inakadiliwa kua kati ya mwaka 2015_2020 dunia nzima itakua na watumia simu wapatao 5.4bilioni.
Pia kwa mujibu wa taarifa za mwaka 2018 dunia nzima inakadiliwa kua watu wapatao 134.1milioni wanaotumia laptops,tablets n.k.
Wakati huo takwimu zinaonesha watu 4,208,571,287 ndio wanatumia internet duniani.huku bara la ASIA wakiongoza kutumia internet kwa 44.8%,ulaya 16.8%,Africa 15.6%,latin america 10.4%,mashariki ya mbali 3.9% na zilizobaki mabara mengine.
Kwenye hili kundi la watumia internet 4.2bilioni kuna ambao hawana taarifa na wimbo huu,pia kuna wale hawana hobbie na mziki.
Pia katika jumla yote ya wanadamu hawa wapatao bilioni 8 wanaoishi katika sayari hii mpaka sasa robo yote ni watoto,huku lipo kundi la wasio jua kusoma na kuandika,pia kwenye kundi la watu wanaotumia simu wapatao 5bilioni kuna wengi wasio na smartphone.
Swali langu huu wimbo hawa views 5.7bilioni ulipataje?
Kwa watalaamu wa mambo haya naomba mnisaidie nami.
Nawasilisha.
Ooh nmeelewayoutube inahesabu views kila unapoiangalia hiyo video
tu assume umeiangalia hiyo video zaidi ya mara 100,then views 100 kwenye ili video itakuwa ni wewe.
Ndio inahesabu bila kujali una youtube account au hauna