Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,812
Ngoja nikacheki kichinjio changu kuhakikisha Magu anarudi kumalizia muda wake
Vikongwe povu linawatokaPumbafuzi zako....
Unywaana..
wewe hauko Tanzania unajua nini? Tanzania imejaa neema nchi ya maziwa na asaliLess than 2 years huyu dhalimu kaivuruga nchi kupita maelezo. Hofu na taharuki zimetanda nchi nzima kutokana na kauli zake zilizojaa chuki za kutisha na sasa mauaji ya Watanzania wasio na hatia yoyote ile! Sijui hiyo miaka mitatu ijayo nchi yetu itakuwaje!