Wimbo Tulioupenda ila Umepoteza Maana

Wimbo Tulioupenda ila Umepoteza Maana

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,010
Reaction score
74,654

Hakika kila mpenda nchi Wa zama zetu aliupenda wimbo huu Wa Atomic Jazz, lakini kwa sasa, hasa baada ya awamu hii ya tano kuingia madarakani umepoteza maana umepoteza maana. Kwa nini lakini?
Hivi tufanyeje kurudisha mioyo ile tuliyokuwa nayo kuhusu hali hiyo?
 
Less than 2 years huyu dhalimu kaivuruga nchi kupita maelezo. Hofu na taharuki zimetanda nchi nzima kutokana na kauli zake zilizojaa chuki za kutisha na sasa mauaji ya Watanzania wasio na hatia yoyote ile! Sijui hiyo miaka mitatu ijayo nchi yetu itakuwaje!

Ona vijana wetu mkuu sasa walivyo choka na haya yanayo endelea.
 
Dah wazee wa zamani mlikuwa na shida sana..
Ndio ngoma gani hizo mlikuwa mnasikiliza?
Yan ngoma haivutii hata kidogo
 
Simple tu!!
2020 msiwape

Kama tume ya uchaguzi ni hii na utaratibu ni uleule, basi hata tusipowapa, watajipa tu! Yaani ule wimbo wa Komba unaosema "CCM mbele kwa mbele" unaweza pia ukaongezewa kikolombwezo kwamba "msipotupa, tutajipaaa!!, CCM mbele kwa mbeleee." Ili kuepusha haya, tuanzeni kudai sasa hivi katiba mpya na tume mpya na huru ya uchaguzi kwa sauti moja kubwa. Vinginevyo, 2020 ni msiba mkubwa zaidi, mtakuja kushangaa mnaambiwa jamaa kashinda kwa 92% kama rafiki yake wa Rwanda.

Tusikubali huu ujinga wa eti "sio kipaumbele changu", huku akijua dhahiri kwamba kwenye katiba mbovu na tume mbovu ya uchaguzi ndio siri ya "kupendwa" kwa CCM ilipo. Alituomba kazi, tena kwa push-ups, na wenzake wakampa kazi hiyo. Sasa vipaumbele vinatakiwa vipangwe nasisi kupitia maoni jamii (public opinion) na sio na yeye kwa kutumia ubabe na vitisho.
 
Kama tume ya uchaguzi ni hii na utaratibu ni uleule, basi hata tusipowapa, watajipa tu! Yaani ule wimbo wa Komba unaosema "CCM mbele kwa mbele" unaweza pia ukaongezewa kikolombwezo kwamba "msipotupa, tutajipa!!, CCM mbele kwa mbele." Ili kuepusha haya, tuanzeni kudai sasa hivi katiba mpya na tume mpya na huru ya uchaguzi. Vinginevyo, 2020 ni msiba mkubwa zaidi, mtakuja kushangaa mnaambiwa jamaa kashinda kwa 92% kama rafiki yake wa Rwanda.
Shidaa wengi wamelala
Wachache wanao tetea upewa majina ya ovyo+kutishwa kifo
Ref;TL
 
Dah wazee wa zamani mlikuwa na shida sana..
Ndio ngoma gani hizo mlikuwa mnasikiliza?
Yan ngoma haivutii hata kidogo
Kijana, unaweza kumtazama mama yako sasa hivi ukamlinganisha na Shilole na kumlaumu baba yako kwa nini hana mke kama Shilole Kumbe mama wa kwako alikuwa bomba kuliko huyo Shilole wa sasa.
Umeelewa kijana?
 
Daah nimekumbuka mzee wangu jinsi anavyo wakubali hao jamaa. TBC walikua wanaupiga sana. Sijui sa ivi kama bado wanapiga
 
Less than 2 years huyu dhalimu kaivuruga nchi kupita maelezo. Hofu na taharuki zimetanda nchi nzima kutokana na kauli zake zilizojaa chuki za kutisha na sasa mauaji ya Watanzania wasio na hatia yoyote ile! Sijui hiyo miaka mitatu ijayo nchi yetu itakuwaje!

Hii Kitu ni Dollar 7000 tu. Its almost supersonic and it is flown by a remote control! Its range is bout 5 miles!

Yap thats my hobby 12417
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wahenga walikuwa wanaimba bana sio haya makolokocho ya siku hizi
 
labda bashite na genge lake la kina le mutuz ndo wanaiimba hiyo siku hizi
 
Kama tume ya uchaguzi ni hii na utaratibu ni uleule, basi hata tusipowapa, watajipa tu! Yaani ule wimbo wa Komba unaosema "CCM mbele kwa mbele" unaweza pia ukaongezewa kikolombwezo kwamba "msipotupa, tutajipa!!, CCM mbele kwa mbele." Ili kuepusha haya, tuanzeni kudai sasa hivi katiba mpya na tume mpya na huru ya uchaguzi. Vinginevyo, 2020 ni msiba mkubwa zaidi, mtakuja kushangaa mnaambiwa jamaa kashinda kwa 92% kama rafiki yake wa Rwanda.
FACT!!.. Na hatokubali issue ya katiba! hili jitu dahh..najuuuuta!
 
Back
Top Bottom