Wimbo Mpya wa King Kiba (Mediocre)

Wimbo Mpya wa King Kiba (Mediocre)

"Ushamba mwiko kwa mtoto wa kariakoo, sichezi na dada zangu, nacheza na dada ako, mixer mkong'oto"- Alikiba[mediocre]
 
Jamaa kaona watu wameacha kumcompare na Mond, ushindani unaanza kuwa wa Mond na Konde,kaamua kutoa Diss track kwa mond ili ajibiwe.

Mond akimjibu tu, Konde anapotea tena midomoni kwa watu, Itakuwa ni Kiba na Mond Tena 😂.Ili Konde aweze kusurvive kwenye huu mtego wa branding, hana budi kumjibu Alikiba kabla Mond hajafanya hivyo.
IT'S ALL ABOUT BRANDING.
 
Hivi tim kiba ni mashabiki au wajumbe??? haiwezekani kabisa nyimbo ya dodo inapitwa views na karatini waliokuwa wanaiponda. Anyways,ngoja ntulie niweke akiba ya maneno usikute nyimbo zake zote zipo kwenye traffic na jamaa hasemi kwa sababu hapendi show off, siku YouTube wakitoa data kamili unakuta mwana imeipita views hadi despacito
Utasikia si vishabiki mbugira tu havijui mziki
 
Yanii mwanaume unaandikaa andikaa vitu kama ambaruty hafu chukiii kama mdada asee ...hafu mbna unapoteza sifa za kigentle mzee utapelekwa Mombasa mende wengi
Kalale wewe mbona mwanamke tunakuchaga kila siku eboooooh
 
Back
Top Bottom