Wimbo Mpya wa King Kiba (Mediocre)

Mwanamme kujita Bisho ni aibu asili ya neno wengi hawalijui linatokana na Bi Shoga.
Huyu jamaa siku hizi amekua anasafiria Daimond na KIKI ili aonekane maana mara amtumie Hamisa. Nakulazimisha u-KING tujiulize amechangia nini kwenye huu mziki? Nilikua namkubali kwa leo ameniangusha
 
Itakua umekuja mjini kipindi hiki cha awamu wa 5, kaa kaa kwanza uzoee mazingira, huwezi kuyajua ya watoto wa mjini.
 
Bora nikuache Mimi mjini sikuja kwa bus wala boat, huyo Ali tunamjua vizuri ni rika na mdogo wangu wa tatu. Hizi lugha mnatumia maneno bila ya kuyajua asili yake ndio shida ilipo. Ni kizazi hiki kisiojua lugha ndio mnajiita tu majina au mnatumia maneno bila ya kuyajua mzizi wa neno
 
Hahaha kwa hiyo kusema ni mdogo wako wa tatu ndio tukuone mkubwa au?

Hebu weka kamusi ikitafsiri Bishoo ni Bishoga ili tuanzie hapo,
Maana unaweza kua mtu mzima halafu hovyo.
 
Mwanamme kujita Bisho ni aibu asili ya neno wengi hawalijui linatokana na Bi Shoga.
Huyu jamaa siku hizi amekua anasafiria Daimond na KIKI ili aonekane maana mara amtumie Hamisa. Nakulazimisha u-KING tujiulize amechangia nini kwenye huu mziki? Nilikua namkubali kwa leo ameniangusha
Jamaa amekuwa utopolo mwenzake now day amefocus kwenye media yake hatagemei tu mziki pekee ndio maana hatoi Kiki tena
 
Back
Top Bottom