data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,151
- 22,726
I miss you_Diamond Platnumz
Sikuwahi kuishtukia hii ngoma...
I miss you_Diamond Platnumz
Fire_Diamond Platnumz ft Tiwa Savage
We jamaa huwa unanifurahisha sana,we kila siku unamponda Mondi lakini akitoa wimbo tu lazima ufanye juu chini uupateWimbo ni mbovu mkuu kama ulitoa 300 yako kuinunua kwenye blog yako ni vema ukawadai wakurudishie
Usanii ni kazi ngumu sana,kuimba nyimbo ikakubalika sio kazi ndg...
Any way hongera zimfikie Mond kwa nyimbo mpya,taisikiliza tena.
Mke mdogo wa bashiteNdiyo nani huyo diamond
FireUnaitwaje kwani?
Mnachosahau...ni kwamba diamond is a star....na alishawaambia tatizo nyota..ukishajua hilo...wear your dancing shoes and dance with me...bingili bingili baayoyoyo...!!!Anaelekea ukingoni
kabisa ase mi pia nmeskia kama coco babyWimbo mkali sana,,, ila nasikia some scent rythm of waje ft diamond coco baby...btw ngoma kali